Matokeo ya mahakama Kenya kuhusu uchaguzi

Matokeo ya mahakama Kenya kuhusu uchaguzi

Magu

Senior Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
156
Reaction score
56
Wadau mwenye latest news kuhusu hukumu ya mahakama nchini Kenya anijuze.

Nadhani leo ndo iliamuliwa hukumu itolewe.
 
Hukumu inatolewa kesho Jumamosi,tayari Serikali ya Marekani imetoa alert kwa wananchi wake walio Kenya kwamba waepuke kupita karibu na maandamano. Wanasema,kesho uamuzi wa Mahakama utatangazwa,na labda itatokea fujo.
 
Wadau mwenye latest news kuhusu hukumu ya mahakama nchini Kenya anijuze. Nadhani leo ndo iliamuliwa hukumu itolewe.
mimi nilifikiri una matokeo! Kumbe na wewe hujui chochote!? Kichwa cha habari hakiendani na maudhui kabisa!! Kajipange ndugu yangu.
 
Yaani Pasaka itakuwa chungu kwa wataoshindwa na tamu sana kwa washindi (hata kurudia uchaguzi) ni ushindi pia!!tunaomba ndugu zetu wakenya msilete fujo baada ya hukumu ya kesho
 
Matokeo yatatangazwa kesho jumamosi trh 30/03/2015 na jaji mkuu wa Kenya Dr Willy Mtunga amewaomba majaji wenzake wasizime simu zao maana wanaweza kuhitajika muda wowote.
 
Kijana inaelekea art ya uandishi huna kabisa.
Ebu angalia thread zote za wataalamu wa kuandika kama heeading zinakuwa straight foward.

Kama heading itakupa majibu yote utakuwa na sababu gani kuingia katika habari yenyewe? Majibu yote yanatakiwa kupatikana katika paragraph ya kwanza kabla ya body ya habari (5w, 1h).

Humo vyuoni msiende kulala tu jamani jitahdini kusoma hata kama si specialization yako.
 
Ndugu zangu wakenya chondechonde epukaneni na vurugu zinazoweza kutokea kutokana na maamuzi ya mahakama.
 
Matokeo yatatangazwa kesho jumamosi trh 30/03/2015 na jaji mkuu wa Kenya Dr Willy Mtunga amewaomba majaji wenzake wasizime simu zao maana wanaweza kuhitajika muda wowote.

Amewaomba mawakili wasizime simu sio majaji wenzake
 
Back
Top Bottom