Matokeo ya Uchaguzi Mdogo wa Jan 2017: Mbowe must go

mnamtaka mtu sampuli ya lipumba poleni ukawa hawana cha kupoteza na hawapoteze chochote kwenye uchaguzi huu siku mkatunyanganya halmashauri kwa wingi wenu wa madiwani sio ushirikina wa kinondoni mliofanya nndo kweli tutakuwa tumepoteza
mtindo huu ikulu mtaiskia kwenye gazeti la Tanzania Daima
 
hii ndo sampuli ya wagombea wa chadema
wewe upo upande gani, kilicho ongelewa siyo sahihi??

Wacha Wadanganyika waendelee kuisoma namba, dhiki ni mapenzi yao wenyewe. Mimi ndg yangu anapo lalamika nampa makavu tu.
 
Nawashauri wazee wasimuombe tena kugombea
Apatikane Kijana mpyaa wa kukisongesha chama
Ahahahaha naona kwel mbowe anunuliki mpk sasa wanataka wapate kijana atakae weza kununulika ukombozi kwanza ndo atakaa pembeni kama nyerere wazungu nao walitaka iwe ivo atoke wapate mtu wa kumshika masikio
 
Zifutwe kwanza ruzuku kwa vyama vya siasa na ipite miezi 6 pesa ya ruzuku haijaingia kwenye akaunti ya Chadema ndipo Mbowe ataachia kiti, vinginevyo endeleeni kutwanga maji kwenye kinu.
 
Ni dhahiri sasa Mheshimiwa Mbowe hana mbinu mpya, kila anachokifanya katika chama ameprove failure. Hana Input yoyote yoyote ya kukikwamua chama kutoka chama cha kushindana na kuwa chama cha kushinda!.

1. Tamaa yake ya harakaharaka, ilipelekea kufanya maamuzi yaliyokiondolea chama falsafa ya kupambana na ufisadi.
2. Kuingilia kwake mchakato wa uchaguzi ndani ya chama, kwa mfano kumkata ndugu Sosopi kumekiondolea chama ajenda ya kupigania demokrasia nje ya chama na ndani ya chama
3.Kushindwa kwake kuisimamia operesheni UKUTA, kumekifanya chama kisinyae, kiwe kama mdondo wa kuku asiyeweza kujitetea, huku akitoa nafasi bwerere kwa CCM kujinadi peke yake nchi nzima

Athari za maamuzi haya ni
1. Wananchi kupoteza imani na Chama, na badala yake kuona social media ndo kimbilio lao

Matokeo mabaya kabisa ya chama katika uchguzi huu mdogo, ni meseji kwa Mheshimiwa Mbowe, kwamba Chama kinahitaji new Leadership, ni dhahiri hana mbinu za kukitoa chama hapa kilipo na kukipeleka hatua inayofuata. Ni bora akawa Muungwana kama Mwalimu Nyerere, aliyeona kuwa nchi imekuwa ngumu kwake akajiweka pembeni!
Ndugu yangu Gamba la nyoka, mimi naomba nisaidiwe kitu kimoja. Uchaguzi huu mdogo kwa udiwani kama sikosei zilikuwa kata 19. Ninachoomba unisaidie kama mwongozo hapa ni kuwa: Je, kabla ya kutangazwa hizi chaguzi ndogo kati ya kata hizo 19 ngapi zilikuwa chini ya CCM na ngapi zilikuwa chini ya CDM. Na baada ya uchaguzi wa jan ngapi zimekuwa chini ya CCM na ngapi zimekuwa chini ya CDM.
Halafu sasa tushiriki vizuri kuchangia hoja.
 
Ndugu Kandawa, katika hali ya kisiasa huku Tanzania bara, jimbo lolote au kata yoyote iko fairly available kwa vyama vyote, ukiachilia mbali vyama vichanga kama ACT na vingine vinavyopumulia mashine, chama Kikongwe kama Chadema kina uwezo wa kuchukua kata hata zilizokuwa zinashikiliwa na CCM, swali la kujiuliza kwa nini chini ya uongozi wa Mbowe, Chadema hainyakui hizo kata na kuziweka katika himaya yake?. Jibu ni simple, ni kwamba Chadema chini ya Mbowe imeshindwa kuwashawishi wananchi ktk kata hizo kuwa ni bora kuliko CCM
 
Ni dhahiri sasa Mheshimiwa Mbowe hana mbinu mpya, kila anachokifanya katika chama ameprove failure. Hana Input yoyote yoyote ya kukikwamua chama kutoka chama cha kushindana na kuwa chama cha kushinda!.

