Matokeo ya Uchaguzi wa Udiwani Feb 09, 2014: CCM yaibuka kidedea!

Mshenzi eti chopa 3 kata 3 alokwambia chopa zilienda kufanya kampeni nani.. pamoja na mabilioni yote mlompa Zitto tathmini mmeiona.Kaka CDM mmemalizwa na dhambi zenu za ukanda na uhafidhinaa vivaaaaaa CCM.Watu walikuwa wafuata chopa kwa mikutano yenu ya CDM kazi kwenu kulipa hayo madeni na msisahau 10% yenu maana twawajua kwa mambo yenuu yalee
 
Machadema yamekufa rasmi, wembe uliowanyoa cuf na nccr ndio unaowanyoa machadema saivi

Mbona hilo linajulikana tangu zamani kuwa wanaofanya kazi ya kuuwa vyama vya upinzini ni CCM lakini imekutana na kisiki cha mpingo CHADEMA.
 
ama kweli sina iman tena na chadema, yaani bado wananchi hawana iman na tena, nilitegemea chadema kutokana na kuzunguka nchi nzimaa na chopaa wangenyakua hata kata kumi lkn looooh! ndo wamepoteza diraa.
ccm itadumu milele pamojana kwamba roho inaniumaaa.

Ulikua nayo lini? Mamluki wewe tuliza kipago
 
watanzania wengi ni wajinga wakutupwa,wako tayari kukalia misumari unao mchoma na kumpa maumivu kisa tu kauzoea.

Daaa! kweli baadhi ya mitz mijinga kabisa,ndio maana 2taendelea kusafa,ona saiz daw la umeme limepanda,karibu vi2 vingi vimebadilika.ila manyinyiemu yamebobea kwa kuiba kura!
 
Ridhiwani mjumbe wa mkutano mkuu bagamoyo
Salma mjumbe wa mkutano mkuu mkoa wa lindi
Jk mwenyekiti ccm taifa
Mtoto wa Jk na Salma mwenyekiti wa chipukizi taifa
Ukoo wa Jk
Huu sio u gt!vp kuhusu tuhuma za mbowe kuteua mahawara kuwa wabunge viti maalum,vp kuhusu wake wawili wa slaa kuwa wabunge,vipi mtoto wa ndesamburo,vipi mdogo wa tundu lisu!huna hoja hapa think big kwenye thread sio unachokitaka
 
Inasikitisha kuona CHADEMA chama kukuu cha upinzani kufanya vibaya katiaka chaguzi ndogo za madiwani. Tumeshinda viti 3 kati ya 27, baadhi ya viongozi wawajibishwe. Inaniumiza sana na kuona tatizo nini? Mpasuko ndani ya chama umeanza kuonekana. Magomvi yasio na tija yanaanza kutuumiza, tusipoangalia 2015 tutapoteza viti vya wabunge zaidi ya nusu. For your reference!

sisi nyumba nzima watu tisa ni CHADEMA mwenye kitambulisho cha kupiga kura ni mmoja tu . Nyumba ya jirani yetu kuna watu kumi na mbili na wote wanakadi za CHADEMA na wote hawana vitambulisho vya wapiga kura .wote tunasubiri kwa hamu kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura 2015 ! .kwahiyo magamba msijifariji subirini kivumbi 2015
 
Hali chama sasa sio nzuri kuna mtafaruku mkubwa sana ambao unaendelea chini kwa chini kuna kundi linashinikiza Tundulisu afuatiliwe kwa makini ikiwezekana kuadhibishwa kabisa kwa madhara makubwa aliyokisababishia chama,kundi hilo linasemwa yeye ndio aliishauri kamati kuu vibaya sababu ya chuki zake tu dhidi ya Zitto,kundi lingine likamtupia lawama lema kuwa kile kikao cha siri walichokaa Moshi waliazimia wamuangukie Zitto wajumbe wote walikubaliana hilo lakini Lema alilipinga kwa nguvu akiungwa na msigwa na wakabadili azimio kuwa ni lazima wazunguke nchi nzima kumchafua Zitto ili wammalize kabisa kisiasa ila haikuzaa matunda sasa umuhimu wa Zitto umeonekana cdm bila Zitto ni sawa man u bila Fergie.
ndimi
Hansen

Kuzidi kumpamba Zitto kwa sifa ambazo alisha zipoteza ni kuzidi kumchimbia kaburi.Kama munaona Zitto ni zaidi ya CHADEMA ni bora mkamshauri kuanzisha chama chake kuliko kung'ang'ania chama ambacho ana dai kuwa hakina uzalendo vinginevyo atakuwa ni kanjanja tu.
 
ama kweli sina iman tena na chadema, yaani bado wananchi hawana iman na tena, nilitegemea chadema kutokana na kuzunguka nchi nzimaa na chopaa wangenyakua hata kata kumi lkn looooh! ndo wamepoteza diraa.
ccm itadumu milele pamojana kwamba roho inaniumaaa.

Weeeeee, cheze ubwabwa, kofia, fulana na kanga weye !!!!
 
