Matumaini mapya yameanza kuchomoza - Zitto Kabwe

yaani zitto anataka kusema kuwa atakuja kuifundisha hii serikali yetu legelege ya magamba? can you stop joking..........
 
Tatizo watanzania hatuheshimu profession za watu, wanasiasa ndio kila kitu. bahati mbaya wengi ni corrupt.

Heshima kwako Kaka Sanga!
Nilipokuwa bado kijana mdogo, shuleni tulikuwa na kaulimbinu ambayo by the way nafikiri ni ya Mwl.Nyerere(r.i.p.) ambayo ilikuwa inasema kuwa:
ILI TUENDELEE TUNAHITAJI VITU 4
*watu
*ardhi
*siasa safi
*uongozi bora

sasa ukija kuangalia nchi zilizoendelea in this case nchi za ulaya utaona kuwa HAZINA ARDHI, Tanzania ni kubwa karibu mara tatu ya Germany,Karibu mara tatu ya Italy,mara 4 ya UK,2/3 ya France - NA ARDHI NDIO MSINGI WA MAENDELEO, karibu natural resources zote zinapatikana katika ardhi.

Tanzania haina watu wachache japo idadi ya watu hailingani na nchi nilizotaja hapo juu,Germany ina karibu mara 2 ya population yetu, Italia,France na UK ziko more or less milioni 60 kila moja na Spain ni chini kidogo.

Sasa Tatizo la Taznaia liko wapi????
Siasa safi na Uongozi bora. - Tanzania TUNA SIASA CHAFU na UKOSEFU WA UONGOZI.

Katika nchi zilizoondelea good governance is guaranteed by net and complete separation of power kitu ambacho Tanzania HAKUNA. Hakuna nchi iliyoendelea ambapo Raisi au Waziri Mkuu anauwezo wa kuamuru mtu fulani hata kama ni raia wa kawaida akamatwe,it's a stupid example but it tells you all. Tanzania hata mkuu wa wilaya ana uwezo wa kukuweka ndani,wengine watasema hata katibu kata anao uwezo huo.

Niwatolee mfano wa uongozi bora, recently IKULU YA MAREKANI imetoa orodha ya wageni wote walioitembelea katika miaka 3 iliyopita - wageni wote,wakiserikali na wakibinafsi - wa rais au wa watu wengine wanaoishi katika ikulu ya marekani Visitor Access Records | The White House
IKULU SI DANGURO AU PANGO LA WALANGUZI, NI MAHALI PATAKATIFU!!!!! sasa swali langu kwenu,ni nani anajua wageni waliotembelea IKULU ya Tanzania na kwa shughuli gani????

sasa kama tunafichwa mambo madogo madogo kama haya mnafikiri tutayajua mambo yanayohusu mustakhabali wa nchi yetu??? Sisi hatuna viongozi kwa sasa,tuna wezi wanaoiba rasilimali zetu - WAKOLONI WEUSI!!!

Kumbuka kwenye madini tunaambulia 4% kabla ya makampuni kuingiza faida na baada ya makampuni kuingiza faida tutapata hiyo 4% jumlisha na kodi ya corporate tax ambayo ni 30% na kama tuna shares zozote, nadhani kwa Tanzania tuna asilimia isiyopunguwa 15 kwenye migodi, kwa hiyo ni hivi karibuni baada ya wawekezaji kurudisha mitaji yao tutaanza kuona Tanzania ikiingiza 30% + 4% +15% = 49% kwa uchache. Indirect taxation itaingiza zingine kama 10% inakuwa 59% jumla.

Siyo mbaya kwa nchi isiyokuwa na teknolojia yoyote. Kinachotakiwa ni kuhakikisha tu kuwa hao wawekezaji hawaibi kwenye mahesabu na kusema kuwa hawajarudisha mtaji, fikiri akiwa mchaga ndio inspector panakuwaje?

Kuna mgodi ambao mwaka huu umeshaanza kulipa namna hiyo.

Elimu ya darasa la.....
 
