Matumizi mabaya ya moyo

Matumizi mabaya ya moyo

Latifaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
501
Reaction score
258
Nilichokigundua jana ndio hiki kumpenda mpenzi mmoja kwa moyo wako wote ni matumizi mabaya sana ya moyo. Jana nimeumizwa hatari lakini nashukuru Mungu nilikua na spear tairi ameniliwaza hadi nikasahau shida zangu. sishauri watu kumzimikia mtu mmoja ni hatari sana bora ukae mguu pande kwakweli
 
Huyo spear humpendi ila unampumzikia tu na huenda ndio amesababisha uachwe, kama unabisha ngoja huyo aliokuacha akirudi na msamaha kama hutasamehe na kumpa chezo tena!
 
Nakwambia hivi wanaume msipojirekebisha mtasaidiwa sana mnatesa watoto watu kisaaa endeleeni kujifanya wababe mtafumania sana mtakufa na mapresha saana yaani
 
Nilichokigundua jana ndio hiki kumpenda mpenzi mmoja kwa moyo wako wote ni matumizi mabaya sana ya moyo. Jana nimeumizwa hatari lakini nashukuru Mungu nilikua na spear tairi ameniliwaza hadi nikasahau shida zangu. sishauri watu kumzimikia mtu mmoja ni hatari sana bora ukae mguu pande kwakweli
Inaonekana aliekuumiza ndio unampenda sana kuliko huyo spea tairi.Unaweza ukawa na wanaume hata kumi lakini katika hao kumi unakuta kuna mmoja ambae unampenda zaidi kuliko wengine.Kwahiyo hoja yako ya kuwa na wengi ndio kutakusaidia usiumizwe kwenye mapenzi binafsi napingana nayo.
 
Nilichokigundua jana ndio hiki kumpenda mpenzi mmoja kwa moyo wako wote ni matumizi mabaya sana ya moyo. Jana nimeumizwa hatari lakini nashukuru Mungu nilikua na spear tairi ameniliwaza hadi nikasahau shida zangu. sishauri watu kumzimikia mtu mmoja ni hatari sana bora ukae mguu pande kwakweli
Beef lagna,ndyo umeamua kuja na Id mpy!!!!!!!
 
Uwe mwangalifu kuna nyakati nyingine ni bora kuwa na mmoja maumivu sio makali sana,itakuwaje kama inatokea wote uliona nao wanakuumiza kwa wakati mmoja? nadhani hapo ndio utakuwa umeutumia moyo wako vibaya sana ndugu...
 
siwezi hili jambo kupenda mwanaume mmoja ni hatari unaweza ufe bure
 
kuwa na spear tyle sio suruhisho LA kuumizwa 7bu huyo spear tyle wako anae ane mpenda kuliko ww atakutumia2 kukufariji atukacha na maumivu yako ......NB. hakuna mwanaume unae muweka akiba afu asijue km yeye ni akiba kwako ata kausha na kukufnya na we akiba ukiwepo xawa usipo kuwepo sawa
 
Nilichokigundua jana ndio hiki kumpenda mpenzi mmoja kwa moyo wako wote ni matumizi mabaya sana ya moyo. Jana nimeumizwa hatari lakini nashukuru Mungu nilikua na spear tairi ameniliwaza hadi nikasahau shida zangu. sishauri watu kumzimikia mtu mmoja ni hatari sana bora ukae mguu pande kwakweli
Naunga mkono hoja yako ndugu mjumbe
 
Back
Top Bottom