Matukio kama haya hupangwa?

Matukio kama haya hupangwa?

maya empire

Member
Joined
Mar 24, 2017
Posts
75
Reaction score
80
1:Sokoine pale dakawa Morogoro,dereva wake alipona

2:Chacha Wangwe pale Dodoma dereva wake alipona

3:Mchungaji Mtikila katika ajari,dereva wake alipona

4:Tundu Lissu apigwa lisasi za kutosha,dereva wake hana hata kovu

Hivi hawa madereva Wa mabosi wetu,huwa wanamalaika Wa aina gani tofauti na mabosi wao?

Ongeza ajali au mashambulizi unayoyafahamu ambayo madreva walipona
 
Mafisango

First they ignore you, Then they laugh at you, Then they fight you, last you win.
 
Risasi 28 mpaka 32 zilizopigwa, risasi 5 zimempata Lissu. Mimi siyo mtaalamu wa hesabu, lakini nimejaribu kufanya hesabu hii ya 32-5=27; risasi 27 ambazo hazikufanikiwa kumpata Lissu hakuna hata moja iliyompata dereva wake. Huyu dereva wakati anamwambia Lissu asishuke kwenye gari yeye dereva alikuwa kasimama au alikuwa kakaa wapi? Inavyoonekana wauaji walitaka tukio lifanyike kwa haraka, na hawakupiga risasi wa target...walipiga hovyo hovyo. Lakini dereva hata mchubuko wa risasi hana, I can't believe ngoja tuviachie vyombo vya usalama.
 
1:Sokoine pale dakawa Morogoro,dereva wake alipona

2:Chacha Wangwe pale Dodoma dereva wake alipona

3:Mchungaji Mtikila katika ajari,dereva wake alipona

4:Tundu Lissu apigwa lisasi za kutosha,dereva wake hana hata kovu

Hivi hawa madereva Wa mabosi wetu,huwa wanamalaika Wa aina gani tofauti na mabosi wao?

Ongeza ajali au mashambulizi unayoyafahamu ambayo madreva walipona
LENGO LAKO NI KUTAKA KUDIVERT ATTENTION ILI WAHUSIKA WASIFUATILIWE NA BADALA YAKE WAHANGAIKE NA DEREVA....!!!!
 
Back
Top Bottom