Matukio ya Rais Magufuli na timing za Lowassa

Watu wenye hekima na busara huwa makini kujitambulisha kwa watu. Kibaya hujitembeza na kizuri hujiuza.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Yaani lowasa kuja kutoka vichwani mwenu sijui ni lini dah!
 
Kuna jambo nimeliona kuhusu fisadi Lowasa kila Raisi Magufuli afanyapo jambo kama ni kuhutubia au jambo lolote lile ambalo linaifanya nchi ijadili kesho yake fisadi Lowasa lazima atasema kitu na kuandikwa kwenye gazeti kwenye ukurasa mmoja na Raisi wa nchi, sasa Je hii inatokea tu au ni jambo ambalo limepangwa?

Nitatoa mfano siku zote Lowasa alikuwa kimya siku Raisi amehutubia Mahakama na kufanya nchi nzima ijadili Hotuba yake na yeye (Lowasa) akakutana wanaoitwa wazee wa chadema akaita waandishi wa Habari na kuwekwa ukurasa mmoja na Habari za Raisi, kama hili halikutosha jana Raisi kasafiri kwenda Dodoma kasimama Moro kuhutubia Wananchi ina maana vyombo vya Habari leo hii vimejaa Habari za Raisi Lowasa naye kaita Wahandishi wa Habari anaweka sababu zilizomuondoa CCM ambazo kila Mtz wa akili ya wastani anajua sababu alizotoa ni za Uongo kwani kila mtu anajua kwamba aliondoka CCM baada ya CCM kumkataa kwenye Uongozi!

Sasa hii timing yote ya Lowasa naweza kusema ni ktkt kutapatapa kujaribu kubakia relevant lkn atafanya hivyo mpaka lini?

Nafikiri Lowasa kuna jambo alipaswa kulielewa nalo ni hili kuna Watz hawamkubali hata afanye nini ambao ndio wengi na kuna WatanZania wachache wake ambao wanamkubali hata afanye nini na hilo halibadiliki hata afanye nini hivyo ni bora arelax tu na kusubiri 2020, kwani wengi waliomkataa wamemkataa moyoni na wachache waliomkubali wamemkubali moyoni hivyo hamna haja kutumia nguvu kujaribu kubadilisha chochote kile!

Na leo Raisi magufuli atahutubia huko Singida kwenye maazimisho ya Chama chake ina maana kuanzia kesho Habari ni za Magufuli tu, sasa natabiri utoto tena fisadi Lowasa na yeye atafanya jambo ili pia aandikwe kwenye Magazeti sambamba na Raisi wa nchi!
Hii obsession uliyokua nayo kwa EL itakufanya uchizike
 
IPP media ndo wanampa promo kwenye front page za vyombo vyao vya habari hasa NIPASHE NEWS
 
Mseme msiseme Lowassa ni jembe na mwanasiasa nguri..hana hasira na anajua nini anataka. Mafisiem kazi kulazimisha kila kitu ...hii nchi ni ya watu wrote , kwa nini ionekane ajabu Lowassa kuonekana kwenye Magazeti? Hata wewe kama unataka ita waandishi wa hatari utatoka ukutasa wa mbelel
 
Nampenda Lowassa rais wa moyo wangu, kipenzi cha watu.
Tatizo Magu hajui kupata coverage, anatokelezea eti anashona gauni la mfanyakazi wa ikulu, sijui ndio siasa za kisukuma?
 
Lowassa hataki kupotea upesi lakini kuna kipindi kitafika atachoka. Magufuli ni mchapakazi, hafanyi sanaa, ndio nature yake.
 
Kazi ipo!!! Graph ya mwenzie inapanda kwa kasi ya Kwake inaendelea kuporomoka. Hivi sababu za kutoka CCM ataziongea kila siku??? Kama anataka kurudi arudi tu. CCM ni nyumbani Mzee wangu. Hata mwana mpotevu aliporudi alifanyiwa bonge la pati.

