Matokeo ya Masters Application - IFM

mambosafi1

New Member
Sep 23, 2011
1
0
Nilijaza form za Massters (MSC.IT) application pale IFM August mwaka huu kwa ajili ya kuanza masomo January 2012. Kuna mtu yeyote anayejua matokeo yanatoka lini? Niko mikoani na sioni contact to whom to ask at IFM

Pili, nilli-apply KIU (Kampala Internationa University) mwezi wa nane na kwenye website yao wanasema masomao yanaanza 03 Octoba 2011. Nikiwapigia simu wanansema nisubiri. kuna mtu yeyote mwenye uzoefu na KIU? Sasa kama imebaki wiki moja matokeo ya application hayajatoka, mtu atawezaje kujiandaa na kuanza ndani ya wiki moja

Naomba ushauri wenu wana jukwaa!!
 
Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,735
1,195
Mmmmm,,,KIU!!!!!!!!!
Nilijaza form za Massters (MSC.IT) application pale IFM August mwaka huu kwa ajili ya kuanza masomo January 2012. Kuna mtu yeyote anayejua matokeo yanatoka lini? Niko mikoani na sioni contact to whom to ask at IFM

Pili, nilli-apply KIU (Kampala Internationa University) mwezi wa nane na kwenye website yao wanasema masomao yanaanza 03 Octoba 2011. Nikiwapigia simu wanansema nisubiri. kuna mtu yeyote mwenye uzoefu na KIU? Sasa kama imebaki wiki moja matokeo ya application hayajatoka, mtu atawezaje kujiandaa na kuanza ndani ya wiki moja

Naomba ushauri wenu wana jukwaa!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom