Matukio ya nyota zetu.

Mambo ya nyota ukiyaamin sana unaweza kujikuta unagombana na mke wak ni hali ya kushangaza mtu anatabiri kuwa mke wak siku fulani au siku fulan kipat chako kitapungua ni Mamb ambayo hayapo
Nawe umetabiri.... Mambo usio yajua nafasi yako ni kuwa MUULIZAJI.
 
Peleka ujinga wako huko

Wadanganye wajinga wenzio huko mitaani

Umeambiwa Weka picha ya jini wewe unaleta maelezo mengi ya kitopolo tu

Ungekuwa na akili ungeandika vizuri uzi wako kwa kutulia siyo vimistari viwili ndiyo umshawishi nani sasa
 
23 Nov - 20 December

Huu utabiri umezingatia nini?

Kuna msimu au tukio gani la kisayari na kinyota kati ya Nov 23 hadi Dec 20?

Utabiri kamili huwa ni wa siku, wiki, mwezi au mwaka

Sasa huo wako sijuwi umezingatia nini ndiyo maana nasema wewe ni muongo
 
WTF is this?!.
Haya mambo yalinipoteza sana kipind cha nyuma.

Hayatakiwi kuaminiwa hata kdg.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…