Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kuna jambo nimeliona kuhusu Lowasa kila Raisi Magufuli afanyapo jambo kama ni kuhutubia au jambo lolote lile ambalo linaifanya nchi ijadili kesho yake Lowasa lazima atasema kitu na kuandikwa kwenye gazeti kwenye ukurasa mmoja na Raisi wa nchi, sasa Je hii inatokea tu au ni jambo ambalo limepangwa?
Nitatoa mfano siku zote Lowasa alikuwa kimya siku Raisi amehutubia Mahakama na kufanya nchi nzima ijadili Hotuba yake na yeye (Lowasa) akakutana wanaoitwa wazee wa chadema akaita waandishi wa Habari na kuwekwa ukurasa mmoja na Habari za Raisi, kama hili halikutosha jana Raisi kasafiri kwenda Dodoma kasimama Moro kuhutubia Wananchi ina maana vyombo vya Habari leo hii vimejaa Habari za Raisi Lowasa naye kaita Wahandishi wa Habari anaweka sababu zilizomuondoa CCM ambazo kila Mtz wa akili ya wastani anajua sababu alizotoa ni za Uongo kwani kila mtu anajua kwamba aliondoka CCM baada ya CCM kumkataa kwenye Uongozi!
Sasa hii timing yote ya Lowasa naweza kusema ni ktkt kutapatapa kujaribu kubakia relevant lkn atafanya hivyo mpaka lini?
Nafikiri Lowasa kuna jambo alipaswa kulielewa nalo ni hili kuna Watz hawamkubali hata afanye nini ambao ndio wengi na kuna WatanZania wachache wake ambao wanamkubali hata afanye nini na hilo halibadiliki hata afanye nini hivyo ni bora arelax tu na kusubiri 2020, kwani wengi waliomkataa wamemkataa moyoni na wachache waliomkubali wamemkubali moyoni hivyo hamna haja kutumia nguvu kujaribu kubadilisha chochote kile!
Na leo Raisi Magufuli atahutubia huko Singida kwenye maazimisho ya Chama chake ina maana kuanzia kesho Habari ni za Magufuli tu, sasa natabiri utoto tena fisadi Lowasa na yeye atafanya jambo ili pia aandikwe kwenye Magazeti sambamba na Raisi wa nchi!