Matukio yaliyotikisa mwaka 2018 katika picha

i-77

JF-Expert Member
May 23, 2015
724
806
Mwaka 2018 ulikua na mengi ya kushangaza, kuudhi, kuchekesha na kustaajabisha......ni lipi lilikua tukio kali zaidi kwa upande wako unaweza ku share nasi jukwaani mi naanza na hili na la samaki
Screenshot_2018-12-31-20-28-21-1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijasahau tumbua tumbua ya mawaziri bado, Kitwanga, Mwijage, Nape, na wengie ikifika ijumaa kama wewe ni mfanyakaz wa serikali beba kila kilicho chako manake jumatatu unaweza usirudi tena kazini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom