Matumizi mabaya ya Maombi

Matumizi mabaya ya Maombi

StudentTeacher

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2019
Posts
5,618
Reaction score
5,879
Unaishi kihuni hujali HAKI za watu. Wakidai HAKI zao unawaona maadui.

Yanakukuta yakukukuta ambayo kimsingi ni mavuno ya Mbegu mbovu uliyoipanda unaanza kutaka tukuombee.

Hapo hamna namna zaidi ya kufanya amani na wote uliowadhulumu HAKI zao au uwajibike kivyako kwa matendo yako.

Waombaji tupumzishwe tuna mengi ya kuyaombea!
 
Back
Top Bottom