Matumizi sahihi ya Home theatre Nyumbani

Kwenye upande wa ufundi ndani Ni kua
Home theater hua zinatumia smps yaani switchmode power supply,.
Aina hi ya power supply Ni very fast switch...na current yake inakua standard.hakuna voltage losses,hakuna current popping yaani kifupi umeme unaoingia kwenye card unakua smooth
Kisha Kuna kadi
Au tunaweza sema main yenyewe
Hapo panakua na amplifier ambazo zinakuza sauti
Na amplifier hizi hutumia mala nyingi integrated circuit za kampuni husika
Ni mala chache Sana kukuta inatumia hizi common ic.
Kisha panachip ambazo ndio hubeba maana ya clear sound ambazo hizi zimedizainiwa vilivyo na (computer) na kila company inazakwake
Kwa hivyo basi ikiwa amplifier ikizingu walau unaweza kuirekenisha au hata power supply
Lakini sio main crossover card.....

Ndio maana ikitokea imezingua Ni shida kuirekebisha
Mmmmmhh umeelezea kitaalamu umeniongesea misamiati

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
kiaje mkuu
Hiyo (smps)Ni kifupi Cha switch mode power supply
Hi Ni (circuit ) tunaweza ita Ramani Kama mnavoiita kitaa ambayo inapokea umeme kutoka kwenye socket ukutani volts 230ac Kisha smps hi inaugeuza kwenda DC kwa viwango tofauti
Unaweza kuta ikatoa
30vdc
12vdc
5vdc
Hivi viwango vyote vinatokea hapo hapo
Inaweza kua zaidi au pungufu ikilinganishwa na dizain ya Ramani ya hyo home theater
Ndii maana unakuta home theater inawaka lakini haipigi mziki
Maana yake volts za kustandby machine zipo lakini za kuopareti kutengengeneza mchakato wa music hazipo kwenye card

Pia hizo integrated circuit (ic) Ni chip ,au microchip ambazo hua (zinadizainiwa) kuendesha task maalumu wazungu wanasema wanaiprogram
Kwahyo unawwza kuziina zinamuonekano mmoja lakini zikawa hazifanyi kazi moja!
Kama waliitengeneza mahususi kwaajili ya amplifier basi huwezi kuitumia kwenye network issue
Kwahyo leo hi sonny wakataka kutengengeneza home theater toleo jipya maana yake wata program ic mpya kulingana na matakwa yao ili ifanye kazi yao waliio kusudia

Dah ningumu kunielewa mkuu
 
Mmmhhh aiseeee hii shughuli

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Kuna miziki ni mibaya sana, hata ichezwe kwenye system gani kamwe haivutii. Miziki kama KISENGELI kwangu ni takataka kabisa
dah yani singeli kwangu mm ni mziki ninaoupenda Sana kitu kinachonifurahisha katika mziki huu hakuna style moja ya kucheza vyovyote utakavyocheza ndo umoumo😋😋😋
 
Leo ningependa tufahamu tofauti ya music system tunazofunga ndani na matakwa yetu kwa kile tunachotaka kupata nyumbani.

Najua home theatre system ni maarufu kwa wengi wetu na wengi tunapotaka kubadili music system kutoka sub woofer za kichina tunakwenda kuzinunua hizi home theatre.

Lakin ni rahsi kusikia mtu anakuja hapa tena nakutofuraia muziki au nguvu aliotarajia japo katumia pesa nyingi.

Kupata sound bora ya muziki ni gharama kulinganisha na kipato cha Watanzania wengi wakawaida, lakini kujua sound bora ni jambo jingine, nakujua music system bora ni utaalam au uwezo binafsi.

Kwa mfano kuna baadhi yetu bass ikiwa kubwa, hio tayari ni system bora kwake, wengine ikipiga makelele sana mpaka mtaa wa sita wakasikia hata kama hakuna ubora na sound yenye viwango hiyo kwakwe ni "The Best". Kujua sound ya viwango ni jambo jingine.

Nisichoshe niende kwenye kiini.

Hi fi Audio system (high fidelity) system mara nyingi huwa na speaker mbili, zikiwa zimetegenezwa maalumu kutoa muziki katika stereo signal ikifahamika kama 2.0

Mpangilio wa speaker zake upo katika range ya bass, mid and stereo

Imetengenezwa maalum kutoa "true music" muziki halisi au walau muziki sawa sawa na ulivopangiliwa studio na watengenezaji.

Maana yake ukiwa na hii "hi-fi system", muziki umepata mahala pake, gonga muziki kulingana na uwezo wako utapata radha, kila chombo walau kilicho ndani ya wimbo husika utakipata kadri kilivopigwa.

