Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

Yametoka muda mrefu,mimi nimecheki yangu nimefaulu nina dv Two point 19 lutengano secondary (2000--2007) nawe cheki au nitumie jna lako nikuchekie
 
Oyaaa ww dogo..., csee results huwa sana sana znatoka mwezi february sana sana after valentine's day ..so mda huu ww endelea kumfaidi demu wako.. Ila after on 14th february njoo tukushauri cha kufanya after csee results
 
Samahan jaman kama kuna mwenye ana fununu kuhusu matokeo ya kidato cha NNE mana kuna watu wanasema tareh 28 mwez huu sasa cjui kama ni kweli
Nb:jokes hazifai
Yaani matokeo ya Form Four unaulizia huku, nina mashaka na upeo wako wa kufikiri.
 
Samahan jaman kama kuna mwenye ana fununu kuhusu matokeo ya kidato cha NNE mana kuna watu wanasema tareh 28 mwez huu sasa cjui kama ni kweli
Nb:jokes hazifai
Bado dogo,yakiwa tayari utayasikia vyombo vya habari
 
Ukipata ziro unaenda jela miaka miwili,so yamecheleweshwa makusudi wote mlopata 0 tunawapangia magereza wakati walofaulu tunawapngia shule za kwenda:mad::):)
 
Form four unafanya nini kwa great thinkers? Soma japo umalize form six ndo urudi humu
 
tuliza mzuka dogo...
utakua umefaulu,wanaofeli huwa hawatamani hata matokeo yatoke
 
Samahan jaman kama kuna mwenye ana fununu kuhusu matokeo ya kidato cha NNE mana kuna watu wanasema tareh 28 mwez huu sasa cjui kama ni kweli
Nb:jokes hazifai
Uliona na kusikia wapi matokeo ya kidato cha nne mwezi huu
 
Oyaaa ww dogo..., csee results huwa sana sana znatoka mwezi february sana sana after valentine's day ..so mda huu ww endelea kumfaidi demu wako.. Ila after on 14th february njoo tukushauri cha kufanya after csee results
poa bro
 
Back
Top Bottom