Nyie si watoto wa kishua banaaa pigweni tu FREE P, sie watoto wa uswazi tukilegea njaa itatumaliza. IF DADY CANT GET IT FOR YOU HOW ABOUT GETTING IT YOUR SELF?:A S wink:Mweh mweh af wanasema binadamu wote ni sawa....wengine hapa hatujawahi kupewa hata kitumbua
Uwiiiiii brthday yake mwez ujao... then nko waya mkali ntampa zawad gan mm jamani.... yomayo
Mabwaku....kama unaona rabish pita hivi....
Mpeleke basi hata show room na yeye asafishe machoo...
Mwambie novemba ajiandae lol
Mbona unatokwa povu braza?!! If it's Rubbish why did u comment?!!!
Mwambie novemba ajiandae lol
Kila birthday unampelekea demu wako maua yaani umemfanya demu kawa kama nyuki kwa kuwa na maua kila kona ya chumba
ha ha ha... upewe kitumbua tena. cha kazi gani sasa wakati unacho mwenyewe!!!!Mweh mweh af wanasema binadamu wote ni sawa....wengine hapa hatujawahi kupewa hata kitumbua
Kwakweli huyu kijana kasababisha zahama. Watu wanaanza kupatwa na ugonjwa wa kusahau bday za wenzi wao
JF ina viwango vyake otherwise lipo jukwaa la jokes humu.
Watu bado hata kupambana kupata uhakika wa milo mitatu daily bado hawajafanikiwa then unataka kufekisha maisha?
Unajuwa K Lynn anakura mema ya na bwana Mengi? Unajuwa vacation huwa wanakwenda wapi? Je unajuwa K Lynn amejifungulia nchi gani wale mapacha na hospital ipi?
Sasa akitokea mwehu eti kujifanya yeye ndio mshauri wa mahusiano ya watu, tumuige Mengi anavyomtreat K Lynn huo kama siyo uchizi tuuite vipi?
Kama upo Dar njoo bandarini kesho kuna mnada wa magari ushuhudie wanaume wazima na pumbu zao gari zao zinapigwa mnada kwa kushindwa kugomboa vigari vya CC 900 tu tena vya kutumia wao wenyewe.