Matokeo ya Uchaguzi Mdogo wa Jan 2017: Mbowe must go

Ndugu yangu Gamba la nyoka, mimi naomba nisaidiwe kitu kimoja. Uchaguzi huu mdogo kwa udiwani kama sikosei zilikuwa kata 19. Ninachoomba unisaidie kama mwongozo hapa ni kuwa: Je, kabla ya kutangazwa hizi chaguzi ndogo kati ya kata hizo 19 ngapi zilikuwa chini ya CCM na ngapi zilikuwa chini ya CDM. Na baada ya uchaguzi wa jan ngapi zimekuwa chini ya CCM na ngapi zimekuwa chini ya CDM.
Halafu sasa tushiriki vizuri kuchangia hoja.
Hii hoja ni ya kitoto, wengi wenu mnaamini Lowasa alishinda kwa hilo swali lako ina maana rais wa hii nchi kabla ya uchaguzi alikua wa chama gani na hapo unataka kuitoa hoja ya ushindi wa Seif ama Lowasa. Msipende sana mpaka mkapoteza akili zetu kwa kuichukia CCM jaribuni kuwa wakweli katika kukifufua chama ukweli ni kwamba hii CHADEMA siyo ile ya baada ya uchaguzi wa mwaka 2010. CHADEMA kimekua kama mwana aliyefiwa na wazazi wake ama ametelekezwa na wazazi wake. Wazazi wanashinda kwenye mataputapu watoto hawajui nini watakula hii ndiyo CHADEMA ya sasa. Tutawakumbuka sana kina Zitto kabwe na Mzee Slaa.
 
Mikutano iruhusiwe, tume huru ya uchaguzi na jeshi letu pendwa lisimamie haki.
Utoto wao wa kuzira vikao vya bunge la katiba utawatafuna wajinga hawa, CHADEMA kilikua na mwelekeo mzuri mpaka pale walipoanza kuazima mijizi kutoka chama cha majizi. Huu ni ukweli hata kama una tuuma.
 
Ni dhahiri sasa Mheshimiwa Mbowe hana mbinu mpya, kila anachokifanya katika chama ameprove failure. Hana Input yoyote yoyote ya kukikwamua chama kutoka chama cha kushindana na kuwa chama cha kushinda!.

1. Tamaa yake ya harakaharaka, ilipelekea kufanya maamuzi yaliyokiondolea chama falsafa ya kupambana na ufisadi.
2. Kuingilia kwake mchakato wa uchaguzi ndani ya chama, kwa mfano kumkata ndugu Sosopi kumekiondolea chama ajenda ya kupigania demokrasia nje ya chama na ndani ya chama
3.Kushindwa kwake kuisimamia operesheni UKUTA, kumekifanya chama kisinyae, kiwe kama mdondo wa kuku asiyeweza kujitetea, huku akitoa nafasi bwerere kwa CCM kujinadi peke yake nchi nzima

Athari za maamuzi haya ni
1. Wananchi kupoteza imani na Chama, na badala yake kuona social media ndo kimbilio lao

Matokeo mabaya kabisa ya chama katika uchguzi huu mdogo, ni meseji kwa Mheshimiwa Mbowe, kwamba Chama kinahitaji new Leadership, ni dhahiri hana mbinu za kukitoa chama hapa kilipo na kukipeleka hatua inayofuata. Ni bora akawa Muungwana kama Mwalimu Nyerere, aliyeona kuwa nchi imekuwa ngumu kwake akajiweka pembeni!
Acha udwanzi wewe, umekomaa kweli Mbowe must go. Wewe UVCCM tangu lini ukawachagulia Chadema kiongozi? Unajifanya huoni hali ya siasa ilivyo nchini kwa sasa?
 
Utoto wao wa kuzira vikao vya bunge la katiba utawatafuna wajinga hawa, CHADEMA kilikua na mwelekeo mzuri mpaka pale walipoanza kuazima mijizi kutoka chama cha majizi. Huu ni ukweli hata kama una tuuma.
Acha upuuzi wako wewe. Usilete visababu vya kuokoteza hapa, tangu lini ukaipenda chadema wewe? Kazi tu kukaa pembeni na kucomment. Ingia uwanjani na wewe ucheze uone? Wewe utakuwa sehemu ya wale MMIna MM2. Jitoe uende kwenye chama unachodhani kitakutoa hapo ulipo.
 
Mkuu nilichoandika hakifanani na ulicho niquote kabisa.
 
Hii hoja ni ya kitoto, wengi wenu mnaamini Lowasa alishinda kwa hilo swali lako ina maana rais wa hii nchi kabla ya uchaguzi alikua wa chama gani na hapo unataka kuitoa hoja ya ushindi wa Seif ama Lowasa. Msipende sana mpaka mkapoteza akili zetu kwa kuichukia CCM jaribuni kuwa wakweli katika kukifufua chama ukweli ni kwamba hii CHADEMA siyo ile ya baada ya uchaguzi wa mwaka 2010. CHADEMA kimekua kama mwana aliyefiwa na wazazi wake ama ametelekezwa na wazazi wake. Wazazi wanashinda kwenye mataputapu watoto hawajui nini watakula hii ndiyo CHADEMA ya sasa. Tutawakumbuka sana kina Zitto kabwe na Mzee Slaa.
Mimi sijamtaja Lowasa hata kidogo na hii post haihusiani na Lowasa labda kama wewe unataka kuleta post mpya.
Niliemuuliza alinielewa ila kama na wewe utataka tuanzishe mjadala mpya karibu.
 
