Na nasikia thamani ya Mugalu imepanda,tafadhali aongezewe mshahara piaNa Boko pia aongezewe mshahara jamani.
kwa lugha rahisi kabisa ya alama ni dhahiri Pablo hataki matola kuwa sehem ya wasaidizi wake sijui alilishwa matango pori? au yupo sawa?, tena unaweza shangaa suku matola akiondoka na kumwacha anakuwa mtulivu …..!
sijajua nadhani lazma itakuwa wikiend hii inayofuataHivi ni lini?
Mambo ya simba tuachie wanasimbaWewe unafurahia Matola anavyo choreshwa Na Pablo?
Sio kunuongezea mshahara bali ni kumfukuza kaziKazi ya Kwanza ni majukumu yake kama kocha msaidizi
Kazi ya Pili ni kutuliza mashetani ya Pablo.
Pablo is so much in touch with his femine side yaani kajamaa kanakasirika kasirika Kila saa ili kabembelezwe utafikiri ka Manzi.
On a serious note: Kuna uwezekano mkubwa Sana Pablo akawa crack head.
Sijui anatoka nchi Gani but Kwa Jina lake I guess anatoka South America. Kuna uwezekano mkubwa Sana Pablo akawa anatumia vitu vyeupe.
What to expert from Simba now?
Simba wanaweza kupoteza mechi nyingine kama mbili au tatu Na pacha kama tatu ( hata kama sio mfululizo) kama.Pablo ataendelea kuwepo Simba huku Sababu yangu kubwa ikiwa Ni bechi la ufundi Na wachezaji watamchoka Na watataka aondolewe klabuni so NJIA pekee itakuwa ni kufanya sabotage
22 JanuaryHivi ni lini?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ety mitamaKajamaa hakataki kukaa Africa kapo bongo Kwa Sababu ya njaa tu lakini nna uhakika kakipata vihelahela kidogo katarudi Spain au kwao South America..
Sijui wanafanya vipi Kazi Na boss WA namna HII.
Mimi nipo Yanga but Matola Hadi namuonea huruma. Anafanya Kazi katika mazingira magumu Sana Yani ingekuwa uswahilini Matola lazima uvumilivu ungemshinda Ange kapiga Mitama.
Kana mchoresha mno