Kwenye ile row yetu sisi watu kama watano ambao niliweza kuona karatasi zao kwa usahihi mitihani yetu ilikuwa inafanana.. yaan nilikuwa naona kabisa swali la tano kule ndio hili hili lililopo kwenye karatasi yangu.Mligelezeanaje na maswali yalichanganywa?
unascan unampa AI kumpromt asahihishe huku ukiwa ushampa na marking sheme.Mbona simple tu kazi inapigwa chap kwa haraka.Na mtiahani ukiwa objective ndo precision ya AI inakuwa juu zaidi.Wanatumia mbinu gani kweny jegenerate haya matokeo.
Hatari aseeHapana, zile meza zilikuwa Kama za Kamati ya Harusi, so ni rahis kuangaliziana..
Halafu hakukuwa na usimamizi extensive sana
Lkn marks zimekuja za ajabu yaweza kua walistandardizeKwenye ile row yetu sisi watu kama watano ambao niliweza kuona karatasi zao kwa usahihi mitihani yetu ilikuwa inafanana.. yaan nilikuwa naona kabisa swali la tano kule ndio hili hili lililopo kwenye karatasi yangu.
watu sio tu kwamba waliangaliziana, bali walikuwa wanafanya mpaka discussion kabisa.
Hapo bado sijawaongelea waliongia na simu.
Kwann hamsemi kwa kupaza sauti! Mnasemea chini ya uvungu wa KitandaUkweli lazima usemwee, ππππ
Walikuwa wanatuchora tu tunavyopapatikaHatari asee
Haijulikan! Wangeturudishia PDF zetu tuone kweli ni marks zetuLkn marks zimekuja za ajabu yaweza kua walistandardize
Daah Mungu atusaidie sanaHaijulikan! Wangeturudishia PDF zetu tuone kweli ni marks zetu
Imagine eti paper kama ile ya tax management hakuna aliyefikisha 90, na maswali yenyewe multiple choiceLkn marks zimekuja za ajabu yaweza kua walistandardize
Ni kweli, Tatizo lipo kwa wanaoshikilia hizo mamboDaah Mungu atusaidie sana
Wanatuona Kama sisi watoto ujue! Halafu nasisi tumezid unyonge aiseeImagine eti paper kama ile ya tax management hakuna aliyefikisha 90, na maswali yenyewe multiple choice
Hakuna mtu akakandwa kwa haki aka complain kiongozi.. Wangekandwa kwa haki wangejua wamekosea wapMilio ni kawaida baada ya mkando.
UsipanickWanatuona Kama sisi watoto ujue! Halafu nasisi tumezid unyonge aisee
Hata wao wanazingua!!Nyie si mlisema utumishi wanazingua?
Inakera ujueUsipanick
Pambana siku nyingine usaili unahusisha watu wengi sana ukiona swali liko wazi usilifanye fikiria mara tatu mpka nne maswali kama hayo yanakuwa na mitego isiyoonekana kirahisi kwa watu wenye harakaInakera ujue
Aah wapiii?! ππππKwann hamsemi kwa kupaza sauti! Mnasemea chini ya uvungu wa Kitanda
Kiongozi umefanya hata mtihani mmoja wa TRA pale??..Pambana siku nyingine usaili unahusisha watu wengi sana ukiona swali liko wazi usilifanye fikiria mara tatu mpka nne maswali kama hayo yanakuwa na mitego isiyoonekana kirahisi kwa watu wenye haraka