Matokeo yangu ni CDE

Matokeo yangu ni CDE

Ben bizzoh

Senior Member
Joined
Dec 28, 2013
Posts
121
Reaction score
5
Habari wanajamvi nimesoma mchepuo wa EGM eti kwa mm naweza kupokelewa UDSM au ARDHI kwa course yoyote nzur ukiachana na education ..na kama ipo ni ipi ...msaada tafadhali[emoji120] [emoji120]
 
Kwa Udsm ,education hupat labda ba statistics and economics
 
Nenda ardhi utapata
Land management,interior design,n.k utaangalia guidebook
 
Back
Top Bottom