Matokeo ya CPA(Certified Public Accountant) kwa November 2018 haya hapa

Matokeo ya CPA(Certified Public Accountant) kwa November 2018 haya hapa

Shughuli imeshaisha sasa. Tukutaneni BUNJU kusherehekea hii kitu.
 
hongereni sana mliozipata cpa..

mzitumie vizuri kuanzisha kampuni za kihasibu.. maana hata ernst na rafiki yake young walianzisha ernst and young, hata kpmg ni kifupi cha marafiki wanne wahasibu waliungana kuanzisha kampuni.. bila kusahau pwc nayo ni majina ya watu..

hongereni sana na sana cpa kuipata si mchezo... ni fursa kubwa kujiajiri..

yule mama chief financial officer wa huawei alikamatwa juzi canada nchi inapiga mkwara aachiwe.. ila amepata hiko cheo sababu huawei ni kampuni ya baba yake... so hata bongo imeanza ingia hiyo.. na cpa yako kama baba yako hana kampuni hawakupi mavyeo kabisa
 
Back
Top Bottom