Queen Esther
Ichore tuione hiyo graph
 
wE
Ni heshima kwa Mungu kumzomea fisadi Lowasa ~~ Lema
WEWE BADO UTAKUA UNAONGOZWA NA ITFAKI ZA KIHAFIDHINA NDO MAANA HUJUI KUA BINADAMU TULIUMBWA KATIK HALI YA KUBADILIKABADILIKA, HAKUNA MKAMILIFU NA NDO MAANA KUKAWA NA KITUBIO KWA WAAMINIO. SASA KAMA LEMA NA LOWASSA WALISHAYAMALIZA YAO NAWE BADO UNASHADADIA HUU UPUUZI WA KALE. WAO HAWAKO TENA NA WANENDELAZA HILI GURUDUMU KWA MAENDELEO YA TAUFA KWA SASA.
 
Kuna jambo nimeliona kuhusu fisadi Lowasa kila Raisi Magufuli afanyapo jambo kama ni kuhutubia au jambo lolote lile ambalo linaifanya nchi ijadili kesho yake fisadi Lowasa lazima atasema kitu na kuandikwa kwenye gazeti kwenye ukurasa mmoja na Raisi wa nchi, sasa Je hii inatokea tu au ni jambo ambalo limepangwa?

Nitatoa mfano siku zote Lowasa alikuwa kimya siku Raisi amehutubia Mahakama na kufanya nchi nzima ijadili Hotuba yake na yeye (Lowasa) akakutana wanaoitwa wazee wa chadema akaita waandishi wa Habari na kuwekwa ukurasa mmoja na Habari za Raisi, kama hili halikutosha jana Raisi kasafiri kwenda Dodoma kasimama Moro kuhutubia Wananchi ina maana vyombo vya Habari leo hii vimejaa Habari za Raisi Lowasa naye kaita Wahandishi wa Habari anaweka sababu zilizomuondoa CCM ambazo kila Mtz wa akili ya wastani anajua sababu alizotoa ni za Uongo kwani kila mtu anajua kwamba aliondoka CCM baada ya CCM kumkataa kwenye Uongozi!

Sasa hii timing yote ya Lowasa naweza kusema ni ktkt kutapatapa kujaribu kubakia relevant lkn atafanya hivyo mpaka lini?

Nafikiri Lowasa kuna jambo alipaswa kulielewa nalo ni hili kuna Watz hawamkubali hata afanye nini ambao ndio wengi na kuna WatanZania wachache wake ambao wanamkubali hata afanye nini na hilo halibadiliki hata afanye nini hivyo ni bora arelax tu na kusubiri 2020, kwani wengi waliomkataa wamemkataa moyoni na wachache waliomkubali wamemkubali moyoni hivyo hamna haja kutumia nguvu kujaribu kubadilisha chochote kile!

Na leo Raisi magufuli atahutubia huko Singida kwenye maazimisho ya Chama chake ina maana kuanzia kesho Habari ni za Magufuli tu, sasa natabiri utoto tena fisadi Lowasa na yeye atafanya jambo ili pia aandikwe kwenye Magazeti sambamba na Raisi wa nchi!

Unasema "bora a - relax asibiri 2020", kwa nini?

Umesahau kwamba mwisho wa uchaguzi huu ndiyo mwanzo wa harakati za uchaguzi unaofuata eeh??

Acha bwana, kama wewe ulimchagua Magufuli, sisi wengine tulimchagua Lowassa na ndiye Rais wetu iwe mvua au jua na tunafurahi sana tunapomuona ktk harakati za maandalizi ya uchaguzi wa 2020.

Nikuulize swali hili maana umemwita mara nyingi sana ktk bandiko lako kama "fisadi Lowassa";

Hivi mahakama ya mafisadi imeshaanzishwa tayari? Lini huyu unayemwita "fisadi Lowassa" atapelekwa ktk mahakama hiyo ili kujibu mashtaka ya ufisadi ambao binafsi sielewi ni upi??
 
Haya Lowasa alishinda , kwa wabunge wangapi mlionao.??

Hivi ukawa wabunge 76 ccm 281 . sasa huyu lowasa angeongoza vipi nchi??

