Matukio haya iweje yatokee siku moja?

Matukio haya iweje yatokee siku moja?

Kwa binadamu ni maiti. Kutumia mzoga ni kukosa ustaarabu!

Hamjamuelewa jamaa. Mtikila mwenyewe alitamka kwamba ataishtaki serikali ya Mkapa kwakutumia kodi ya walalahoi kusafilisha mzoga wa Nyerere.

Aidha mmesahau kamailivo kawaida yenu watanzania, au mlikuwa watoto hamjui hiloneno mzoga kama Mtikila huyohuyo anayependwa nawana Ccm leo kisa kawasaidia kumsema vbya Lowasa, nenohilo hilo lilitamkwa na Mtikila huyuhuyu dhidi muasisi no1 wa Ccm.
 
Nakumbuka sana na wala sijasahau kauli hiyo chafu ya mtikila. Lakini sikiliza mkuu kuna huu msemo;
Two wrongs don't make a right!
 
Kuuawa kwenye ajali kwa Mch Mtikila na Kingunge kutangaza kujitoa ccm! Je yametokea by coincidence au yameratibiwa kitaalam! Nawaza tu.

endelea kuwaza,km uko hai kwa nn usiwaze???!
 
Unamaana wame mdaudi balali?
Wamemchacha Wangwe ni mlinganisho sahihi zaidi kwani hata mazingira ya kifo yanafanana fanana. Angekuwa amefia nje na kuzikwa kinyemela ndo tungesema amedaudi balaliwa!
 
Ukawa wenzako tangu asubuhi wanasema vifo hivyo ni nguvu za Lowasa haya tujiulize kwa nini atumie nguvu za namna hii kupata urais?

Kumbe issue ni Ukawa, pika ukimaliza jifunge ile kanga ya ' ccm mbele kwa mbelee' kisha ule
 
jaman ile c ajal au kamanda wa polisi amesemaje,mtu uko ngara na tecno yako ila ndo fund wa tukio la pwani!!acheni izo
 
Kuuawa kwenye ajali kwa Mch Mtikila na Kingunge kutangaza kujitoa ccm! Je yametokea by coincidence au yameratibiwa kitaalam! Nawaza tu.

Hatuendelei kwa kuwaza vitu visivyo na misingi,haya nenda kwa babu ukapige ramli
 
Kuuawa kwenye ajali kwa Mch Mtikila na Kingunge kutangaza kujitoa ccm! Je yametokea by coincidence au yameratibiwa kitaalam! Nawaza tu.

Swali? je? Wale ambao alikuwa nao kwenye Gari wamehojiwa? Kwani mtikila ameuawa au Kafariki? Ghosryder naomba kujulishwa
 
Kwani mtikila hakuwa na ulinzi? Hakuwa anasafiri na Ndugu zake?
 
Back
Top Bottom