Kuna mwamba yeye alikuwa akija ghetto akilala analalia tumbo alafu kishundu anakibinua juu, mda huo kavaa boksa tupu.
Nilimtimua
 
Binafsi sionagi kama kuna haja, hata ya kuyazungumzia haya mambo naonaga ni kama kuyatangaza tuπŸ€”
Wanaoyazungumzia sana ndio washiriki wakuu na wanayapenda mno.

Mtu ambaye hana interest na hayo mambo hutamkuta anakomaa nayo.

Wanaopiga sana kelele kwenye hizi mambo ukifuatilia utakuta anashiriki.
 
Shoga ni mwanaume aliejitoa ufahamu wake akaamua kuwa taka taka.Hio idadi ulioitaja kama ni inclusive na wasagaji basi haiko Sawa.Kwa sababu msagaji ni msagaji na shoga ni shoga..Kifupi hao wazungu kuna mlango usioonekana waliufungua na bado uko wazi.
 
Huyo aliyeleta atakuwa ni mmoja wao na wanafanya kusudi. Tuone kitu cha kawaida.
 
sawa tumekusoma
 
wewe si ni wale wapendwa???hamfundishwi upendo kwa binadamu wengine??na kutokuwa judgemental since mungu mwenyewe ndio mwenye kuhukumu???hauoni kabisaa kuwa huyo mchungaji kakosea?...haya bwana...:coffee::twitch:
Kusema ushoga ni zambi ndo kukosea ?
 
Ni kweli wazungu wamechanganyikiwa au haya ni madhara ya demokrasia iliyopitiliza?

Inawezekanaje taifa lina ndoa za watu wa jinsia moja ? Hili ni kosa kubwa la kwanza

Funga kazi ni watu wa jinsia moja kuruhusiwa kupata na kukuza mtoto hilo ndilo balaah zito kwa miaka mingi ijayo

Katika mazingira haya mtoto anakua katika hali gani?

Mbona huu ni unyanyasaji mkubwa wa watoto ulioruhusiwa kwa sheria haina tofauti na kipindi cha utumwa.

Angalia hii habari ya hawa wachezaji hapa
Mtoto hapa ataweza vipi kutofautisha na kujua yupi ni baba na yupi ni mama ?

Wababa wana jinsia gani na wamama wana jinsia?

Huu ni unyanyasaji mkubwa kisaikolojia kwa mtoto toka mdogo kwa kipindi chote cha makuzi.

Hawa watu wameamua kuishi ujinga wao kuwa wapenzi wa jinsia moja kwa raha zao sasa kwa nini mateso wampatie mtoto kwa ujinga wao?

Hawa wazungu wa sasa hivi ndio wamechanganyikiwa hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…