Kwa *****. kama huu hata madawa yataugua, eti GGM ILIKUWA INAJIENDESHA KWA HASARA.
 
Wataalam wanaachwa wanaenda wabunge/politicians. usome uchumi halafu ukajifunze gas over night. Hapa ndo tunapopotea, ziara za mafunzo kwa mawaziri kibao wataalam wanaachwa maofisini kesho anahamishwa, hamna kitu hapo.
 
Nimemsoma Zitto,kuna kitu sijakiekewa.Je Zitto amekwenda kama Mtaalam wa Mambo ya Gas na Mafuta au kama mwanasiasa anayejua mikataba ya kimataifa ya Gas na Mafuta?,au kama nani?,sielewi.
 
Tatizo liko kwenye statements za izi kampuni ili kuweza kukokotoa kod stahiki!
Wanakuwa na statements mbili tofauti ie moja for their bosses na ingine kwa watawala wetu.
Kuna siku Lembeli aliidaka iyo genuine report akaileta bungeni Ngeleja akasema ataifanyia kazi jiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Ukitaka actual statements zao nenda kwenye websites zao maana taarifa wanazotoa kwa shareholders huwa ni za kweli; Utaona maajabu
 
badala ya serikali kutuma wahandisi na watafiti waliobobea kwenye fani hiyo ya nishati wanatuma wabunge/wanasiasa? so wanasiasa watakuja kuwafundisha wahandisi namna ya kutafuta gesi na mafuta au itakuwaje?? wastage of of public funds!!

Tatizo ni mfumo tulionao umetawaliwa zaidi na Wanasiasa maana wao ndio watu wa kupeleka hoja juu ya Implementation ya mambo ambayo wanayoyaona yanafaa. Na ni wao ndio watu pekee wanaoweza kuibana serikali ili iweze ku-implement jambo tofauti na wana sayansi ambao baada ya kuona au kujifunza basi hawana nguvu ya kuifanya serikali au kuishawishi serikali kufanya implementation wa lile waliloliona au kujifunza huko nje. Wanasiasa wakisharidhia/vutiwa na kile walichokiona na kukiona kinafaa, sasa ndiyo zamu ya kupeleka wataalam ili kupata utaalam wa kile walichokiona ili waje kukifanyia kazi
 
Nimemsoma Zitto,kuna kitu sijakiekewa.Je Zitto amekwenda kama Mtaalam wa Mambo ya Gas na Mafuta au kama mwanasiasa anayejua mikataba ya kimataifa ya Gas na Mafuta?,au kama nani?,sielewi.

...the continuation of Tanzania unproductive politics!!
 
Kumbuka kwenye madini tunaambulia 4% kabla ya makampuni kuingiza faida na baada ya makampuni kuingiza faida tutapata hiyo 4% jumlisha na kodi ya corporate tax ambayo ni 30% na kama tuna shares zozote, nadhani kwa Tanzania tuna asilimia isiyopunguwa 15 kwenye migodi, kwa hiyo ni hivi karibuni baada ya wawekezaji kurudisha mitaji yao tutaanza kuona Tanzania ikiingiza 30% + 4% +15% = 49% kwa uchache. Indirect taxation itaingiza zingine kama 10% inakuwa 59% jumla.

Siyo mbaya kwa nchi isiyokuwa na teknolojia yoyote. Kinachotakiwa ni kuhakikisha tu kuwa hao wawekezaji hawaibi kwenye mahesabu na kusema kuwa hawajarudisha mtaji, fikiri akiwa mchaga ndio inspector panakuwaje?

