Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,555
Kwani MTIKILA kafa?siwezi kuamini hadi na yeye nioene mzoga wake unafukiwa.
Unaitwa mzoga kweli? hili neno mzoga si kwa wanyama ama na kwa binadamu?
Kwani MTIKILA kafa?siwezi kuamini hadi na yeye nioene mzoga wake unafukiwa.
Lowasa hataingia ikulu kwa dhuluma za maisha, waacheni watu wafe kwa mipango ya Mungu.
Kuuawa kwenye ajali kwa Mch Mtikila na Kingunge kutangaza kujitoa ccm! Je yametokea by coincidence au yameratibiwa kitaalam! Nawaza tu.
Ukawa wenzako tangu asubuhi wanasema vifo hivyo ni nguvu za Lowasa haya tujiulize kwa nini atumie nguvu za namna hii kupata urais?
Unaitwa mzoga kweli? hili neno mzoga si kwa wanyama ama na kwa binadamu?
Yule mzee aliongea vibaya sana na tatizo yule mzee alikua anajifanya anajua kila kitu lakini hakujua siku yake ya kufa na atakufeje. Kwa watu wenye imani kali wanaamini maneno ni maumbaji na watu wa israeli zamani waliamini mambo mabaya yote yanayo tokea ni matokeo ya dhambi na yule mzee alifanya zambi kubwa sana kwa mungu.Kesi yake ya kumshitaki manvi kuwa anaumwa so hana haki ya kugombea kwa sababu ni mgonjwa na hivyo hataweza kuishi mda mrefu. Hata kombani alisema mwache mzee akafie chadema lakini leo kafa yeye.
Kwa binadamu ni maiti. Kutumia mzoga ni kukosa ustaarabu!
Kuuawa kwenye ajali kwa Mch Mtikila na Kingunge kutangaza kujitoa ccm! Je yametokea by coincidence au yameratibiwa kitaalam! Nawaza tu.
Kingunge alishapanga kuongea na wanachi, Mtikila hakupanga kupata ajali leo, so hayakupangwa wala kuratibiwa, iwe kitaalam au sio kitaalamKuuawa kwenye ajali kwa Mch Mtikila na Kingunge kutangaza kujitoa ccm! Je yametokea by coincidence au yameratibiwa kitaalam! Nawaza tu.
So what's the difference! "being killed in accident and being killed in a car crush?"
Kuuawa kwenye ajali kwa Mch Mtikila na Kingunge kutangaza kujitoa ccm! Je yametokea by coincidence au yameratibiwa kitaalam! Nawaza tu.
Kwa mawazo haya lazma wewe ni kilazaKuuawa kwenye ajali kwa Mch Mtikila na Kingunge kutangaza kujitoa ccm! Je yametokea by coincidence au yameratibiwa kitaalam! Nawaza tu.
Kuuawa kwenye ajali kwa Mch Mtikila na Kingunge kutangaza kujitoa ccm! Je yametokea by coincidence au yameratibiwa kitaalam! Nawaza tu.
Kuuawa kwenye ajali kwa Mch Mtikila na Kingunge kutangaza kujitoa ccm! Je yametokea by coincidence au yameratibiwa kitaalam! Nawaza tu.
Mkuu una akili sana,conspiracy theory,unaunganisha dots tu....ur a great thinker,time will tell,autopsy