Jihadhari: Wami Darajani ni mradi mpya wa Traffic kwa wenye magari binafsi wanaoenda Moshi na Arusha.

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
21,838
38,729
Kwa wale wenye mpango wa kusafiri kwa magari binafsi kwenda kaskazini kupitia daraja la Wami, chukua tahadhari zote. Jamaa wa nguo nyeupe wameweka kamera yao mara tu unapomaliza daraja. Kuna kibao cha kuterminate 50. Jamaa wanapiga magari tochi ni balaa tupu, wao wanakusubiria Mbwewe. Huna hili wala like, unapigwa mkono na kuonyeshwa picha yako.

Msimu huu jamaa watavuna. Ni vigumu sana kuvuka darajani kwa speed 50 maana barabara pale inaita sana. Sasa ndugu zangu msiseme hamkujua. Jamaa wameamka wanatafuta pesa. Yaani hizi 50 zitatutoa kamasi. Wami Darajani ni mradi mwingine wa kujinufaisha. Kuwa makini.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Ujumbe uwafikie:

FuZjb2aXwAQYywO.jpeg
 
Vizuri sana.
Waweze Fixed Cameras kwenye barabara zote ili kudhibiti madereva vichaa wanaoendesha magari kwa spidi kubwa. Wasiishie kuweka Cameras hapo tu kwenye daraja.
 
Back
Top Bottom