Kuna mgodi ambao mwaka huu umeshaanza kulipa namna hiyo.
Ribosome acha uongo Tanzania haina % yoyote ya share kwenye migodi ya madini, tunachopata mpaka sasa ni hiyo 4% na hizo indirect tax ambazo kimsingi ni watanzania wenyewe huzilipa, tunataka sasa kuwe na utaratibu wa nchi kumiliki angalau 25% ya share ili tuweze kupata angalau sehemu ya mapato wanayovuna wawekezaji. Angalia Tanzanite One wame-declare uvunaji wa carrat 2.5million ilhali royalties iliyolipwa ni usd 400,000 tu! Kama si ufisadi wa kuhongwa kopo la peanut butter wakati unaruhusu gunia la karanga kuibwa tulipaswa kukusanya angalau usd 6.5million kwa grade ya chini kabisa.
 
Mkuu Zitto, pamoja na yote haya lazima ufahamu ya kwamba asili ya shirika la Shell ni la Uholanzi - Royal Dutch walioungana na shrika la Uingereza likiitwa Bitish Petrolimum - BP halafu pia wanalo shirika la EBN yote haya ni yao wao, hivyo ulichopewa kama asilimia 85 ni makusanyo ya serikali kupitia kodi ya mapato lakini sii uwezo wao wenyewe kujitegemea ktk uchimbaji.

Haya mashirika mawili mbali na uwekezaji nyumbani wanachimba mafuta na gas nchi za nje pia, hivyo kuleta nyumbani kitu kingine zaida ahca mbali mzunguko wa fedha zao ndani ya mabenki na nchini mwao. Kama sisi hatutaweza kujizatiti ktk Techonologia na UWEZO wa kuwa na mashirika yetu wenyewe ktk ushirika huu wa kichuimba mafuta na gas basi tutaendelea kunyonywa tu maadam hatuna ujuzi, vifaa wala uwezo wa kuchimba mafuta.

Ni muhimu sana tuwe na shirika letu wenyewe ambalo litauza hizo share pale mafuta yanapopatikana badala ya kuachia viongozi wetu wakatiwe 10% halafu wanauza kila kitu, sisi tukibakia ati kukusanya kodi tu. We have to be part of investments zinazofanyia nyumbani, laa sivyo yaacheni mafuta na gas huko chini..
 
Kumbe unajua hiyo eee. Ndio hivyo tena.
 
Tatizo la nchi yetu ni uongozi mbaya,tusipo badili uongozi tutaendelea kulalamika tu,lazima tukubali mabadiliko hata kama hao watakao kuja wataharibu tutafanya mabadiko tena.
hakika viongozi bora tunapo bali hawapewi nafasi kabisa.
 
Kumbe unajua hiyo eee. Ndio hivyo tena.
Mkuu naelewa sana yanayofanyika Bongo. BVinafsi yangu nadhani tungechukua mifano ya nchi kama Saudia na Qatar hawa jamaa zetu kwa miaka 35 walikuwa wakilipa deni la uchimbaji mafuta na kama unakumbuka miaka ya 70 walikuwa maskini tu kama sisi. Lakini walichoklifanya wao ni UBIA ambao pamoja na kutokuwa na wataalam ktk uchumbaji wafuta walifungua mashirika yao wenyewe ndani ambayo yaliajiri watalaama kutoka nje ngazi zote muhimu. Haya mashirika yakajijenga taratibu ndani japokuwa kodi ya mfuko wa Taifa ilikuwa ndogo kutokana na madeni..

Leo hii hayo mashirika ndio yanaendesha uchumi wa Saudia Qatar, Dubai na UAE ambao mbali kabisa na kodi zinazokusanywa, lakini sisi kina Yakhe kwa ujinga wetu tunauza kila kitu kama nyumba za Kariakoo ati mtaji tosha wa kwenda shamba kulima korosho. Ni wakati muafaka wa shirika letu la TPDC kuwa public na kuingia soko DSE. Halafu lazima likuchukue nafasi kubwa sana ktk ngazi zote za Exploration, Production and Technical services hata ikibidi kuajiri wageni lifanye hivyo kuharakisha uwezo wake kuyafanya yote haya pasipo kutegemea mashirika ya nje. hapa unakata kabisa mizizi ya 10% ya viongozi wetu kuingilia kati maendeleo ya mashirika hasa ya Umma.
 
Back
Top Bottom