Matokeo ya Chadema Kususia Hotuba ya JK na Kuapishwa kwa Pinda

Kususia hata kikao kimoja ni kutotutendea haki sisi tuliowachagua.
Pia kutoitambua serikali ni kukimaliza chama kisiasa. Watakosa mengi Bungeni na Serikalini!
Kwa kifupi kususia kuna negative impact mbaya sana!
Wewe hutapata hasara kwa sababu una ubia na Jakaya
 
Kweli Sikonge kuna watu wanajifanya kuionea huruma Chadema kinafiki eti wasipohudhuria bunge wanawanyima haki yao wakati juzi walikuwa watu wa kwanza kuwaponda wabunge wake.

Hii chance ya hotuba ya ufunguzi kama Chadema watai miss hawatapata wakati mwingine mwafaka wa kumpelekea Kikwete na CCM yake message, kinachotakiwa ni kumwonyesha wazi kuwa hawaridhiki na matokeo baada ya hapo ndipo wahamishie mapambano bungeni.
Na hili lifanyike kila Kikwete akiingia bungeni kutoa hotuba si kesho tu.
 
Poor man PASCO,unaweza kuona mambo haya kijujuu ukashadadia ukajiona unaweza kufungua jamii forum na kuandika vimaneno vyako na ukarudi nyumbani ukijitapa kuwa umechangia kumbe pumba tu, unajua mwisho wa hii ni nini, unajua athari za kukataliwa na kundi fulani lenye ushawishi mkubwa ndani na nje ya nchi??mtu mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri huwa anashirikisha au kutoa mawazo mbadala jinsi ya kunusuru hii hali, nani asiyejua ukweli wa mambo na mfumo na taratibu nzima za uchaguzi zilivyoenda??hata akili huna unaongoza watu kwa nguvu hata kama wamekukataa na unatoka unaongea kwa mbwembwe nyingi bila hata kujua kuwa unajiweka mwenyewe njia panda??au na wewe poor man pasco uwezo wako wa kufikiri ni mdogo kama kaka yako anavyochemka???

toeni hoja kisomi na changieni misomi sisi hatuko hapa kufanya mipasho bali kutafuta suluhu na mstakabali wa taifa hili lenye kila sababu ya kuwa na maendeleo ya kuigwa ila tunakwamishwa na viongozi uchwara ambao pasco na wenzake wanaona super.
We need to think critically and act accordingly and nonsense from stupid people like pasco!
shame on u!subiri uone moto wake kama unadhani hao wabunge ni vihiyo kama kaka zako
 
Poor man PASCO,unaweza kuona mambo haya kijujuu ukashadadia ukajiona unaweza kufungua jamii forum na kuandika vimaneno vyako na ukarudi nyumbani ukijitapa kuwa umechangia kumbe pumba tu, unajua mwisho wa hii ni nini, unajua athari za kukataliwa na kundi fulani lenye ushawishi mkubwa ndani na nje ya nchi??mtu mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri huwa anashirikisha au kutoa mawazo mbadala jinsi ya kunusuru hii hali, nani asiyejua ukweli wa mambo na mfumo na taratibu nzima za uchaguzi zilivyoenda??hata akili huna unaongoza watu kwa nguvu hata kama wamekukataa na unatoka unaongea kwa mbwembwe nyingi bila hata kujua kuwa unajiweka mwenyewe njia panda??au na wewe poor man pasco uwezo wako wa kufikiri ni mdogo kama kaka yako anavyochemka???

toeni hoja kisomi na changieni kisomi sisi hatuko hapa kufanya mipasho bali kutafuta suluhu na mstakabali wa taifa hili lenye kila sababu ya kuwa na maendeleo ya kuigwa ila tunakwamishwa na viongozi uchwara ambao pasco na wenzake wanaona super.

Rutashubanyuma, nakubaliana na wewe kuhusu kupingana kwa hoja, na kwenye mjadala, hoja isiyo na mashiko hupanguliwa kwa hoja, sio kwa hisia au dhana, nimekukubalia kuwa kwa Chadema kutomtambua rais, hakumfanyi rais asiwe rais, kwa sheria yetu mbovu ya ajabu na kideteta ya hali ya juu, Tume ikishamtangaza mshindi, biashara ndio imeishia hapo, no more deals, negotioatis or discussions its over no matter what, hii ni sheria ya iitwayo 'the end justify the means', hata kama ulishinda kwa kuiba, hila, udhalimu, ua kwa mbinu zozote, maadam umeshinda wewe, its over. Hiki ndicho kilichotokea Kenya na Zimbabwe,
hakiwezi kutokea kwetu kwa sababu Watanzania ni watu wapole, watu wa amani, watu watulivu, wavumilivu, wastahimilivu, hawapendi shari, kila wanachofanyiwa wao ni hewalla mzee, hivi ndivyo tulivyo na ndivyo tunavyoendelea kuwa.

