Wilson wilfred
Member
- Mar 29, 2014
- 26
- 9
Natumai ajira za walimu 2016, zitatangazwa leo, kesho, kesho kutwa au mtondogoo, kwasababu jana ndo ulikua mwisho wa kuhakiki maswala yote ya WATUMISHI HEWA, sasa hakuna kikwazo kingine!!!
Au wataleta kikwazo kingine?? Ha ha ha ha ha ha ha, kama kitakuwepo bas TZ mji wa AHADI!!!!
Au wataleta kikwazo kingine?? Ha ha ha ha ha ha ha, kama kitakuwepo bas TZ mji wa AHADI!!!!