KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 86
Stay tned bana, picha za kweli zinakuja ! na siziondoi baada ya sekunde (kama wenyewe) so kama utaziona leo utaziona, kamahuna muda utaziona maana zitakuwepo tu !!
Baadae kidogo !
WANAWAKE WA KIAFRIKA WAKISEREBUKA !
..kitu kama hiki kinaweza kumtia mtu kichaa!
..na zaidi kama ni kitamu kama boga la pwani lililopikwa vizuri!
..brazameni wapi?
KUNA SIKU MOH'D ALI ALIMWAMBIA BUSH YEYE CHIZI (KWA ISHARA)
ENZI ZAKE AT HIS PRIME !
SHABIKI JICHO NYANYA !
MNAKUMBUKA ????
hapo kama anasema"brazameni si nilikwambia watakuban, ukaniona mie chizi !!"
yaani kama ni hesabu, basi ni Don King= End of tyson's career !