Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Nimetumiwa Taarifa hii kutoka Dodoma ya kuwa pamoja na Mheshimiwa Pinda kuwatomasa Chadema Bungeni kuwa mbona wamemnunia na hawampigii makofi lakini hizo gheresha wabunge wa Chadema hawashtuki nazo na ya kuwa kuonyesha dhamira yao ya kupinga matokeo ya Uraisi ambao wao wanaamini kulingana na takwimu zao waliushinda Uraisi huo........hivyo hawatahudhuria hafla hiyo...........
Wabunge wa Chadema pia walimkataa Mheshimiwa Pinda kwa kura zao zote 46 ikithibitisha ya kuwa hawatambui teuzi zozote zile zitakazofanywa na JK hadi pale mgogoro wa kura ya Uraisi utakapopatiwa ufumbuzi na Tume huru itakayoteuliwa na Bunge kuchunguza ni nani haswa alishinda kura hiyo.........wakati ushahidi wa matokeo ya kura hizo yaliyotangazwa na kuthibitishwa kwenye vituo yaonyesha tofauti kubwa na yale ambayo yaliyotangazwa na NEC
Rutashubanyuma, nadhani Chadema wanaweza wasimtambue rais, lakini haimfanyi rais asiwe rais, vivyo hivyo kumtaa Pinda pia hakumfanyi asiwe PM, ila kwa upande wa Pinda, watake wasitake, ni lazima wamtambue vinginevyo hawawezi kufanya chochote Bungeni, kwa vile PM ndiye mkuu wa shughuli za serikali bungeni, bila Pinda hakuna serikali, bila serikali, hao waunge wa Chadema, watakuwa wanafanya nini bungeni?.Nimetumiwa Taarifa hii kutoka Dodoma ya kuwa pamoja na Mheshimiwa Pinda kuwatomasa Chadema Bungeni kuwa mbona wamemnunia na hawampigii makofi lakini hizo gheresha wabunge wa Chadema hawashtuki nazo na ya kuwa kuonyesha dhamira yao ya kupinga matokeo ya Uraisi ambao wao wanaamini kulingana na takwimu zao waliushinda Uraisi huo........hivyo hawatahudhuria hafla hiyo...........
Wabunge wa Chadema pia walimkataa Mheshimiwa Pinda kwa kura zao zote 46 ikithibitisha ya kuwa hawatambui teuzi zozote zile zitakazofanywa na JK hadi pale mgogoro wa kura ya Uraisi utakapopatiwa ufumbuzi na Tume huru itakayoteuliwa na Bunge kuchunguza ni nani haswa alishinda kura hiyo.........wakati ushahidi wa matokeo ya kura hizo yaliyotangazwa na kuthibitishwa kwenye vituo yaonyesha tofauti kubwa na yale ambayo yaliyotangazwa na NEC
Rutashubanyuma, nadhani Chadema wanaweza wasimtambue rais, lakini haimfanyi rais asiwe rais, vivyo hivyo kumtaa Pinda pia hakumfanyi asiwe PM, ila kwa upande wa Pinda, watake wasitake, ni lazima wamtambue vinginevyo hawawezi kufanya chochote Bungeni, kwa vile PM ndiye mkuu wa shughuli za serikali bungeni, bila Pinda hakuna serikali, bila serikali, hao waunge wa Chadema, watakuwa wanafanya nini bungeni?.
Wakiamua kesho wanaweza kutoka nje, kususia hotuba ya rais kulihutubia bunge, na akimaliza linaahirishwa mpaka January 25, ambapo Chadema lazima waingie Bungeni, na wakisusia, hatua kazi za kiutendaji zitafuata.

Hiyo ndiyo dhamira ya kweli.
Huwezi kumutambua mwizi!!! Ni sawa na kumukataa shetani lakini unakubali kazi zake
hoja hapa ni kumukataa shetani na kazi zake!!
Ngambo Ngali, nimeipenda hii, wasikose vikao vitatu mfulululizo, wakifanya hivi, itakuwa ni wabunge posho!, Chadema is more than that, wao ni wawakilishi wa wananchi, hivyo kutohudhuria vikao, itakuwa sio kuwatendea haki waliowachagua.Wasusie tu, mradi tu wasikose kuhudhuria vikao vitatu mfululizo, vinginevyo wataendelea kuwa wabunge
Pasco hoja zako hazina mashiko kwa sababu ujumbe wa Chadema siyo kwa serikali haramu ya Jk tu bali ni kwa wapigakura ambao tuliacha shughuli zetu na kwenda kuwachagua viongozi tuwapendao.....................kwa hiyo huu ujumbe hautahusisha kutohudhuria vikao vya bunge la hasha................bali Bungeni kutawaka moto kudai uchaguzi huru na wa haki kwa kushinikiza kieleweke ni nini kilitokea kwa NEC kutotangaza matokeo waliyopewa kutoka vituoni? NEC itabidi ibebeshwe msalaba wa kutofuata sheria za uchaguzi na bila ya kuwawajibisha nchi hii itakuwa bora liende tu....................Rutashubanyuma, nadhani Chadema wanaweza wasimtambue rais, lakini haimfanyi rais asiwe rais, vivyo hivyo kumtaa Pinda pia hakumfanyi asiwe PM, ila kwa upande wa Pinda, watake wasitake, ni lazima wamtambue vinginevyo hawawezi kufanya chochote Bungeni, kwa vile PM ndiye mkuu wa shughuli za serikali bungeni, bila Pinda hakuna serikali, bila serikali, hao waunge wa Chadema, watakuwa wanafanya nini bungeni?.
Wakiamua kesho wanaweza kutoka nje, kususia hotuba ya rais kulihutubia bunge, na akimaliza linaahirishwa mpaka January 25, ambapo Chadema lazima waingie Bungeni, na wakisusia, hatua kazi za kiutendaji zitafuata.
Rutashubanyuma, nakubaliana na wewe kuhusu kupingana kwa hoja, na kwenye mjadala, hoja isiyo na mashiko hupanguliwa kwa hoja, sio kwa hisia au dhana, nimekukubalia kuwa kwa Chadema kutomtambua rais, hakumfanyi rais asiwe rais, kwa sheria yetu mbovu ya ajabu na kideteta ya hali ya juu, Tume ikishamtangaza mshindi, biashara ndio imeishia hapo, no more deals, negotioatis or discussions its over no matter what, hii ni sheria ya iitwayo 'the end justify the means', hata kama ulishinda kwa kuiba, hila, udhalimu, ua kwa mbinu zozote, maadam umeshinda wewe, its over. Hiki ndicho kilichotokea Kenya na Zimbabwe, hakiwezi kutokea kwetu kwa sababu Watanzania ni watu wapole, watu wa amani, watu watulivu, wavumilivu, wastahimilivu, hawapendi shari, kila wanachofanyiwa wao ni hewalla mzee, hivi ndivyo tulivyo na ndivyo tunavyoendelea kuwa.Pasco hoja zako hazina mashiko ..............
Huyo jamaa pasco sio kwamba hajui anachosema ila anataka kutuona na wengine kama hatujui taratibu za bunge.Nani kakwambia CHADEMA watasusia vikao vya bunge. Issue hapa ni kutuma ujumbe kwa JK kwamba ulichakachua. Kwa jinsi nilivyokufuatilia hapa JF wewe ni mwanasheria (Most likely junior) na kwa hiyo mawazo yako haya ni ya mtizamo wa kisheria na sahihi. But CHADEMA is a political party and have to handle issues politically! You probably do not know (or deliberately tend to ignore) the gimmicks and rules in this game