Matokeo ya TRA ya written ni kama A.I generated

Kuna wakati lazima niseme ukweli!! Pale hakukuwa na FOB! Ulitakiwa utumie CIF..
Hakukuwa na CIF sasa nakumbuka hivyo. FOB si lazima utajiwe kabisa kwa herufi "FOB". Kuna maelezo ukisoma unajua yanaimaanisha.
 
Na bado sijaitwa oral
Swali la solving lilikuwa na marks chache sana, kupatia hilo pekee hata marks 10 hufikishi. Ndio maana nililifanya la mwisho, refu ila halina marks. Muda unaotumia kutafakari maswali mengine upate marks 15 za uhakika ndio unautumia kulijibu.
 
Randomly observation! Lakn you may dig deep! Unaweza gundua kitu!! Mfano maks zetu ni based on 5 lakn utakuta mtu kapata 42.4..

Na huyo mweny 42.4 haijakaa center aligned, but ni as if imetypiwa
Marks hazikuwa based on 5, kama ungejumlisha scores kwenye maswali ungejua 5 haileti exact 100%

Kuna vitu maybe vilizingatiwa labda kuonyesha njia ya kupata jibu, usafi, kufuta au kitu kingine.
 
Anyway, zingatia na malalamiko mengine! Sio lazima hayo! Ya pyramid
 
Swali la solving lilikuwa na marks chache sana, kupatia hilo pekee hata marks 10 hufikishi. Ndio maana nililifanya la mwisho, refu ila halina marks. Muda unaotumia kutafakari maswali mengine upate marks 15 za uhakika ndio unautumia kulijibu.
Daah! Acha tuu.. mi kweny calculation Niko vzuri sana..
Hata true and false
Lakn huku kweny multiple choice kulikuwa kweupe tuu
 
Marks hazikuwa based on 5, kama ungejumlisha scores kwenye maswali ungejua 5 haileti exact 100%

Kuna vitu maybe vilizingatiwa labda kuonyesha njia ya kupata jibu, usafi, kufuta au kitu kingine.
Fresh mwanangu katuwakilishe kweny ORAL
 
Marks hazikuwa based on 5, kama ungejumlisha scores kwenye maswali ungejua 5 haileti exact 100%

Kuna vitu maybe vilizingatiwa labda kuonyesha njia ya kupata jibu, usafi, kufuta au kitu kingine.
Kwahio Kama umekosea usifute
 
Hakukuwa na CIF sasa nakumbuka hivyo. FOB si lazima utajiwe kabisa kwa herufi "FOB". Kuna maelezo ukisoma unajua yanaimaanisha.
Ukiwa Kama Afisa huwezi ambiwa hii ni FOB!!

Maana unakuwa kweny calculation.
Nahio ni Transaction Method pekeake

FOB.. free onboard
Yaani mzigo unapotoa nchi husika ye seller. Anakufikishia mzigo bandarini tuu. Baada ya hapo gharama zote ni zako mpaka mzigo unafika Tz.
Kuanzia, usafir, insurance na gharama zoote
So unachukua price yake + insurance+ freight

Lakini kwa CIF
Muuzaji anakuletea mzigo mpaka bandarini kwako.
So gharama zake
C = cost, I = insurance F= freight

Hio FOB na CIF ndo unazitoza ushuru!

Halafu hio ni njia moja, Kuna njia nyingi
Kama
1. Transaction ya similar products
2.Transaction ya identical
3.Computation
4. Fallback
Na nyingne nishasahau.

Based na swali, huwezi tumia FOB kwasababu, tayari Kuna CIF ipo. Na ile gharama ya yeye kutoa mzigo bandarini huwezi include kweny Calculation zako mzeee.

Ni vile tuu bado serikali haitoi uhuru wakuona namna walivyosahihisha!! inawezekana wakawa wamefuata ushauri wako
 
Swali lile navyokumbuka halikuwa na CIF bali lilikuwa FOB na relevant data za kukuwezesha kupata CIF. Hawakutoa swali uchi namna unayoandika hapa.
 
Fresh mwanangu katuwakilishe kweny ORAL
Naweza nisiende, au nikienda nisipate ila hoja zako zote ukizichunguza vizuri hazina uzito.

Mosi, unataka marks zisifanane. Nimekuomba tengeneza scenario ya watu 14,000 kupata marks zisizofanana kati ya marks 100 umeshindwa. That means hata wewe ungekuwa unaendesha zoezi ungeshindwa kuhakikisha kila mtu ana marks zake peke yake.

Yaani unataka kwenye mtihani wa NECTA Form Four, watahiniwa wakiwa jumla milioni moja, basi wenye Div.1 wawe 250k, wenye Div.2 wawe 250k, wenye Div.3 wawe 250k na Div.4 wawe 250k kisha wasiwepo wenye 0 sababu mtihani ulionekana sio mgumu.
 
Kuna mdada wa baloz flan nchini alifanyaga written ya customs akafeli kabisa hata oral hakwenda Wala hakuchaguliwa

Mzigo wa majina ya customs walioajiriwa yalipo Toka naye yumo, asaivi anakula maisha ni custom officer wa TRA.

Kuna watu wanainjoy maisha kirahisi kweli wanaishi kama malaika
 
Attachments

  • Screenshot_20250504_030824_WhatsApp.jpg
    365.3 KB · Views: 20
Yaani ki ukweli nilifanya interview mahakamani baada ya ku submit majibu yanaonekana hapo hapo kwa hiyo unatoka ukiwa unajua ulichopanda ndio umevuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…