CHIEF MGALULA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 1,190
- 889
Evelyn Mtoto Mzuri Hadi Nahisi Huendi Chooni, Naomba Namba Yako Tar 1 Nikupitie Twende UKUTA BathiMafi ako
Evelyn Mtoto Mzuri Hadi Nahisi Huendi Chooni, Naomba Namba Yako Tar 1 Nikupitie Twende UKUTA BathiMafi ako
Kumbe Uhakiki Hewa Wa Wafanyakazi Hewa Umeshamaliza?? Sasa Watazua Jambo Jengine!! Oh God.. Wanadili na UKUTA kwanza! Wakiuangusha Ukuta Ndiyo Watatoa Ajira..!
[HASHTAG]#TogetherSep1[/HASHTAG]
Kama wapi!? Usiwe wa kuongea bila mifano.Acha uvivu wa kufikiri ajira sio lazima iwe government, tatizo mnataka kuishi mijini wakati mawilayani kuna shule za private hazina walimu
Njoo Kasulu kigoma ukikosa shule basi una nuksiKama wapi!? Usiwe wa kuongea bila mifano.
Hiyo kauli ya RC umeifanyia editing.
Alisema “Police mkikuta mhalifu yeyote msituni pigeni bila huruma“
Hatujadil siasa hapa.Mkuu...
Hivi UKUTA ina watu kweli wakuisapoti..!?
Maana huku kwetu kila nayemuuliza kuhusu hili suala la UKUTA huwa anageuka mbogo..!
Isije ikatokea akina Tundu Lissu wakajikuta wenyewe tu Barabarani..!
Ingekuwa haina wakuwasapoti wale jamaa unadhani kwanini wanafanya maonesho mitaaniMkuu...
Hivi UKUTA ina watu kweli wakuisapoti..!?
Maana huku kwetu kila nayemuuliza kuhusu hili suala la UKUTA huwa anageuka mbogo..!
Isije ikatokea akina Tundu Lissu wakajikuta wenyewe tu Barabarani..!
Acha utapeliKwa wadogo zangu mliomaliza kidato cha sita na wa kidato cha nne mnaohitaji info kuhusu vyuo vya china(kozi,ada na admission process) kwa mwaka 2016 ninaweza kuwasaidia na i can help with admission process too.tuwasiliane kupitia +8613065131363 whatsapp only.na kwa wale form 6 science waliokosa sifa za kujiunga shahada foundation courses zipo za mwaka 1.Karibuni huduma inatolewa bure
Mkuu sometimes uwe unatumia akili kuliko kuropoka maneno yasiyo na maana.jifunze kuheshimu kazi za wengine hata hazikupendezi wewe.wewe ni mtu mzima please behave kama mtu mzima.kama nilishakutapeli nenda kituo cha polisiAcha utapeli
Na ndo watkacho zugia hcho cha [HASHTAG]#ukuta[/HASHTAG]Kumbe Uhakiki Hewa Wa Wafanyakazi Hewa Umeshamaliza?? Sasa Watazua Jambo Jengine!! Oh God.. Wanadili na UKUTA kwanza! Wakiuangusha Ukuta Ndiyo Watatoa Ajira..!
[HASHTAG]#TogetherSep1[/HASHTAG]
Acha kuishi kiujanjajanja...sijawahi ona mtu anahangaika kwenye mitandao ya kijamii kama wewe eti anasaidia watu bure...we kuwa mkweli faida unaipata wapi ukishamsaidia mtuMkuu sometimes uwe unatumia akili kuliko kuropoka maneno yasiyo na maana.jifunze kuheshimu kazi za wengine hata hazikupendezi wewe.wewe ni mtu mzima please behave kama mtu mzima.kama nilishakutapeli nenda kituo cha polisi
Sasa ukuta huu si ni mgumu sana watauweza!Ajira zitatolewa baada ya kuumaliza UKUTA