Matokeo ya michepuko

Matokeo ya michepuko

gumboot

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
263
Reaction score
93
Amah kweli MICHEPUKO sio dili.

Amechanwa viwembe na mwenye mume kwa kosa la kuishi mpaka kazaa na mumewe...

Kiukweli hawa wanawake wote wana makosa..huyu kuchukua hatua mikononi na huyu kuchukua mme wa mtu...kazi ipo wapenda michepuko ongezi maujanja ya kujificha.

Watu wanahasira zao na nina hisi angekua na kisu angemchoma hadi kumuua.

Umkute mnyonge mnyonge. Kuna watu watabeeeeeee! Shanginhi ana mpaka LAWYER mguseee uione nguvu ya sheria. Na sheria ilivo mchezo mchafu mpaka UTHIBITISHE PASI SHAKA YOYOTE sio leo ndugu yangu. Labda ukabongoe na kuvunja nazi njia panda na kuchekea kwenye kinu ndo atapata justice yake.
 
Mh bahat yake mbaya binafs con sababu ya kumdhuru binadam mwenzangu mpk kazaa inamaana mwanaume ndo alikubali yy atakuwa amejiweka na unaweza kumpiga na bd wakawa wote ukapata aibu tu kumbe nikutafuta njia ya busara kuyatatua
 
Amah kweli MICHEPUKO sio dili.

Amechanwa viwembe na mwenye mume kwa kosa la kuishi mpaka kazaa na mumewe...

Kiukweli hawa wanawake wote wana makosa..huyu kuchukua hatua mikononi na huyu kuchukua mme wa mtu...kazi ipo wapenda michepuko ongezi maujanja ya kujificha.

Watu wanahasira zao na nina hisi angekua na kisu angemchoma hadi kumuua.

Topaz nooma !
 
Hata mwanaume nae ilibidi achanwe tu kama alivyochanwa kimada wake yeye ndio kisababishi kikuu limeenda huko nyumba ndogo limelishwa mitakataka ya kusahau kwake mbaka likazaa huko
 
Mh bahat yake mbaya binafs con sababu ya kumdhuru binadam mwenzangu mpk kazaa inamaana mwanaume ndo alikubali yy atakuwa amejiweka na unaweza kumpiga na bd wakawa wote ukapata aibu tu kumbe nikutafuta njia ya busara kuyatatua

Reception ishaharibika hakuna amtakaye tena, hata huyo mume wa mtu mwenyewe. Hapo ndo utaelewa jinsi wanaume walivyo.
 
Nilishaona kwa macho mwanaume kafumaniwa akamaind sana eti katiwa aibu bora angemsubiri wakayamaliza ss yule mwanamke alimpiga yule hawara wa mume huku watu wanashuhudia bas alifika nyumbani akampa talaka na haikupita mwez kamuowa hawara ss ya nn kujidhalilisha ni bora ikitokea zipo njia za kufanya na ujumbe ikafika
 
Back
Top Bottom