Matokeo ya mashauzi ya Dimond

Matokeo ya mashauzi ya Dimond

xfactor

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
1,511
Reaction score
1,290
ImageUploadedByJamiiForums1412014651.493028.jpg
 
Mmh mwingine hata akikumbuka hiyo birthday yako shukuru Mungu. Ni hakumbuki wala apple hupati
By the way nimecheka mnoo. So ni mwendo wa murano tu now, tumechoka na stress za daladala
 
Nimejikuta nakonda ghafla baada ya kusoma maana yule wangu huwa ananipa taarifa siku moja kabla
 
Kila birthday unampelekea demu wako maua yaani umemfanya demu kawa kama nyuki kwa kuwa na maua kila kona ya chumba
 
Kila birthday unampelekea demu wako maua yaani umemfanya demu kawa kama nyuki kwa kuwa na maua kila kona ya chumba

Na kila mwaka mtu atanunua magari mangapi teh teh
 
Na kila mwaka mtu atanunua magari mangapi teh teh

Ila walau kanunua....aliyekula kala hata kama kaonja...
Wengine wanakaribia kuota mvi hata ahadi ya Phoenix hamnaaaa.....
 
Hahahaaaaa! my dear IM NOT I A RELATIONSHIP, IM IN A MEETING! Birthday yangu keki zikiwa chache sanaa ujue 4. Hhhaaaaa! hili chama kubwa!

Mweh mweh af wanasema binadamu wote ni sawa....wengine hapa hatujawahi kupewa hata kitumbua
 
Back
Top Bottom