matokeo ya kalapina pliiiz

matokeo ya kalapina pliiiz

mpenda pombe

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
1,410
Reaction score
722
JAana kalapina kapanda ulingoni.. vipi ameshinda?? Tujuzeni wadau..
 
Kalapina mstari wa mbele kikosi cha mizinga lazima ukae entertainment
 
nmepata taarifa kuwa mpinzani wake hakutokea kaogopa kufa
 
hapo chembe hapo kidevu lazima ukae pina ni noma akitokea ulingoni ukimuona unasepa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom