Matokeo ya Utafiti wa kisomi vs Utafiti wa wapiga kura....

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Twaweza walikuja na utafiti wao waliouita wa kisomi japo ukweli waliuweka kapuni, sasa tuulinganishe na utafiti wa wapiga kura halisi tuone ukweli uko wapi.

TWAWEZA: CCM 65: CHADEMA: 26 - Utafiti huu ni dhahiri umefanyikia lumumba, japo uliwaumbua lakini ndiyo hivyo wamepotosha.


12003351_923870537650712_3753308231511699711_n.jpg


12002976_923783194326113_6302373684357781897_n.jpg
 
Back
Top Bottom