Matokeo ya Uchaguzi wa Udiwani Feb 09, 2014: CCM yaibuka kidedea!

Mkuu wapi Saa nane, Yericko...........waliweka kambi iringa kwenye kata za Nduli na Ibumu...........wamepata habari yao walifikiri kuandika uongo JF ndio siasa.............sasa wamegundua kwamba mtu kupata ushawishi kwenye siasa sio masihara!
Tumueni akili kufikiria na sio makalio kama mnayotumia magamba,hv hao wenye haki ya kupiga kura tangu mwaka 2010 kwa nini hawajaandikishwa?Kumbuka kila lenye mwanzo lina mwisho mtakwepa haki za watu ila ipo siku watazidai.
 
Mshauri mkuu wa cdm ni lisu mimi hadi naingia kaburini ukiniuliza lisu ni mwanasiasa nitakwambia sio mwanasiasa analeta ubishi wa mahakamani wa sheria kwenye jukwaa la siasa wapi na wapi ndio mana hata kwenye jimbo lake yupo katika hali ngumu kwa wananchi majaliwa yake tusubiri nusura za mwenyezimungu
 
Tumueni akili kufikiria na sio makalio kama mnayotumia magamba,hv hao wenye haki ya kupiga kura tangu mwaka 2010 kwa nini hawajaandikishwa?Kumbuka kila lenye mwanzo lina mwisho mtakwepa haki za watu ila ipo siku watazidai.
kwaiyo unaamini wote hambao hawajaandikishwa ni wana cdm.!? Huoni kama humo pia ccm wamo pia maana wao pia wana watoto walotimiza umri wa kuandikishwa
 
KATA ZA UCHAGUZI MDOGO KATA ZOTE

Kata-Halmashauri

1 Segela Chamwino
2 Mpwayungu
3 Ukumbi Kilolo
4 Ibumu
5 Nduli Iringa
6 Malindo Rungwe
7 Santilya Mbeya
8 Tungi Morogoro
9 Mkwiti Tandahimba
10 Mkongolo Kigoma
11 Sombetini Arusha
12 Mrijo Chemba
13 Magomeni Bagamoyo
14 Kibindu
15 Mtae Lushoto
16 Ubagwe Ushetu
17 Namikago Nachingwea
18 Partimbo Kiteto
19 Loolera
20 Kiwalala Lindi
21 Kilelema Buhigwe
22 Kiomono Tanga
23 Kasanga Kalambo
24 Rudewa Kilosa
25 Kiboroloni Moshi
26 Njombe Mjini Njombe
27 Nyasura Bunda,

KATA ZA CHADEMA
Kiborloni iliyoko Moshi Mjini, kata ya Sombetini na Njombe mjini.

ZILIZOBAKIA ZOTE ZILIKUWA KATA ZA CCM hivyo hakuna aliyemnyangánya kata mwenzake

Chopa 3 kata 3 =matumizi mabovu ya rasilimali

Chezea watanzania wewe?

Wacha uongo wewe,kata ya Sombetini ilikuwa ya ccm
 
Ni mtazamo wangu kwa hakika kuwashkuru wanaJF kwa michango yao mingi yenye busara.lakini niungane na prof Mwesiga Baregu na prof abdallah safari kauli walizozitoa kipindi cha songombingo la kuwavua madaraka pamoja na uanachama aliyekua Naibu katibu mkuu mh zzkabwe na wenzake.original akitoa kauli namnukuu"nadhan kamati mkuu tufikie mahali tuwe na busara katika maamuz yetu yasivuke mipaka"ukweli wa kauli hii umeanza kutimia kwa vitendo 9/02/014 baada ya kujionea kata 24 kuwait ccm na chadema ikinyanganywa 2ikiwamo ya kigoma jimboni kwa zitto.natoa nasaha zangu kua chadema ni chama makini na endapo kitaangaza zaidi mikakati ya ushindi 2015 c kuwaangalia kina kabwe.adhabu ya awali ya kuwavua uongozi Ilikua inatisha na inatosha ama hili la kuwavua uanachama ni sawa na "chura kujua umuhimu wa Maji wakati yamekauka"niwaombe chadema yafuatayo
1-zifanyike siasa za ushawishi na busara
2-tusibweteke na nyomi huwrnda watu wanashangaa chops
3-tuwarekebishe baadhi ya viongozi wetu wanaopenda kutumia lugha zinazofanania mamatusi au matusi
4-tuwashawishi wanachama wetu kutofanya fujo yeyote ile wakati wa mikutano yetu
5-tuwafundishe vijana wa red brigade namna ya udhibiti wa wizi wa kura
6-tueleze sera za chama chetu si kila kukicha sisi na richmond.
Mwisho kabisa ni watakie maandalizi mema kwajili ya kikao cha kupima nini kimechangia tukashindwa japo kutikisa ata kara 19
 
Tumueni akili kufikiria na sio makalio kama mnayotumia magamba,hv hao wenye haki ya kupiga kura tangu mwaka 2010 kwa nini hawajaandikishwa?Kumbuka kila lenye mwanzo lina mwisho mtakwepa haki za watu ila ipo siku watazidai.

Dogo kila kukicha mnapiga propaganda kwamba mnakubalika nchi nzima.......maana yake ni kwamba hata wapigakura waliojiandikisha wanawakubali.........nini maana ya kukubalika nchi nzima?
 
kwaiyo unaamini wote hambao hawajaandikishwa ni wana cdm.!? Huoni kama humo pia ccm wamo pia maana wao pia wana watoto walotimiza umri wa kuandikishwa

Kama ndivyo uoga wa nini,wapeni watu haki yao kama ni wenu basi mfaidi zaidi sio kwa hila hizi za kutegemea polisisiem na mbinu za kishetani.
 
Dogo kila kukicha mnapiga propaganda kwamba mnakubalika nchi nzima.......maana yake ni kwamba hata wapigakura waliojiandikisha wanawakubali.........nini maana ya kukubalika nchi nzima?

Ni kwa nini mnanunua shahada za kura?kwa nini watu majina yao kwenye daftari ni tofauti na kadi zao?kwa nini mnawategemea polisisiem wapige mabomu ili muibe kura?Acheni huo ushetani wenu ipo siku raia watakomaa kwenye haki zao.
 
Hii mziki kwny uchaguzi wa serikali za mitaa utaendelea wataisoma namba kuianguasha ccm ni Sawa na ngamia kupenya kwny tundu la sindano
 
Dogo kila kukicha mnapiga propaganda kwamba mnakubalika nchi nzima.......maana yake ni kwamba hata wapigakura waliojiandikisha wanawakubali.........nini maana ya kukubalika nchi nzima?

nashangaa ccm kushinda lindi akati walikua wanachoma nyumba za ccm du kweli watz ni inconsistency
 
Watanzania wana akili sana hawawezi kuongozwa na chama cha wahuni kama CHADEMA,wataendelea kujitawala huko kwao
 
Safi sana undugulaization na matabaka yamewakost.... Na bado uraisi mm nampa lowassa.... Jimboni kwetu alikua chadema hakuna maendeleo hata moja bora warudi ccm wetu..
 
Back
Top Bottom