1. Tamaa yake ya harakaharaka, ilipelekea kufanya maamuzi yaliyokiondolea chama falsafa ya kupambana na ufisadi.
2. Kuingilia kwake mchakato wa uchaguzi ndani ya chama, kwa mfano kumkata ndugu Sosopi kumekiondolea chama ajenda ya kupigania demokrasia nje ya chama na ndani ya chama
3.Kushindwa kwake kuisimamia operesheni UKUTA, kumekifanya chama kisinyae, kiwe kama mdondo wa kuku asiyeweza kujitetea, huku akitoa nafasi bwerere kwa CCM kujinadi peke yake nchi nzima

Athari za maamuzi haya ni
1. Wananchi kupoteza imani na Chama, na badala yake kuona social media ndo kimbilio lao

Matokeo mabaya kabisa ya chama katika uchguzi huu mdogo, ni meseji kwa Mheshimiwa Mbowe, kwamba Chama kinahitaji new Leadership, ni dhahiri hana mbinu za kukitoa chama hapa kilipo na kukipeleka hatua inayofuata. Ni bora akawa Muungwana kama Mwalimu Nyerere, aliyeona kuwa nchi imekuwa ngumu kwake akajiweka pembeni!

Kabla Mbowe hajaondoka tupeni Tume Huru ya UCHAGUZI itakayofuata taratibu na sheria ziliwekwa.Ituletee daftari la wapiga kura upya halafu uje useme Mbowe ajiuzulu.

Mwambie Mwenyekiti wako ajiuzulu kwanza kwa mambo na maneno anayoongea na nguvu kubwa ya polisi anayotumia against upinzani halafu urudi kumwambia Mbowe ajiuzulu.
 
Wengi tulionya kuwa ujio wa Lowasa ndani ya Chadema ni sawa na kudumbukiza chama kwenye lindi la mavi ya shingo.....Lakini wajinga wachache wakashangilia eti wabunge wameongezeka..... wakasahau msingi wake ni toka serikalini za mitaa .

Yaani Chadema kujinasua lindi hili ni Lowasa astaafu siasa yaani aachane na Chadema kabisa na Mbowe ajiuzulu Uenyekiti.......

Akijiuzulu wakishinda watatangazwa washindi au uchaguzi utarudiwa?
 
hii ndo sampuli ya wagombea wa chadema
Nyie wepesi tuu, kwanza mimi ni mtanzania, akili yako inafikiria ukabila kama silaha ya kujitetea kwa kumwaga sumu, acha hizo njoo waziwazi wewe ni mchumia tumbo tu huna lolote nullbook
 
Ila kwa mchakamchaka mzee mamvi aliotupeleka nao mwaka juzi kwenye uchaguzi mkuu CCM wenzangu tujipange hali si shwari 2020
 
Ni dhahiri sasa Mheshimiwa Mbowe hana mbinu mpya, kila anachokifanya katika chama ameprove failure. Hana Input yoyote yoyote ya kukikwamua chama kutoka chama cha kushindana na kuwa chama cha kushinda!.

1. Tamaa yake ya harakaharaka, ilipelekea kufanya maamuzi yaliyokiondolea chama falsafa ya kupambana na ufisadi.
2. Kuingilia kwake mchakato wa uchaguzi ndani ya chama, kwa mfano kumkata ndugu Sosopi kumekiondolea chama ajenda ya kupigania demokrasia nje ya chama na ndani ya chama
3.Kushindwa kwake kuisimamia operesheni UKUTA, kumekifanya chama kisinyae, kiwe kama mdondo wa kuku asiyeweza kujitetea, huku akitoa nafasi bwerere kwa CCM kujinadi peke yake nchi nzima

Athari za maamuzi haya ni
1. Wananchi kupoteza imani na Chama, na badala yake kuona social media ndo kimbilio lao

