tracy martins JF-Expert Member Joined Aug 5, 2014 Posts 3,535 Reaction score 1,484 Jan 17, 2015 #61 HUMPHREY MBWILO said: cpa imekuwa uchocholo kila mtu anabeba Click to expand... hiyo Ni kweli kabisa,siku hizi Kuna maswali ya kuchagua
HUMPHREY MBWILO said: cpa imekuwa uchocholo kila mtu anabeba Click to expand... hiyo Ni kweli kabisa,siku hizi Kuna maswali ya kuchagua
J Jozee M Member Joined Nov 30, 2014 Posts 35 Reaction score 8 Jan 17, 2015 #62 Wadau waliofanikiwa kupata matokeo ya nbaa intermidiate level msaada jamani sie tupo wilayani na hatuna msaada zaidi ya kucheki kwenye internet,
Wadau waliofanikiwa kupata matokeo ya nbaa intermidiate level msaada jamani sie tupo wilayani na hatuna msaada zaidi ya kucheki kwenye internet,
R rolla JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,274 Reaction score 1,214 Jan 18, 2015 #63 SmAlL pDiDy. jr said: MaToKeo Ni MazUri nImeOna leo. TUmShuKurU Mungu SaNa. KamA yA kWako uJayaOna kUwa Na iMani kESho yataKuwa kwEne site. Click to expand... mmmmh huu uandishi mbona umekaa ndivyo sivyo? au macho yangu.
SmAlL pDiDy. jr said: MaToKeo Ni MazUri nImeOna leo. TUmShuKurU Mungu SaNa. KamA yA kWako uJayaOna kUwa Na iMani kESho yataKuwa kwEne site. Click to expand... mmmmh huu uandishi mbona umekaa ndivyo sivyo? au macho yangu.
R rolla JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,274 Reaction score 1,214 Jan 18, 2015 #64 SmAlL pDiDy. jr said: UkiWanaKaMpuni utAJUANI NN Click to expand... hivi na kwenye karatasi unaandika hivi mkuu? just curious.
SmAlL pDiDy. jr said: UkiWanaKaMpuni utAJUANI NN Click to expand... hivi na kwenye karatasi unaandika hivi mkuu? just curious.
mojoki JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 1,313 Reaction score 291 Jan 18, 2015 #65 Covenantfinco.com kwa matokeo ya Intermediate
Infantry Soldier JF-Expert Member Joined Feb 18, 2012 Posts 17,306 Reaction score 19,877 Jul 28, 2016 #66 mmc said: Jamani mwenye taarifa yoyote kuhusu matokeo ya bodi ya ya uhasibu naomba atujuze jaman tuone tulichovuna . asante. Click to expand... click here: Bodi ya wahasibu N.B.A.A mnatutia aibu kimataifa, badilikeni sasa
mmc said: Jamani mwenye taarifa yoyote kuhusu matokeo ya bodi ya ya uhasibu naomba atujuze jaman tuone tulichovuna . asante. Click to expand... click here: Bodi ya wahasibu N.B.A.A mnatutia aibu kimataifa, badilikeni sasa