democratic
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 1,642
- 295
Tatizo watanzania hatuheshimu profession za watu, wanasiasa ndio kila kitu. bahati mbaya wengi ni corrupt.
Kumbuka kwenye madini tunaambulia 4% kabla ya makampuni kuingiza faida na baada ya makampuni kuingiza faida tutapata hiyo 4% jumlisha na kodi ya corporate tax ambayo ni 30% na kama tuna shares zozote, nadhani kwa Tanzania tuna asilimia isiyopunguwa 15 kwenye migodi, kwa hiyo ni hivi karibuni baada ya wawekezaji kurudisha mitaji yao tutaanza kuona Tanzania ikiingiza 30% + 4% +15% = 49% kwa uchache. Indirect taxation itaingiza zingine kama 10% inakuwa 59% jumla.
Siyo mbaya kwa nchi isiyokuwa na teknolojia yoyote. Kinachotakiwa ni kuhakikisha tu kuwa hao wawekezaji hawaibi kwenye mahesabu na kusema kuwa hawajarudisha mtaji, fikiri akiwa mchaga ndio inspector panakuwaje?
Kuna mgodi ambao mwaka huu umeshaanza kulipa namna hiyo.
Heshima kwako Kaka Sanga!
Nilipokuwa bado kijana mdogo, shuleni tulikuwa na kaulimbinu ambayo by the way nafikiri ni ya Mwl.Nyerere(r.i.p.) ambayo ilikuwa inasema kuwa:
Kumbuka kwenye madini tunaambulia 4% kabla ya makampuni kuingiza faida na baada ya makampuni kuingiza faida tutapata hiyo 4% jumlisha na kodi ya corporate tax ambayo ni 30% na kama tuna shares zozote, nadhani kwa Tanzania tuna asilimia isiyopunguwa 15 kwenye migodi, kwa hiyo ni hivi karibuni baada ya wawekezaji kurudisha mitaji yao tutaanza kuona Tanzania ikiingiza 30% + 4% +15% = 49% kwa uchache. Indirect taxation itaingiza zingine kama 10% inakuwa 59% jumla.
Siyo mbaya kwa nchi isiyokuwa na teknolojia yoyote. Kinachotakiwa ni kuhakikisha tu kuwa hao wawekezaji hawaibi kwenye mahesabu na kusema kuwa hawajarudisha mtaji, fikiri akiwa mchaga ndio inspector panakuwaje?
Kuna mgodi ambao mwaka huu umeshaanza kulipa namna hiyo.
samahani Kaka Sanga,Malizia basi kaka Kalokola.
Ukitaka actual statements zao nenda kwenye websites zao maana taarifa wanazotoa kwa shareholders huwa ni za kweli; Utaona maajabuTatizo liko kwenye statements za izi kampuni ili kuweza kukokotoa kod stahiki!
Wanakuwa na statements mbili tofauti ie moja for their bosses na ingine kwa watawala wetu.
Kuna siku Lembeli aliidaka iyo genuine report akaileta bungeni Ngeleja akasema ataifanyia kazi jiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
badala ya serikali kutuma wahandisi na watafiti waliobobea kwenye fani hiyo ya nishati wanatuma wabunge/wanasiasa? so wanasiasa watakuja kuwafundisha wahandisi namna ya kutafuta gesi na mafuta au itakuwaje?? wastage of of public funds!!
Nimemsoma Zitto,kuna kitu sijakiekewa.Je Zitto amekwenda kama Mtaalam wa Mambo ya Gas na Mafuta au kama mwanasiasa anayejua mikataba ya kimataifa ya Gas na Mafuta?,au kama nani?,sielewi.
Ribosome acha uongo Tanzania haina % yoyote ya share kwenye migodi ya madini, tunachopata mpaka sasa ni hiyo 4% na hizo indirect tax ambazo kimsingi ni watanzania wenyewe huzilipa, tunataka sasa kuwe na utaratibu wa nchi kumiliki angalau 25% ya share ili tuweze kupata angalau sehemu ya mapato wanayovuna wawekezaji. Angalia Tanzanite One wame-declare uvunaji wa carrat 2.5million ilhali royalties iliyolipwa ni usd 400,000 tu! Kama si ufisadi wa kuhongwa kopo la peanut butter wakati unaruhusu gunia la karanga kuibwa tulipaswa kukusanya angalau usd 6.5million kwa grade ya chini kabisa.Kumbuka kwenye madini tunaambulia 4% kabla ya makampuni kuingiza faida na baada ya makampuni kuingiza faida tutapata hiyo 4% jumlisha na kodi ya corporate tax ambayo ni 30% na kama tuna shares zozote, nadhani kwa Tanzania tuna asilimia isiyopunguwa 15 kwenye migodi, kwa hiyo ni hivi karibuni baada ya wawekezaji kurudisha mitaji yao tutaanza kuona Tanzania ikiingiza 30% + 4% +15% = 49% kwa uchache. Indirect taxation itaingiza zingine kama 10% inakuwa 59% jumla.
Siyo mbaya kwa nchi isiyokuwa na teknolojia yoyote. Kinachotakiwa ni kuhakikisha tu kuwa hao wawekezaji hawaibi kwenye mahesabu na kusema kuwa hawajarudisha mtaji, fikiri akiwa mchaga ndio inspector panakuwaje?
Kuna mgodi ambao mwaka huu umeshaanza kulipa namna hiyo.
Mkuu Zitto, pamoja na yote haya lazima ufahamu ya kwamba asili ya shirika la Shell ni la Uholanzi - Royal Dutch walioungana na shrika la Uingereza likiitwa Bitish Petrolimum - BP halafu pia wanalo shirika la EBN yote haya ni yao wao, hivyo ulichopewa kama asilimia 85 ni makusanyo ya serikali kupitia kodi ya mapato lakini sii uwezo wao wenyewe kujitegemea ktk uchimbaji.
Haya mashirika mawili mbali na uwekezaji nyumbani wanachimba mafuta na gas nchi za nje pia, hivyo kuleta nyumbani kitu kingine zaida ahca mbali mzunguko wa fedha zao ndani ya mabenki na nchini mwao. Kama sisi hatutaweza kujizatiti ktk Techonologia na UWEZO wa kuwa na mashirika yetu wenyewe ktk ushirika huu wa kichuimba mafuta na gas basi tutaendelea kunyonywa tu maadam hatuna ujuzi, vifaa wala uwezo wa kuchimba mafuta.
Ni muhimu sana tuwe na shirika letu wenyewe ambalo litauza hizo share pale mafuta yanapopatikana badala ya kuachia viongozi wetu wakatiwe 10% halafu wanauza kila kitu, sisi tukibakia ati kukusanya kodi tu. We have to be part of investments zinazofanyia nyumbani, laa sivyo yaacheni mafuta na gas huko chini..
Mkuu naelewa sana yanayofanyika Bongo. BVinafsi yangu nadhani tungechukua mifano ya nchi kama Saudia na Qatar hawa jamaa zetu kwa miaka 35 walikuwa wakilipa deni la uchimbaji mafuta na kama unakumbuka miaka ya 70 walikuwa maskini tu kama sisi. Lakini walichoklifanya wao ni UBIA ambao pamoja na kutokuwa na wataalam ktk uchumbaji wafuta walifungua mashirika yao wenyewe ndani ambayo yaliajiri watalaama kutoka nje ngazi zote muhimu. Haya mashirika yakajijenga taratibu ndani japokuwa kodi ya mfuko wa Taifa ilikuwa ndogo kutokana na madeni..Kumbe unajua hiyo eee. Ndio hivyo tena.