Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,564
- 109,101
Mnyama ana thamani kubwa kuliko MTIKILA.Unaitwa mzoga kweli? hili neno mzoga si kwa wanyama ama na kwa binadamu?
Mnyama ana thamani kubwa kuliko MTIKILA.Unaitwa mzoga kweli? hili neno mzoga si kwa wanyama ama na kwa binadamu?
Wewe kijana mbona huna utu.Mnyama ana thamani kubwa kuliko MTIKILA.
Mtasingizia kila mtu na kuzusha sana, Tarehe 25/10/ 2015 ndio hiyo inakaribia, UKAWA na Lowassa wanachukua Ikulu kirahisi kabisa.
Lowassa anahusika. Piga uaKuuawa kwenye ajali kwa Mch Mtikila na Kingunge kutangaza kujitoa ccm! Je yametokea by coincidence au yameratibiwa kitaalam! Nawaza tu.
Kuuawa kwenye ajali kwa Mch Mtikila na Kingunge kutangaza kujitoa ccm! Je yametokea by coincidence au yameratibiwa kitaalam! Nawaza tu.
Kingunge kasema ''Vijana wengi wanataka mabadiriko isipokuwa kakundi kadogo ka uvccm kanakotumikia mafisadi''
Ogopa!unamtukuna mtu hakujibu,unasema mwizi yeye kimnya,kajinyea,mgonjw,fisadi kimya yeye ananadi sera zake,Mungu huwa anasaidia kujibu,biblia inasema,usihukumu nawe ukaja ukahukumiw,hakuna cha kushangaa hapo,ni malipo ya matusi!
Nyinyi mashetani mna utu gani? kenge wahed.Wewe kijana mbona huna utu.
Labda ikulu ya kuzimu wanakoishi mapepo sampuli yako
Mmmmh watu wengine mnashangaza sana.Lowasa hataingia ikulu kwa dhuluma za maisha, waacheni watu wafe kwa mipango ya Mungu.
Inashangaza eti karuka kutoka dilishani kisha gari likapinduka likamuangukia.
Yule mzee aliongea vibaya sana na tatizo yule mzee alikua anajifanya anajua kila kitu lakini hakujua siku yake ya kufa na atakufeje. Kwa watu wenye imani kali wanaamini maneno ni maumbaji na watu wa israeli zamani waliamini mambo mabaya yote yanayo tokea ni matokeo ya dhambi na yule mzee alifanya zambi kubwa sana kwa mungu.
Kuuawa kwenye ajali kwa Mch Mtikila na Kingunge kutangaza kujitoa ccm! Je yametokea by coincidence au yameratibiwa kitaalam! Nawaza tu.
Mungu gani huyo wa ajabu ajabu mnaemuongelea yani kaacha kuwachukua boko haram wanaoua watu wasiokuwa na hatia amekuja TZ kuchukua watu waliodhihaki afya ya mgombea wenu. Akili ni nywele . . . .
Kwani MTIKILA kafa?siwezi kuamini hadi na yeye nioene mzoga wake unafukiwa.