Kwa upumbavu walionao Nyumbu hata hili hawalioni

CHADEMA na Lowasa ni maidiots ndiyo maana wanaamini mambo ambayo hayay
Unasema "bora a - relax asibiri 2020", kwa nini?

Umesahau kwamba mwisho wa uchaguzi huu ndiyo mwanzo wa harakati za uchaguzi unaofuata eeh??

Acha bwana, kama wewe ulimchagua Magufuli, sisi wengine tulimchagua Lowassa na ndiye Rais wetu iwe mvua au jua na tunafurahi sana tunapomuona ktk harakati za maandalizi ya uchaguzi wa 2020.

Nikuulize swali hili maana umemwita mara nyingi sana ktk bandiko lako kama "fisadi Lowassa";

Hivi mahakama ya mafisadi imeshaanzishwa tayari? Lini huyu unayemwita "fisadi Lowassa" atapelekwa ktk mahakama hiyo ili kujibu mashtaka ya ufisadi ambao binafsi sielewi ni upi??

Hilo swali ningekuomba ulielekeze kwa Lema, Kubenea, Lisu, Slaa, Mbowe & Co.
 
CHADEMA na Lowasa ni maidiots ndiyo maana wanaamini mambo ambayo hayay

Hilo swali ningekuomba ulielekeze kwa Lema, Kubenea, Lisu, Slaa, Mbowe & Co.

Duuh,Barbarosa unafanya propaganda za kisiasa cheap and very outdated sana mkuu!

Mahakama ya mafisadi si ni ya Magufuli bwana sio ya hawa uliowataja hapo, au umesahau??

Au hizi ni kelele tu zisizoweza zuia chura kulala??

Ndiyo maana kwa sbb jamaa (Lowassa) na sisi wengine tulishawaona kuwa nyie ndiyo waongo na wazushi tu. Hatutaimba tena nyimbo zenu zisizokuwa na chorus!!
 
Duuh,Barbarosa unafanya propaganda za kisiasa cheap and very outdated sana mkuu!

Mahakama ya mafisadi si ni ya Magufuli bwana sio ya hawa uliowataja hapo, au umesahau??

Au hizi ni kelele tu zisizoweza zuia chura kulala??

Kumuita kwangu Lowasa fisadi hakuhusiani na Raisi Magufuli wala Mahakama yake, bali kunatokana na nilichofundishwa na kuaminishwa na Kubenea kupitia Gazeti lake, Lema kwenye mikutano yake pamoja Slaa, Lisu na Mbowe hawa watu ndiyo walionitambulisha neno fisadi Lowasa kwangu hivyo kama kama kuna yoyote anayepaswa kujibu maswali kuhusu Ufisadi wa Lowasa ni hawa watu na siyo mimi kwani hakuna siku waliokanusha kwamba Lowasa siyo fisadi kwa kutumia njia ile ile waliyotuambia kwamba ni fisadi!
 
Kuna jambo nimeliona kuhusu fisadi Lowasa kila Raisi Magufuli afanyapo jambo kama ni kuhutubia au jambo lolote lile ambalo linaifanya nchi ijadili kesho yake fisadi Lowasa lazima atasema kitu na kuandikwa kwenye gazeti kwenye ukurasa mmoja na Raisi wa nchi, sasa Je hii inatokea tu au ni jambo ambalo limepangwa?

Nitatoa mfano siku zote Lowasa alikuwa kimya siku Raisi amehutubia Mahakama na kufanya nchi nzima ijadili Hotuba yake na yeye (Lowasa) akakutana wanaoitwa wazee wa chadema akaita waandishi wa Habari na kuwekwa ukurasa mmoja na Habari za Raisi, kama hili halikutosha jana Raisi kasafiri kwenda Dodoma kasimama Moro kuhutubia Wananchi ina maana vyombo vya Habari leo hii vimejaa Habari za Raisi Lowasa naye kaita Wahandishi wa Habari anaweka sababu zilizomuondoa CCM ambazo kila Mtz wa akili ya wastani anajua sababu alizotoa ni za Uongo kwani kila mtu anajua kwamba aliondoka CCM baada ya CCM kumkataa kwenye Uongozi!

