Matokeo ya mapinduzi ya uongozi wa CC!

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
2,326
Reaction score
1,316
Salaam wanaCC!

Kufuatia mapinduzi makali yaliyofanyika jana siku nzima hadi usiku wa manane chini ya uongozi wa Nivea, napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza wanamapinduzi wote bila kusahau kuwapa pole wote waliopinduliwa!

Hata hivyo kipekee napenda kutumia fursa kuwajulisha matokeo ya mapinduzi ya jana kama ifuatavyo!

Mwenyekiti ========@arabela
M/Mwenyekiti ======@himidini
Katibu = = = = = = = Lady doctor
Naibu Katibu = = = = Heaven on earth
Mweka hazina = = = Nivea
Kamati/mahusiano== Chimbuvu
Uratibu ndoa = = == Queen Kan
Mpiga picha na kumbukumbu ==== saudari
Mratibu wageni ===== The secretary

Uongozi na wajumbe wanaweza kupendekeza nafasi zingine kwa kadri watakavyoona!

Ahsanteni,

Wenu mwanamapinduzi,

-=-=-==-=- UNDENIABLE
 
Last edited by a moderator:
hahahahahaahahahahaha ya misri yamekuwaaaaaa haya wapi baba v wapi Baba V wanawake tukiwezeshwa tunaendesha gariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hahaahahahaah
 
Last edited by a moderator:
Huu ni uongozi wa mpito kabla ya kuitishwa uchaguzi rasmi wa kidemokrasia wa viongozi
 
hahahahahaahahahahaha ya misri yamekuwaaaaaa haya wapi baba v wapi Baba V wanawake tukiwezeshwa tunaendesha gariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hahaahahahaah

Wadhihirishieni mkuu! kwamba mnaweza!
 
Arabela na Himidini timu kubwa hii, i trust !
 
Last edited by a moderator:
Haya mapinduzi yamegharimu uhai wa raia wangapi?
Afu mbona hao mnaojiita wanamapinduzi ni wepesi sana hamuonekani kuwa na uwezo wa kufanya jambo kubwa kama hili. Nani kawatuma kufanya shughuli hii?

Yani hata mimi mtu mmoja tu nikiamua nawafurumusha wote toka madarakani.
 

Thubutu yako, hii inaitwa "full seroius red brigade"!
 
Thubutu yako, hii inaitwa "full seroius red brigade"!

Labda hii ya kwenu itakuwa green guard. Red Brigade nimewaingiza kambini wanapata mafunzo ya ukakamavu muda wote kuanzia sasa wana pass out na kazi yao ya kwanza itakuwa ni kuirudisha heshima ya cc kwa kuwafurumsha nyie M23!
 
Naona unatoa support kwa waasi ,sasa nakushauri ungezungumza nao ili kuleta amani.sawa mwenyekiti wa CC Brotherhood?


Labda hii ya kwenu itakuwa green guard. Red Brigade nimewaingiza kambini wanapata mafunzo ya ukakamavu muda wote kuanzia sasa wana pass out na kazi yao ya kwanza itakuwa ni kuirudisha heshima ya cc kwa kuwafurumsha nyie M23!
 
Labda hii ya kwenu itakuwa green guard. Red Brigade nimewaingiza kambini wanapata mafunzo ya ukakamavu muda wote kuanzia sasa wana pass out na kazi yao ya kwanza itakuwa ni kuirudisha heshima ya cc kwa kuwafurumsha nyie M23!

Aaaaaahhhh wapi, yaani kamanda mzima unasupport uongoi legelege wa Baba V???? i cant imagine!
 
Last edited by a moderator:
Mapinduzi daima. Tunashukuru kwa kupata viongozi hawa wa muda wakati tunasubiri uongozi wa kudumu. Umoja daima.
 
Hii kweli "seroius" , mwaka huu hakuna rangi tutaacha ona, multiple IDs zina taabu kweli kweli...

aaaahhhh wapi, hii id ilikuwepo tangu enzi! km vp report kwa mods!
 
Hiyo nafasi ya fedha mngenipa mimi cause ndo first class economist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…