Matokeo mabaya kabisa ya chama katika uchguzi huu mdogo, ni meseji kwa Mheshimiwa Mbowe, kwamba Chama kinahitaji new Leadership, ni dhahiri hana mbinu za kukitoa chama hapa kilipo na kukipeleka hatua inayofuata. Ni bora akawa Muungwana kama Mwalimu Nyerere, aliyeona kuwa nchi imekuwa ngumu kwake akajiweka pembeni!
Uwezo wake umekomea hapo, aliyekuwa na mbinu na mikakati ya kupambana na (CCM) alikuwa Dr. Slaa-alishaondoka-Mbowe bado anafikiria kama hizi zama ni sawa na za JK-ukipiga kelele kidogo, unaitwa kunywa chai IKULU. Nakumbuka waliwahi kusema kwamba JPM anatekeleza sela zao na baada ya kuona JPM anazitekeleza kwa weledi mkubwa-tena wakamgeuka kuwa anaonea watu-juzi tena nimesikia Sumayi tena anasema JPM nanatekeleza sela za CDM- ni vema wajitathimini mapema kabla ya chama kuporomoka.
 
Wengi tulionya kuwa ujio wa Lowasa ndani ya Chadema ni sawa na kudumbukiza chama kwenye lindi la mavi ya shingo.....Lakini wajinga wachache wakashangilia eti wabunge wameongezeka..... wakasahau msingi wake ni toka serikalini za mitaa .

Mko kama wangapi hivi?
 
Ni dhahiri sasa Mheshimiwa Mbowe hana mbinu mpya, kila anachokifanya katika chama ameprove failure. Hana Input yoyote yoyote ya kukikwamua chama kutoka chama cha kushindana na kuwa chama cha kushinda!.

1. Tamaa yake ya harakaharaka, ilipelekea kufanya maamuzi yaliyokiondolea chama falsafa ya kupambana na ufisadi.
2. Kuingilia kwake mchakato wa uchaguzi ndani ya chama, kwa mfano kumkata ndugu Sosopi kumekiondolea chama ajenda ya kupigania demokrasia nje ya chama na ndani ya chama
3.Kushindwa kwake kuisimamia operesheni UKUTA, kumekifanya chama kisinyae, kiwe kama mdondo wa kuku asiyeweza kujitetea, huku akitoa nafasi bwerere kwa CCM kujinadi peke yake nchi nzima

Athari za maamuzi haya ni
1. Wananchi kupoteza imani na Chama, na badala yake kuona social media ndo kimbilio lao

Matokeo mabaya kabisa ya chama katika uchguzi huu mdogo, ni meseji kwa Mheshimiwa Mbowe, kwamba Chama kinahitaji new Leadership, ni dhahiri hana mbinu za kukitoa chama hapa kilipo na kukipeleka hatua inayofuata. Ni bora akawa Muungwana kama Mwalimu Nyerere, aliyeona kuwa nchi imekuwa ngumu kwake akajiweka pembeni!
Anajiona yahaya jameee mwache tu mkuu
 
Ndugu Kandawa, katika hali ya kisiasa huku Tanzania bara, jimbo lolote au kata yoyote iko fairly available kwa vyama vyote, ukiachilia mbali vyama vichanga kama ACT na vingine vinavyopumulia mashine, chama Kikongwe kama Chadema kina uwezo wa kuchukua kata hata zilizokuwa zinashikiliwa na CCM, swali la kujiuliza kwa nini chini ya uongozi wa Mbowe, Chadema hainyakui hizo kata na kuziweka katika himaya yake?. Jibu ni simple, ni kwamba Chadema chini ya Mbowe imeshindwa kuwashawishi wananchi ktk kata hizo kuwa ni bora kuliko CCM

Jiulize kwa nini CCM imeshindwa kuchukua Kata iliyokuwa inashikiliwa na CHADEMA?.
Kwa nini Viongozi wa CCM nao wasiachie ngazi?
CUF -Lipumba ilijitia kutetea Kiti Kimoja ambacho kimekwenda CCM.Kwa nini hamsemi Lipumba aachie ngazi?
Kwa nini mnalilia Mbowe ajiuzulu?
Isije ikawa ni Chuki za Kuwapunguzia Ruzuku na kuwachukua Mawaziri Wakuu wastaafu wawili waliokuwa CCM.
 
MBOWE amefanya kazi kubwa sana chadema...lakini alipofika sasa ameshachoka..akae pembeni kama mshauri

Hana jipya tena anaweza ku offer
 
Back
Top Bottom