Matumizi ya AC ya gari, Je, ni kweli inakula mafuta?

Hiv kweli inawezekana ukaendesha gari dar bila AC? Mi nmeshangaa sana. Mimi AC toka nmenunua gari zangu zote ipo ON.sijawahi shusha kioo ni FULL TIME AC.

Nashangaa kuna mtu anakuja jadili matumizi ya AC. Mbona mnashangaza sana? AC IS THERE TO BE USED SIYO UREMBO. MAFUTA UTUMIKAJI WAKE MI SIONI ISSUE
 
Embu toa technical approach ambayo hiyo A/C inatumia mafuta zaidi ikiwa on au off? Tujue kama ina click
Nipo kwenye hii Field. Uliyosema yana ukweli kabisa.

Nashauri tu kwamba wewe unaetumia A/C hakikisha mfumo wake uwe katika hali nzuri..
 
Embu toa technical approach ambayo hiyo A/C inatumia mafuta zaidi ikiwa on au off? Tujue kama ina click
Kumbuka A/C system inaongeza Mzigo kwenye injini. Unaweza kusikia hata muungurumo wa gari unabadilika pindi Compressor ya A/C inapoengage. Unapoongeza mzigo kwenye injini pia itahitaji nguvu zaidi na tunajua nguvu ya injini inaongezwa kwa kuingezea mafuta na hewa zaidi.
 
Natumai wote tu wazima. Naomba kueleweshwa katika hili, hivi AC katika gari inakula mafuta sana? Au ni wastani tu?
Mkuu kwa kifupi jibu halipo straight foward. AC ya gari unatumia nguvu kutoka kwenye engine,no maana hata unapowasha AC muungurumo huwa unabadilika. Kwa hiyo unatumia mafuta zaidi,hiyo ni sehemu ya kwanza...
Nipo kwenye hii Field. Uliyosema yana ukweli kabisa.

Nashauri tu kwamba wewe unaetumia A/C hakikisha mfumo wake uwe katika hali nzuri...

Hii myth mythbusters waliwahi kuitest zamani among many. It is fuel efficient kuendesha with your windows down and A/C off.

Na hii mifoleni ya Daslam hadi nakumbuka Moshi aisee 🤣🤣🤣!!!
Litre 1 ya mafuta huishia kwenye foleni tu toka utokako mpaka foleni zitapoishia.

Mafuta ya kidebe ndio hayafai kabisa ni aheri utembelee Fatuma! Huruma kwa wazee wa Juu ya E pale
 
Sijakuelewa uliposema "Fatuma".
Unamaanisha full tank?
 
Back
Top Bottom