Matokeo ya Uchaguzi Mdogo wa Jan 2017: Mbowe must go

Matokeo ya Uchaguzi Mdogo wa Jan 2017: Mbowe must go

Bado sijawahi kuona upinzani dhidi ya CCM.
Wapinzani wa hii nchi ni wabinafsi.
Na nina wasiwasi siku wakishika dola, wafanya madudu kuliko ya CCM.
 
Nimeuliza tu "Lini mwisho wa Mbowe kuongoza CHADEMA?"

Hii ina maana nyingi sana ila inaonyesha kukataa tamaa kwa mwanachama kindakindaki anayependa kusimamia ukweli.

Naona mambo yanaenda mrama na amepoteza dira na uelekeo. Anatupeleka msituni gari linakatisha mistuni karibu tunagonga mwamba.

Lini mwisho wa Mbowe kuongoza CHADEMA?
Lini mwisho wa Mbowe kuongoza CHADEMA?

Wewe unataka CHADEMa ipate kiongozi imara, ili ccm ishindwe kwenye uchaguzi, kwa maslahi ya nani?

Rudi kavae.
 
Mpaka anaowaongoza wajitambue kwa akili za wale jamaa afadhali Mbowe na yy kashaliona hilo
 
Lumumba kwa jinsi wanavyo ipenda Chadema! Ndio maana wanapambana sana kuhakikisha Mbowe ambaye ni mwenyekiti "dhaifu" anaondoka ili apatikane mwenyekiti imara na mwenye uwezo wa kuongoza kama Profesa Lipumba vile.
Kwa kweli sasa ni wakati wa kufikiria kwa makini ushauri huu "mzuri" toka kwa marafiki wa damu wa Lumumba. Tumfukuze Mbowe na ashawishiwe Lipumba (Profesa makini sana duniani kote) aje apewe uenyekiti. Na ukizingatia anao urafiki wa karibu na Msajili wa vyama Jaji Mutungi mambo yatakuwa safi sana.
Asanteni sana Lumumba kwa ushauri mubashara kwa ndugu zenu. Na ikishindikana kumfukuza huku Ufipa basi nadhani Lumumba mtaendelea na mtindo wenu mlio anzisha wa kutumia NHC, TRA, MaDC, nk ili achanganyikiwe aache mwenyewe.
 
Bado hiki ni chama cha ukombozi na watu kama Mbowe wanahitajika sana! Kama kuna ushauri wa kumpa apewe lakini kwa sasa na kwa hali hii ya kisiasa, si vema kumtoa pale!
 
Nimeuliza tu "Lini mwisho wa Mbowe kuongoza CHADEMA?"

Hii ina maana nyingi sana ila inaonyesha kukataa tamaa kwa mwanachama kindakindaki anayependa kusimamia ukweli.

Naona mambo yanaenda mrama na amepoteza dira na uelekeo. Anatupeleka msituni gari linakatisha mistuni karibu tunagonga mwamba.

Lini mwisho wa Mbowe kuongoza CHADEMA?
Lini mwisho wa Mbowe kuongoza CHADEMA?
wewe unayehoji ni nani kwanza unmjua mwenye chama mwisho wa malkia wa uingereza kutawala ni lini
 
Nyerere aliongoza miaka mingapi vile?

Kwa kuwa mnamchukia basi ni mtu sahihi kwa nafasi hiyo,after all sio katiba ya ccm

Angali !:Margaret Thatcher,Tony Blair,Angela Merkel wametumika kwa muda gani na kuleta mafanikio
 
Kuna mdau alisema vyama vyote vya upinzani nchini Tanzania ni mawakala either directly au indirectly wa chama tawala CCM, ndio maana hawana serious standing point katika mifumo ya kuendesha vyama vyao. Hivyo kwa namna moja au nyingine wanaifanya CCM iendelee kuwa the people's choice kila ifikapo wakati wa uchaguzi. Maana mpiga kura akiingalia Ccm ni kweli chama chakavu haswaaaaa lakin akija upande wa pili wa upinzania anakutana na matatizo mengine, mwishon anaona bora achague chama chakavu CCM. Nmeleta ujumbe kama ulivyo.
Nadhani watanzania wengi wanaishi kwa ule usemi wa BETTER THE DEVIL YOU THAN THE DEVIL YOU DON'T.


Mjumbe hauwawi
 
Ni maisha babaangu. Mpaka mauti yamtenganishe. Sioni ubaya ilimradi wenzake wameamua kuendelea nae.
 
Tunaimani na Mbowe, Mbowe ameifanya Chadema kushinda umeya Dar, tunajivunia pamoja lengo lilikua Urais, ndio mana akamtosa Dr Slaa
 
Toka lini mtu akaacha kumiliki nyumba yake..??
 
Tumechoka ndugu na ni lazima tuhoji. Maana kashifa zimemzidi na zitaendelea kumpata kwa vile ameamua kuongoza chama kwa maslahi yake.
wewe unayehoji ni nani kwanza unmjua mwenye chama mwisho wa malkia wa uingereza kutawala ni lini
 
Laana ya kula hela ya rambi rambi itawatafuna mbwiga wa Lumumba mpaka mnaingia kaburini. Kutwa kucha mko na Chadema tu kama vicheche.
 
Back
Top Bottom