Ubora hutofautiana kulingana na bei

Home theatre Audio system

Hizi zinatumia speaker nyingi kiasi, kuanzia walau tano 5.1, au sana 7.1 na kuendelea

Ile 5 ina simama kumaanisha speaker ndogo tano kwa subwoofer 1 kwa ufupi 5.1

Ni teknolojia katika ulimwengu wa kidigitali katika kuleta maisha ya cinema nyumbani mwako.

Ni maalumu kwa DVD, blue ray Disc nk. Inakupa mwonjo wa sound ya movie katika ubora wake, na ndio sababu ya speaker nyingi. Zipo speaker za louder, effects nk nk

Kwanini? Kwasababu siku hizi movies zinatengenezwa na multi sound, na effects kibao, hapa kila speaker zipo kwaajili ya kukupa feel ya movies, feel at the cinema theatre. Katika kuchangia watu humu wanajua watazichambua.

Haikupi muziki halisi, (true music) ila inaweza kukupa feel halisi ya movies, kulinganisha na Hi fi system

Imetengenezwa kwaajili ya cinema nyumbani sio muziki.

USHAURI
Nunua home theatre kama unalenga DVD au matumizi ya Audiovisual

Lakini kama unataka Kuuhisi muziki na raha zake nunua high fidelity audio system.

Nimegusia, uzoefu wenu pia ni muhimu kwa system muziki wa nyumbani/ndani
---updates---​

16/09/2018 mdau amekuja inbox na kuuliza swali hili:

Nna LG home theater ina spika 4 ndefu na moja ndogo..ila nki-connect zote znaimba mbili tu. .sasa cjajua nakosea kwenye setting au ni nini

Jibu: Kwakweli hili ni swali zuri na linatoa mwanga mkubwa wa nilichoeleza hapo juu kuhusu tofauti ya Home thietre na Hi-fi music system.

Bila shaka wengi hili mmekutana nalo na pengine lipo na hujagundua kabisa hilo suala.

Rejea topic nilisema Muziki studio unatengenezwa katika mfumo wa chanel mbili tu (2.0) stereo. yani inakuwa left and right chanel. Ndio maana pia nilieleza hi-fi system huwa kwa kawaida zinakuwa na speaker 2 tu, for left chanel and right. 2.0 stereo

Home thietre inakuwa na tano, 5.1 au saba, 7.1 nakuendelea, maana yake katika movies kunakuwa na chanel nyingi, sound, effects, kicks, stunts sound hivo zinawekwa katika chanel tofauti, na ni rahisi kama unaangalia movie ukasikia effect ya ngumi ikasikika katika spika za mbele tu, wakati huo mlio.wa gari ukasikika spika za pembeni na ikapigwa risasi ikasikika katika spika nyingine lakini sio zote kwa pamoja.

Vivyo hivyo uwezi sikia muziki katika spika zote za home thietre ispokuwa mbili tu kwasababu kwa kawaida muziki unapoandaliwa studio huwa katika chanel izo mbili, hivyo hauwezi kuwa multiplied katika spika 5 au 7, na ikitokea katika settings ikakubali (japo system bora hazina hiyo setting) basi ndio ubora wake ushakuwa affected, lazima kuna distortion katika baadhi ya spika na zile mbili Main ubora utashuka.

Unaweza pia kama ni computer inasukuma ukaweka mixer kwaajili ya speaker fill, ukajaza zote tano au saba za home thietre yako.

Na rahisisha kwakusema hujakosea kuseti home thietre yako ila unapopiga muziki wa chanel mbili 2.0 stereo, lazima nyingine zikae kimya maana hazina feed, lakini chukua movie ya holywood saizi uweke hapo zitapiga spika zote.

KARIBUNI
uchambuzi makini sana
 
Ubarikiwe sana mkuu, binafsi umenitoa ushamba sana, ushauri umekuja muda muafaka kwangu
 
Mkuu bado kujua hizo Hi-Fi fake na original tunazijuaje mana Mchina(fake) katawala soko
 
Elimu kubwa sana hii binafsi ni mdau wa mziki mzuri lkn kuna baadhi ya home theatre kama za sony zina sehemu ya auto, pia ukiamua kubadilisha manually inakubali pia
 
Natafta home theatre kwa bei poa
 
Mziki mzuri upo tatizo gharama za usafiri from US yaani hii kitu naitamani naishia kula kwa macho
Screenshot_20211215-212949_Samsung%20Internet.jpg
 
Back
Top Bottom