Matukio haya iweje yatokee siku moja?

Matukio haya iweje yatokee siku moja?

Ghosryder

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
10,707
Reaction score
4,577
Kuuawa kwenye ajali kwa Mch Mtikila na Kingunge kutangaza kujitoa ccm! Je yametokea by coincidence au yameratibiwa kitaalam! Nawaza tu.
 
Kuuawa kwenye ajali kwa Mch Mtikila na Kingunge kutangaza kujitoa ccm! Je yametokea by coincidence au yameratibuwa kitaalam! Nawaza tu.

Mkuu usichoelewa nini hapo mzee kala ela za watu afu bado yupo ccm alivyoona watu wananyolewa nayeye katia maji teh teh teh siasa za bongo bhana.
 
Mkuu usichoelewa nini hapo mzee kala ela za watu afu bado yupo ccm alivyoona watu wananyolewa nayeye katia maji teh teh teh siasa za bongo bhana.

Unaweza kuwa sawa mkuu.
 
shuts your mouth "k"
hajauwawa!/
amefariki ajalini!!!
why you.........
 
Kuhama kwa huyo babu wala si tukio ni siku nyingi alishaachana na CCM baada ya ENL kuhamia CHADEMA.
 
Kuuawa kwenye ajali kwa Mch Mtikila na Kingunge kutangaza kujitoa ccm! Je yametokea by coincidence au yameratibiwa kitaalam! Nawaza tu.
Kwani MTIKILA kafa?siwezi kuamini hadi na yeye nioene mzoga wake unafukiwa.
 
Matukio mengi hutokea kwa wakati mmoja.Mbona mkwe...reee alikuwa ughaibuni huku nyuma akiacha migomo na matukio mbalimbali?Cha ajabu nini?
 
shuts your mouth "k"
hajauwawa!/
amefariki ajalini!!!
why you.........

Chadema ndio zao, walianza na chacha wakamkosa zito, sasa wamelala na mtkla, na wanamuwinda magfl. Tunaomba mgombea wetu aongezewe ulinzi maana hawa jamaa wakoradhi kuua waingie ikulu.
 
Kesi yake ya kumshitaki manvi kuwa anaumwa so hana haki ya kugombea kwa sababu ni mgonjwa na hivyo hataweza kuishi mda mrefu. Hata kombani alisema mwache mzee akafie chadema lakini leo kafa yeye.
 
Kuuawa kwenye ajali kwa Mch Mtikila na Kingunge kutangaza kujitoa ccm! Je yametokea by coincidence au yameratibiwa kitaalam! Nawaza tu.

Ndugu yangu hii imeratibiwa kitaalamu. Wapiga dili wapo ofisini wanaandaa ushindi.
 
Lowasa hataingia ikulu kwa dhuluma za maisha, waacheni watu wafe kwa mipango ya Mungu.

Ukawa wenzako tangu asubuhi wanasema vifo hivyo ni nguvu za Lowasa haya tujiulize kwa nini atumie nguvu za namna hii kupata urais?
 
Back
Top Bottom