Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
nimesikiliza kupitia itv...vituo 5 vilivyotangazwa cdm imeongoza vyote.....peoplessssssssssssss

Kwani Esther Bulaya aliposema amekuwa sapraizdi kuona wamama na wazee wamejitokeza kuliko vijana alikuwa igunga kijijini?
 
'breaking news live from igunga: Mh halima mdee muda mfupi uliopita, amekamata masanduku yenye kura feki huko choma! Pia aliyekuwa diwani wa igunga mama ngessy anashikiliwa na polisi kwa kukutwa nyumbani kwake akiwa na masanduku yenye kura feki! Vigogo wa ccm leo asb wote wametoweka igunga na kurejea dar!
Sante. Endelea kutujuza. CCM kazi wanayo!
 
so far katika vituo walivo report
CDM CCM
73 63
86 65
90 80
115 79
104 78

Mmmh,kwa mwendo huu,naona karibu ntaondoka kwenye ushabiki
wa chadema na kuwa mwanachama wa chadema.

endeleeni kutujuza maana wengine hiyo TV wengine wanaangalia mpira...
 
‎'breaking news live from igunga: Mh halima mdee muda mfupi uliopita, amekamata masanduku yenye kura feki huko choma! Pia aliyekuwa diwani wa igunga mama ngessy anashikiliwa na polisi kwa kukutwa nyumbani kwake akiwa na masanduku yenye kura feki! Vigogo wa ccm leo asb wote wametoweka igunga na kurejea dar!
Hakika leo wamekabwa mtu na mtu lo basi hata watashinda ccm habari ndiyo hiyo kuwa bila kuiba kura ccm chali 2015
 
vituo vitano chadema inaongoza lakini bado yanaendelea.
baadhi ni kama ifuatavyo;
CHADEMA73,CCM63,CUF1.
KITUO KINGINE
CHADEMA86,CCM65,CUF0.
KITUO KINGINE CHA UJENZI;
CHADEMA96,CCM80,CUF3.KITUO KINGINE;
CHADEMA104,CCM76,CUF7
KITUO CHA MWISHO;
CHADEMA104.CCM76,CUF0. SOS ITV SASA HIVI BY MASAKO.MIA
 
so far katika vituo walivo report
CDM CCM
73 63
86 65
90 80
115 79
104 78

Mmmh,kwa mwendo huu,naona karibu ntaondoka kwenye ushabiki
wa chadema na kuwa mwanachama wa chadema.

Hapo utakuwa umekosea...hiyo itakuwa CUF
 
Itv mchuano ni mkali kati ya cdm na ccm,cdm wanaongoza vituo vingi sana mpaka sasa.itv inanipa raha sana cdm wanatisha mpaka sasa.peoplez power.
 
Chadema endeleeni kulinda kura, hao wezi wanajifanya wameondoka ili mjisahau waibe kura. Mungu yupo pamoja nanyi.
 
kituo cha katibu tarafa igunga(kituo namba 5)
ccm=87
chadema=84
cuf=3
DP=1

kituo namba nne
ccm=61
chadema=88
cuf=6
DP=1
source star tv
 
mkuu lete na data kama ilivyokuwa kule arusha. jamaa walikuwa wanatuletea takwimu halisia, km kituo minazini: cuf 140, cdm 500, magamba 23 nk. Hizo ndo data za uhakika mkuu

Mmeshaanza kujenga mazingira ya kufanya vurugu.
 
Nimesikia viongozi wa ccm now wamekwenda igunga vijijini kufanya mipango ya kuiba kura.
 
We are together my people.......I like peoples power!!!!

Ningependa sana kuona haki inatendeka na maamuzi ya wapiga kura yanaheshimiwa bila kujali kashinda nani!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom