Matokeo ya UDIWANI BUKOBA Mjini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya UDIWANI BUKOBA Mjini

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kenge (Eng), Oct 31, 2010.

 1. K

  Kenge (Eng) JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Dec 7, 2006
  Messages: 502
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Habari ndio hiyo. KATA 8 matokeo yametangazwa 4 CCM - 4 Upinzani
  1. Kata ya Ijugayondo ilikotua Elcopter ya Slaa - CHADEMA (ilikuwa CCM)
  2. Kata Kibeta kwa Lwakatare - CHADEMA (ilikuwa CUF)
  3. Kata Rwamishenye - CHADEMA (ilikuwa CUF)
  4. Kata Bilele - CUF (ilikuwa CUF)
  5. Kata Kagondo - CCM (Anatory Amani aliyetemwa kuwa sio raia na CCM wakat huo akiwa m/kiti wa CCM wa Mkoa. (ilikuwa CCM)
  6. Kata Hamgembe - CCM (ilikuwa CUF)
  7. Kata nyanga - CCM (ilikuwa CCM)
  8. Kata Miembeni - CCM. (ilikuwaCCM)
   
 2. R

  Rugemeleza Verified User

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 26, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mchuano ni mkali sana lakini hayo ni mapinduzi huenda Chadema na CUF wataongoza jimbo hilo.
   
 3. Gwamahala

  Gwamahala JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 3,577
  Likes Received: 925
  Trophy Points: 280
  Hebu mkuu jaribu kupata figures plizzzz
   
Loading...