Acha upuuzi wako wewe. Usilete visababu vya kuokoteza hapa, tangu lini ukaipenda chadema wewe? Kazi tu kukaa pembeni na kucomment. Ingia uwanjani na wewe ucheze uone? Wewe utakuwa sehemu ya wale MMIna MM2. Jitoe uende kwenye chama unachodhani kitakutoa hapo ulipo.
ndiyo matatizo ya watanzania hatutaki kuambiwa ukweli. Hata huyu Mbowe akihama CHADEMA utamuita msaliti, ndiyo akili kuu ya watu kama ninyi.
 
Ni dhahiri sasa Mheshimiwa Mbowe hana mbinu mpya, kila anachokifanya katika chama ameprove failure. Hana Input yoyote yoyote ya kukikwamua chama kutoka chama cha kushindana na kuwa chama cha kushinda!.

1. Tamaa yake ya harakaharaka, ilipelekea kufanya maamuzi yaliyokiondolea chama falsafa ya kupambana na ufisadi.
2. Kuingilia kwake mchakato wa uchaguzi ndani ya chama, kwa mfano kumkata ndugu Sosopi kumekiondolea chama ajenda ya kupigania demokrasia nje ya chama na ndani ya chama
3.Kushindwa kwake kuisimamia operesheni UKUTA, kumekifanya chama kisinyae, kiwe kama mdondo wa kuku asiyeweza kujitetea, huku akitoa nafasi bwerere kwa CCM kujinadi peke yake nchi nzima

Athari za maamuzi haya ni
1. Wananchi kupoteza imani na Chama, na badala yake kuona social media ndo kimbilio lao

Matokeo mabaya kabisa ya chama katika uchguzi huu mdogo, ni meseji kwa Mheshimiwa Mbowe, kwamba Chama kinahitaji new Leadership, ni dhahiri hana mbinu za kukitoa chama hapa kilipo na kukipeleka hatua inayofuata. Ni bora akawa Muungwana kama Mwalimu Nyerere, aliyeona kuwa nchi imekuwa ngumu kwake akajiweka pembeni!
JAMAA AACHE KAMPUNI YAKE ?!
 
Mkimwengua atawanyima chopa wakati wa uchaguzi.
 
ndiyo matatizo ya watanzania hatutaki kuambiwa ukweli. Hata huyu Mbowe akihama CHADEMA utamuita msaliti, ndiyo akili kuu ya watu kama ninyi.
Haujanishawishi hata kidogo. Hauwezi ukaangusha lawama zooote hizo juu ya mtu mmoja bila hata kuangalia mazingira ya kisiasa kwa sasa. Mimi nilitarajia Mbowe apongezwe kwa kuendelea kuwa imara katika mazingira magumu kabisa ya siasa za upinzani kwa sasa hapa nchini. Badala yake wanaibuka waimba chorus Mbowe, Mbowe kama vijana wa ACT na Lumumba. Acha mkumbo kijana. Unaendelea kutumia hoja mfu za waraka wa MMI na MM2 uliotaka kumpindua Mbowe. Mbona waliousimamia hawajaweza kupeleka chama chao to the next level kama walivyo kuwa wakidai? Kama na wewe ni mmoja wao pole sana.
 
Ni dhahiri sasa Mheshimiwa Mbowe hana mbinu mpya, kila anachokifanya katika chama ameprove failure. Hana Input yoyote yoyote ya kukikwamua chama kutoka chama cha kushindana na kuwa chama cha kushinda!.

1. Tamaa yake ya harakaharaka, ilipelekea kufanya maamuzi yaliyokiondolea chama falsafa ya kupambana na ufisadi.
2. Kuingilia kwake mchakato wa uchaguzi ndani ya chama, kwa mfano kumkata ndugu Sosopi kumekiondolea chama ajenda ya kupigania demokrasia nje ya chama na ndani ya chama
3.Kushindwa kwake kuisimamia operesheni UKUTA, kumekifanya chama kisinyae, kiwe kama mdondo wa kuku asiyeweza kujitetea, huku akitoa nafasi bwerere kwa CCM kujinadi peke yake nchi nzima

Athari za maamuzi haya ni
1. Wananchi kupoteza imani na Chama, na badala yake kuona social media ndo kimbilio lao

Matokeo mabaya kabisa ya chama katika uchguzi huu mdogo, ni meseji kwa Mheshimiwa Mbowe, kwamba Chama kinahitaji new Leadership, ni dhahiri hana mbinu za kukitoa chama hapa kilipo na kukipeleka hatua inayofuata. Ni bora akawa Muungwana kama Mwalimu Nyerere, aliyeona kuwa nchi imekuwa ngumu kwake akajiweka pembeni!
Lowassa must also go!!
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
You might be right,lakin the fact that wengi wanaotaka Mbowe a step down ni wa kutoka CCM
Hapo ndipo tunapopata Shida kidogo
Mkuu hilo lisikupe shida!upinzani imara=utawala imara.Mind you wote wanatumia resources za nchi yetu hivyo kuvifanya vyama vyote kuwa vyetu.
 
Back
Top Bottom