yego masika
Member
- Jan 17, 2017
- 49
- 38
Uhuru wa kufanya siasa haupo, pia na watanzania walio wengi ni maskini wa kufikiri, wana pepo la umaskini wa akili
Zifutwe kwanza ruzuku kwa vyama vya siasa na ipite miezi 6 pesa ya ruzuku haijaingia kwenye akaunti ya Chadema ndipo Mbowe ataachia kiti, vinginevyo endeleeni kutwanga maji kwenye kinu.
Mbowe ndo Chadema, na Chadema ndio yeye?
Ni dhahiri sasa Mheshimiwa Mbowe hana mbinu mpya, kila anachokifanya katika chama ameprove failure. Hana Input yoyote yoyote ya kukikwamua chama kutoka chama cha kushindana na kuwa chama cha kushinda!.
1. Tamaa yake ya harakaharaka, ilipelekea kufanya maamuzi yaliyokiondolea chama falsafa ya kupambana na ufisadi.
2. Kuingilia kwake mchakato wa uchaguzi ndani ya chama, kwa mfano kumkata ndugu Sosopi kumekiondolea chama ajenda ya kupigania demokrasia nje ya chama na ndani ya chama
3.Kushindwa kwake kuisimamia operesheni UKUTA, kumekifanya chama kisinyae, kiwe kama mdondo wa kuku asiyeweza kujitetea, huku akitoa nafasi bwerere kwa CCM kujinadi peke yake nchi nzima
Athari za maamuzi haya ni
1. Wananchi kupoteza imani na Chama, na badala yake kuona social media ndo kimbilio lao
Matokeo mabaya kabisa ya chama katika uchguzi huu mdogo, ni meseji kwa Mheshimiwa Mbowe, kwamba Chama kinahitaji new Leadership, ni dhahiri hana mbinu za kukitoa chama hapa kilipo na kukipeleka hatua inayofuata. Ni bora akawa Muungwana kama Mwalimu Nyerere, aliyeona kuwa nchi imekuwa ngumu kwake akajiweka pembeni!
Mbowe kama Arsene WengerMBOWE amefanya kazi kubwa sana chadema...lakini alipofika sasa ameshachoka..akae pembeni kama mshauri
Hana jipya tena anaweza ku offer
kata za chadema ni zile zile hawajanyang'anywa, ila wangeweza kufanya vizuri zaidi, maana upinzani unatakiwa unyang'anye CCM majimbo, mkiwa stagnat ndio mwanzo wa kupoteza mlichonacho na kupotea...Ila kuna kata moja chadema na NCCR wamesimamisha wagombea na kura zao zingeunganishwa wangemshinda wa CCM aliyechukuaNdugu yangu Gamba la nyoka, mimi naomba nisaidiwe kitu kimoja. Uchaguzi huu mdogo kwa udiwani kama sikosei zilikuwa kata 19. Ninachoomba unisaidie kama mwongozo hapa ni kuwa: Je, kabla ya kutangazwa hizi chaguzi ndogo kati ya kata hizo 19 ngapi zilikuwa chini ya CCM na ngapi zilikuwa chini ya CDM. Na baada ya uchaguzi wa jan ngapi zimekuwa chini ya CCM na ngapi zimekuwa chini ya CDM.
Halafu sasa tushiriki vizuri kuchangia hoja.
Basi nimekuelewa, hukufanya research kabla ya kupost ili wachangiaji tujue pa kuanzia kwa kuangalia baseline. Mtu kushindwa ni lazima kuwe na benchmark sasa hukuweka mlinganyo wowote kiasi kwamba post yako imekuwa too personal. Inaonyesha wazi kuwa una ugomvi binafsi na Mbowe.Ndugu Kandawa, katika hali ya kisiasa huku Tanzania bara, jimbo lolote au kata yoyote iko fairly available kwa vyama vyote, ukiachilia mbali vyama vichanga kama ACT na vingine vinavyopumulia mashine, chama Kikongwe kama Chadema kina uwezo wa kuchukua kata hata zilizokuwa zinashikiliwa na CCM, swali la kujiuliza kwa nini chini ya uongozi wa Mbowe, Chadema hainyakui hizo kata na kuziweka katika himaya yake?. Jibu ni simple, ni kwamba Chadema chini ya Mbowe imeshindwa kuwashawishi wananchi ktk kata hizo kuwa ni bora kuliko CCM
Uko sawa Chinchilla, kumbuka CCM nao wako kimkakati na si kwamba wamekaa tu kusubiria wapoteze. Bila kushawishiwa na mtu,binafsi naamini huu mvurugano wa CUF,wanahusika sana tu. Ukifanya majumuisho ya kila kata CUF + CDM > CCMkata za chadema ni zile zile hawajanyang'anywa, ila wangeweza kufanya vizuri zaidi, maana upinzani unatakiwa unyang'anye CCM majimbo, mkiwa stagnat ndio mwanzo wa kupoteza mlichonacho na kupotea...Ila kuna kata moja chadema na NCCR wamesimamisha wagombea na kura zao zingeunganishwa wangemshinda wa CCM aliyechukua
Dogo nakuona hapo kijitonyama, Umechoka kuchapa code? HayaNi dhahiri sasa Mheshimiwa Mbowe hana mbinu mpya, kila anachokifanya katika chama ameprove failure. Hana Input yoyote yoyote ya kukikwamua chama kutoka chama cha kushindana na kuwa chama cha kushinda!.
1. Tamaa yake ya harakaharaka, ilipelekea kufanya maamuzi yaliyokiondolea chama falsafa ya kupambana na ufisadi.
2. Kuingilia kwake mchakato wa uchaguzi ndani ya chama, kwa mfano kumkata ndugu Sosopi kumekiondolea chama ajenda ya kupigania demokrasia nje ya chama na ndani ya chama
3.Kushindwa kwake kuisimamia operesheni UKUTA, kumekifanya chama kisinyae, kiwe kama mdondo wa kuku asiyeweza kujitetea, huku akitoa nafasi bwerere kwa CCM kujinadi peke yake nchi nzima
Athari za maamuzi haya ni
1. Wananchi kupoteza imani na Chama, na badala yake kuona social media ndo kimbilio lao
Matokeo mabaya kabisa ya chama katika uchguzi huu mdogo, ni meseji kwa Mheshimiwa Mbowe, kwamba Chama kinahitaji new Leadership, ni dhahiri hana mbinu za kukitoa chama hapa kilipo na kukipeleka hatua inayofuata. Ni bora akawa Muungwana kama Mwalimu Nyerere, aliyeona kuwa nchi imekuwa ngumu kwake akajiweka pembeni!
vijana wapi??? akina mashiji na katambi sio??Nawashauri wazee wasimuombe tena kugombea
Apatikane Kijana mpyaa wa kukisongesha chama
Solution hapa ni kuwa na new strategy. lakini tujue huko juu wanakandamiza upinzani kuliko kipindi kingine chochote. Pia CCM imefanikiwa kuwadanganya watanzania kuwa CHADEMA ni chama cha UKANDA na kikabila[/QUOTE chadomo wazee wa porojo na sarakasii