Cdm sifuri kabisa... Kwa kuwategemea watu kama Lema hamuwezi shinda zaidi ya hapo atown.... Poleni makamanda

Yaani inaonesha jinsi usivyoijua CDM kabisa. Hatumtegemei mtu yeyote, Sio Lema wala Mbowe wala Slaa. Umaarufu ni wa CDM sio mtu. Hilo likuingie utulie kabisaaa.
Siisiieem mlikata watu mapanga mkawatumia mapoliccm kutishia watu ili wasije kupiga kura mwibe lakini bado hamkufanikiwa.
Nasema, CDM ni pilipili kwa maccm. Tumeona na tumehakikisha
 
ni mafanikio makubwa toka mwaka 2010 miaka 4 tu kwa CHADEMA kutoka kukoswa wagombea mpaaka kuweka wagombea kata zote
Kutoka kutotishia ccm mpaka kuwa tishio
evolutionary kuna speed nzuri sana kwa chadema msikate tamaa
 
sisi nyumba nzima watu tisa ni CHADEMA mwenye kitambulisho cha kupiga kura ni mmoja tu . Nyumba ya jirani yetu kuna watu kumi na mbili na wote wanakadi za CHADEMA na wote hawana vitambulisho vya wapiga kura .wote tunasubiri kwa hamu kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura 2015 ! .kwahiyo magamba msijifariji subirini kivumbi 2015

hii ndio hoja ya muhimu wanayosahau magamba kuwa wale wanaopigia chadema kura mpaka sasa ni wale wale watu waliokuwa nao 2010
 
KATA ZA UCHAGUZI MDOGO KATA ZOTE

Kata-Halmashauri

1 Segela Chamwino
2 Mpwayungu
3 Ukumbi Kilolo
4 Ibumu
5 Nduli Iringa
6 Malindo Rungwe
7 Santilya Mbeya
8 Tungi Morogoro
9 Mkwiti Tandahimba
10 Mkongolo Kigoma
11 Sombetini Arusha
12 Mrijo Chemba
13 Magomeni Bagamoyo
14 Kibindu
15 Mtae Lushoto
16 Ubagwe Ushetu
17 Namikago Nachingwea
18 Partimbo Kiteto
19 Loolera
20 Kiwalala Lindi
21 Kilelema Buhigwe
22 Kiomono Tanga
23 Kasanga Kalambo
24 Rudewa Kilosa
25 Kiboroloni Moshi
26 Njombe Mjini Njombe
27 Nyasura Bunda,

Kuna tofauti kati ya mjini na kijijini, udhibiti unakuwa mgumu kidogo kuliko mijini. Mijini ambako wajanja wengi CCM hawapumui, ni 24:3 lakini hizo tatu ni kubwa sana. Na hapo huko mijini CCM waliomba hadi msaada wa dola na bado haikufua dafu, Nduli Iringa si ndio watu wameumizwa juzi, sasa hapo kuna kutamba wakati hata mazingira yalikuwa na hofu na utata mtupu! Na bado picha ya mauaji ya Mwangosi haijawatoka watu, kijiji si hicho hicho kama sikosei.
CCM inatumia nguvu na mbinu nyingi kiasi kwamba hata wakishinda wanabaki wakiuguza maumivu ya gharama kadhaa walizotumia
 
Hii nchi ni ya wajinga wengi sana na cjui kama kuna nchi nyingine iliyosheheni wajinga kama hii yetu.Kama ujinga wote kweli unaofanywa na CCM lakini watu bado wanaichagua hii chama kweeeeli!!!!!.
 
Wengi wanachama wa Chadema ni vijana!!wengi wao hawajaandikishwa katika daftari lakupiga kura!!!!Ngoja daftari liboreshwe!hapo ndo tutajua kuwa Chadema ina watu!!!
 
Ni vizuri matokeo haya ni fundisho. Cdm sasa mtambue kuwa watz sio mbumbumbu wa kudanganyika kirahisi kama mnavyofikir. Kila cku mnashauriwa fanyen siasa za kistaarabu hamtaki. Acheni kujiamin na kujidai mnapendwa...... Tafuteni mbinu mpya....

kwani chama gani kinafanya siasa za kiistaarabu tujuze mkuu
 
sisi nyumba nzima watu tisa ni CHADEMA mwenye kitambulisho cha kupiga kura ni mmoja tu . Nyumba ya jirani yetu kuna watu kumi na mbili na wote wanakadi za CHADEMA na wote hawana vitambulisho vya wapiga kura .wote tunasubiri kwa hamu kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura 2015 ! .kwahiyo magamba msijifariji subirini kivumbi 2015

Wajinga wengine kama wewe wanadai eti Daftari halikurekebishwa! Hahahaaa! Nani alirekebisha daftari la Sombetini, Kiborloni na Njombe Mjini hadi mkashinda? Tumieni akili kufikiri na msidanganywe na ITV!
 
Kushinda kwenu kusiwape Faraja,Tambueni kua Huko ni kijijini na Elimu ya Uraia ndo inaingia kwa sasa,Sasa tuleteeni Analysis tuone Mmeshinda kwa Kiwango gani Ukilinganisha na Uchguzi uliopita!
 
Ni vizuri matokeo haya ni fundisho. Cdm sasa mtambue kuwa watz sio mbumbumbu wa kudanganyika kirahisi kama mnavyofikir. Kila cku mnashauriwa fanyen siasa za kistaarabu hamtaki. Acheni kujiamin na kujidai mnapendwa...... Tafuteni mbinu mpya....

Wanaoipenda cdm wameibuka ktk miaka 5 ya hivi karibuni ambako hawakuwahi kujiandikisha kama wapiga kura kwa kuwa zoezi la kuwaandika wapiga kura limelaliwa. Kuzunguka kwa chopa ilikuwa ni kuihimiza tume kuandika wapiga kura kabla ya uchaguzi serikali za mitaa.
 
Kushinda kwenu kusiwape Faraja,Tambueni kua Huko ni kijijini na Elimu ya Uraia ndo inaingia kwa sasa,Sasa tuleteeni Analysis tuone Mmeshinda kwa Kiwango gani Ukilinganisha na Uchguzi uliopita!

Kila siku watu wanaimba asilimia hisiyopungua 80 ya watanzania wapo kijijini.
Munaona matokeo ya kufanya chama kuwa NGO ya wapuuzi wachache???
 
Back
Top Bottom