Napenda kuwataarifu kuwa orodha ya wanafunzi waliofaulu CPA imebandikwa kwenye mbao za matangazo NBAA na matokeo kamili yatakuwa yamewekwa kwenye web kufikia kesho asubuhi.Hongereni kwa mliofaulu na wale ambao hamjafaulu msikate tamaa.
Nawasilisha
nbaa ndio wale wacheza basket wakina michael jordan,kelvin durrant na kobe braynt???
mbona wale kila weekend wanacheza mechi jamani na matokeo yanatoka
Jamani mwenye taarifa yoyote kuhusu matokeo ya bodi ya ya uhasibu naomba atujuze jaman tuone tulichovuna .
asante.
nbaa ndio wale wacheza basket wakina michael jordan,kelvin durrant na kobe braynt???
mbona wale kila weekend wanacheza mechi jamani na matokeo yanatoka
Hongera!
C.P.A Ndo nini?
Nakupongeza hapa hapa