Hapana enhe si sawa kabisa maana lengo la over drive ni kuongeza ufanisi wa injini na pia kupunguza ulaji wa mafuta Kwa maana kwamba ukiweka OD ON taa inazima na ikiwa OFF taa inawaka inapokuwa ON gia zitawahi kufika namba nne au tano na injini itakuwa nyepesi so ulaji wa mafuta unakuwa mdogo lakin pia hata injini inakuwa na maisha marefu maana rpm haiwezi kuzidi 3000 na labda nishauri Kuwa ili u save mafuta make sure rpm isizi 2000 unless kama uko safarini na unaharaka other wise usiilazimeshe injini kuanza na Kasi zisizo na lazima, weka D then ondoka taratibu huku unaangalia rpm yako isizidi 2000 utaona gari inaongeza mwendo yenyewe mpaka spidi kubwa kabisa hata 140kph na sana sana rpm wakati huo itasoma 3000 ambayo bado ni fuel efficient.
Ukidrive wakat OD iko OFF maana yake ulaji wa mafuta unakuwa Mkubwa sana na pia gari haiwezi kuchanganya haraka lakin pia unaua injini unless huzidi speed 60kph
Here is the trick part, weka OD off kama uko offroad au kuna utelezi na hutaki gari iwe nyepesi ila unataka ikimbie maana inakuwa nzito so ni nzuri Kwa barabara za vumbi lakin make sure huzidi 60kph maana OD inafanyakazi ktk speed kuanzia 60/80kph
alfredmkohiatgmaildotcom
kaka akohi, somo zuri sana nimekuelewa pia. mimi sijaenda driving lkn ninapiga machine kama kawaida, ila nikikagua gari langu halina hiyo 3, ina L,2,N,D,R,P. katika ushauri wa fundi mmoja aliniambia, siku zote nipende kuweka 2 na OD/OFF kwa maana ya kwamba dashboard inasoma OD/OFF (kitaa kinawaka). afu nikifika ktk mtelemko nilikuwa naweka N ninateleza kisawasawa, lkn huyo bwana akanionya nisirudie kuweka N ktk mtelemko kwa sababu ninauwa disk na meno ya gia box, hebu nijuze kamanda niendelee kula good time na N ktk mtelemko au niache huu mchezo.
nipe tips mkuu
Mkuu ukiona gari imekuandikia 'ECONO' maana yake ni economy, huwa inatokea pale ambapo kiwango cha mafuta kinachoingia kwenye injini ni kidogo kulinganisha na kiasi cha hewa kinachoingia kwa hiyo mafuta yanayotumika ni kidogo sana.Kifaa kinachofanya hiyo balance kinaitwa THROTTLE na kuna baadhi ya mafundi hukichezea kwenye baadhi ya magari ili ulaji wa mafuta upungue ila usijaribu kufanya huo mchezo ni hatari unaweza ukaharibu injini. Hali ya ECONOMY hutokea gari inapokuwa kati ya speed 60-90. Ni function ambayo ni common sana kwenye gari za CARINAMkuu akohi, tuelezee na Yale maandishi ya kijani yanayoandika kwenye dashboard 'ECONO'
Mkuu ukiona gari imekuandikia 'ECONO' maana yake ni economy, huwa inatokea pale ambapo kiwango cha mafuta kinachoingia kwenye injini ni kidogo kulinganisha na kiasi cha hewa kinachoingia kwa hiyo mafuta yanayotumika ni kidogo sana.Kifaa kinachofanya hiyo balance kinaitwa THROTTLE na kuna baadhi ya mafundi hukichezea kwenye baadhi ya magari ili ulaji wa mafuta upungue ila usijaribu kufanya huo mchezo ni hatari unaweza ukaharibu injini. Hali ya ECONOMY hutokea gari inapokuwa kati ya speed 60-90. Ni function ambayo ni common sana kwenye gari za CARINA
he dabo indicator kwenye magari? mie nalifikiri ni kwenye titration unavyoangalia chemical reaction
Hakuna kitu kwenye gari kinaitwa 'dabo indiketa', nafikiri ulimaanisha HAZARD LIGHT, but YES, they are for emergency as the name describes. Waendesha magari wasio madereva huwasha kwenye njia panda wakidhani ni kiashiria cha kwenda moja kwa moja.
Mkuu ukiona gari imekuandikia 'ECONO' maana yake ni economy, huwa inatokea pale ambapo kiwango cha mafuta kinachoingia kwenye injini ni kidogo kulinganisha na kiasi cha hewa kinachoingia kwa hiyo mafuta yanayotumika ni kidogo sana.Kifaa kinachofanya hiyo balance kinaitwa THROTTLE na kuna baadhi ya mafundi hukichezea kwenye baadhi ya magari ili ulaji wa mafuta upungue ila usijaribu kufanya huo mchezo ni hatari unaweza ukaharibu injini. Hali ya ECONOMY hutokea gari inapokuwa kati ya speed 60-90. Ni function ambayo ni common sana kwenye gari za CARINA
Mkuu naomba unieleweshe kitu kimoja...ni hivi. Mimi gari yangu siku zote naendesha nikiwa nimebonyeza kile kitufe cha OD. Hivyo pale kwenye dashboard inawaka taa ya orange inasoma O/D OFF sasa hapo inamaanisha nini na je ni sawa?