Sasa hii timing yote ya Lowasa naweza kusema ni ktkt kutapatapa kujaribu kubakia relevant lkn atafanya hivyo mpaka lini?

Nafikiri Lowasa kuna jambo alipaswa kulielewa nalo ni hili kuna Watz hawamkubali hata afanye nini ambao ndio wengi na kuna WatanZania wachache wake ambao wanamkubali hata afanye nini na hilo halibadiliki hata afanye nini hivyo ni bora arelax tu na kusubiri 2020, kwani wengi waliomkataa wamemkataa moyoni na wachache waliomkubali wamemkubali moyoni hivyo hamna haja kutumia nguvu kujaribu kubadilisha chochote kile!

Na leo Raisi magufuli atahutubia huko Singida kwenye maazimisho ya Chama chake ina maana kuanzia kesho Habari ni za Magufuli tu, sasa natabiri utoto tena fisadi Lowasa na yeye atafanya jambo ili pia aandikwe kwenye Magazeti sambamba na Raisi wa nchi!
Lowassa ni sawa na mfa maji haachi kutapatapa urais atausikia TBC, Watanzania hatutaki mafisadi wala wana mtandao, hapa ni kazi tu
 
Kwendraaaaa!! Losa atafute mbishe ya kufanya!! Tulisha delete file zake kichwan now maguli tyuuuu!! No matter wat!
 
Kuna jambo nimeliona kuhusu fisadi Lowasa kila Raisi Magufuli afanyapo jambo kama ni kuhutubia au jambo lolote lile ambalo linaifanya nchi ijadili kesho yake fisadi Lowasa lazima atasema kitu na kuandikwa kwenye gazeti kwenye ukurasa mmoja na Raisi wa nchi, sasa Je hii inatokea tu au ni jambo ambalo limepangwa?

Nitatoa mfano siku zote Lowasa alikuwa kimya siku Raisi amehutubia Mahakama na kufanya nchi nzima ijadili Hotuba yake na yeye (Lowasa) akakutana wanaoitwa wazee wa chadema akaita waandishi wa Habari na kuwekwa ukurasa mmoja na Habari za Raisi, kama hili halikutosha jana Raisi kasafiri kwenda Dodoma kasimama Moro kuhutubia Wananchi ina maana vyombo vya Habari leo hii vimejaa Habari za Raisi Lowasa naye kaita Wahandishi wa Habari anaweka sababu zilizomuondoa CCM ambazo kila Mtz wa akili ya wastani anajua sababu alizotoa ni za Uongo kwani kila mtu anajua kwamba aliondoka CCM baada ya CCM kumkataa kwenye Uongozi!

Sasa hii timing yote ya Lowasa naweza kusema ni ktkt kutapatapa kujaribu kubakia relevant lkn atafanya hivyo mpaka lini?

Nafikiri Lowasa kuna jambo alipaswa kulielewa nalo ni hili kuna Watz hawamkubali hata afanye nini ambao ndio wengi na kuna WatanZania wachache wake ambao wanamkubali hata afanye nini na hilo halibadiliki hata afanye nini hivyo ni bora arelax tu na kusubiri 2020, kwani wengi waliomkataa wamemkataa moyoni na wachache waliomkubali wamemkubali moyoni hivyo hamna haja kutumia nguvu kujaribu kubadilisha chochote kile!

Na leo Raisi magufuli atahutubia huko Singida kwenye maazimisho ya Chama chake ina maana kuanzia kesho Habari ni za Magufuli tu, sasa natabiri utoto tena fisadi Lowasa na yeye atafanya jambo ili pia aandikwe kwenye Magazeti sambamba na Raisi wa nchi!
Pole, naona siku yako imeanza vibaya leo. Anyway, kwa kuwa ukimtaja Lowassa unapata relief, endelea tu.
 
Back
Top Bottom