Exclamation zimeanza 😃 😀 😄
 
Kwanini fani mbili tofauti zenye nafasi sawa ziwe na idadi tofauti ya watu waliochaguliwa?
Mfano Academic wameitwa 25 na Warden wameitwa zaidi ya 50
 
Naomba kujua kidogo, utaratibu huu mpya unaficha nini?
Siasa?
Dini?
Ukabila?
Udugurism?
Kwani majina ya waliochaguliwa na kutochaguliwa waliomba TRA yametoka kimajina kama vile matokeo ya Form iv na Form six
 
Naomba kujua kidogo, utaratibu huu mpya unaficha nini?
Siasa?
Dini?
Ukabila?
Udugurism?
Kwani majina ya waliochaguliwa na kutochaguliwa waliomba TRA yametoka kimajina kama vile matokeo ya Form iv na Form six
Duh dini tena
 
Naomba kujua kidogo, utaratibu huu mpya unaficha nini?
Siasa?
Dini?
Ukabila?
Udugurism?
Kwani majina ya waliochaguliwa na kutochaguliwa waliomba TRA yametoka kimajina kama vile matokeo ya Form iv na Form six
Siasa,dini,ukabila unasaidia nn au function yake kwenye position husika ni nini?
 
Hivi unafahamu vyuo vikuu na vyuo vya kati vyote nchini, private& government owned, vinatoa wahitimu kias gani Kwa mwaka kwenye soko la ajira?
Tatizo elimu yetu haisaidii kutafuta majibu ya matatizo yanayosumbua taifa, lkn pia ujinga wa wenye dhamana kudhani tatizo km la ajira Tanzania ni lile lile hata kwa Marekani, Misri nk..si kweli na hivyo kujifariji na kutotafuta majibu..
Waliosoma Adv. Maths topic ya "integration au integrals" inaelekeza..zipo hesabu ukipewa huwezi kusolve unless umeiweka katika sehemu ndogo ndogo tofauti kabla ya kui-solve yote pamoja.."integration by parts" first..na hivyo matatizo mengine km ya ajira..kwa jinsi ilivyo huwezi kulitafutia majibu kwa jumla km lilivyo, fuata kanuni ya integration by parts..kwamba livunje vunje tatizo la ajira kisekta, kimkoa, kiwilaya, kiumri nk kwa kupata majibu kwanza ktk hizi parts kwanza then unaunganisha majibu ya parts kutafuta jibu moja! Mm nadhani hesabu zinatoa maarifa ya namna ya kutatua matatizo..! Watunga sera wanaposifia tu tatizo na kulinganisha na nchi zingine maana yake wameshagota hawana majibu..ni ujinga kuitisha usaili watu zaidi ya 2,000 kwa nafasi 10!
 
Baba Muumba Amekujalia Umebahatika Kuongeza Sahani Ya Ndigwa,,Hongera Mamii,,I Appreciate You So Cooled😍
Ahsante sana mkuu, namshukuru kwa kweli, ngoja tupambane kwenye hatua zingine sasa, ila "sahani ya ndigwa" ni nini hapo umeniacha😀😀
 
Ingia kwenye page ya TRA, twiter wamepost anwani ya kutuma malalamiko yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…