My brother things change usifikirie mtu mjinga ataendelea kuwa mjinga siku zote
 
Poor man PASCO,unaweza kuona mambo haya kijujuu ukashadadia ukajiona unaweza kufungua jamii forum na kuandika vimaneno vyako na ukarudi nyumbani ukijitapa kuwa umechangia kumbe pumba tu, unajua mwisho wa hii ni nini, unajua athari za kukataliwa na kundi fulani lenye ushawishi mkubwa ndani na nje ya nchi??mtu mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri huwa anashirikisha au kutoa mawazo mbadala jinsi ya kunusuru hii hali, nani asiyejua ukweli wa mambo na mfumo na taratibu nzima za uchaguzi zilivyoenda??hata akili huna unaongoza watu kwa nguvu hata kama wamekukataa na unatoka unaongea kwa mbwembwe nyingi bila hata kujua kuwa unajiweka mwenyewe njia panda??au na wewe poor man pasco uwezo wako wa kufikiri ni mdogo kama kaka yako anavyochemka???

toeni hoja kisomi na changieni kisomi sisi hatuko hapa kufanya mipasho bali kutafuta suluhu na mstakabali wa taifa hili lenye kila sababu ya kuwa na maendeleo ya kuigwa ila tunakwamishwa na viongozi uchwara ambao pasco na wenzake wanaona super.
We need to think critically and act accordingly and nonsense from stupid people like pasco!
shame on u!subiri uone moto wake kama unadhani hao wabunge ni vihiyo kama kaka zako
 
sio hilo tu mara tu jk atakapoingia ndani ya ukumbi wa bunge kuhutubia bunge ni vyema wakatoka nje kupinga wizi wa kura hapa nchini.
 
Nimetumiwa Taarifa hii kutoka Dodoma ya kuwa pamoja na Mheshimiwa Pinda kuwatomasa Chadema Bungeni kuwa mbona wamemnunia na hawampigii makofi lakini hizo gheresha wabunge wa Chadema hawashtuki nazo na ya kuwa kuonyesha dhamira yao ya kupinga matokeo ya Uraisi ambao wao wanaamini kulingana na takwimu zao waliushinda Uraisi huo........hivyo hawatahudhuria hafla hiyo...........

Wabunge wa Chadema pia walimkataa Mheshimiwa Pinda kwa kura zao zote 46 ikithibitisha ya kuwa hawatambui teuzi zozote zile zitakazofanywa na JK hadi pale mgogoro wa kura ya Uraisi utakapopatiwa ufumbuzi na Tume huru itakayoteuliwa na Bunge kuchunguza ni nani haswa alishinda kura hiyo.........wakati ushahidi wa matokeo ya kura hizo yaliyotangazwa na kuthibitishwa kwenye vituo yaonyesha tofauti kubwa na yale ambayo yaliyotangazwa na NEC

Uamuzi huo wa Chadema unaupa moyo na roho yangu furaha na matumaini.
 
Rutashubanyuma, nadhani Chadema wanaweza wasimtambue rais, lakini haimfanyi rais asiwe rais, vivyo hivyo kumtaa Pinda pia hakumfanyi asiwe PM, ila kwa upande wa Pinda, watake wasitake, ni lazima wamtambue vinginevyo hawawezi kufanya chochote Bungeni, kwa vile PM ndiye mkuu wa shughuli za serikali bungeni, bila Pinda hakuna serikali, bila serikali, hao waunge wa Chadema, watakuwa wanafanya nini bungeni?.

Wakiamua kesho wanaweza kutoka nje, kususia hotuba ya rais kulihutubia bunge, na akimaliza linaahirishwa mpaka January 25, ambapo Chadema lazima waingie Bungeni, na wakisusia, hatua kazi za kiutendaji zitafuata.

Hakuna hatua kazi zozote wanazoweza kuchukuliwa kasome sheria bana
 
kususia hata kikao kimoja ni kutotutendea haki sisi tuliowachagua.
Pia kutoitambua serikali ni kukimaliza chama kisiasa. Watakosa mengi bungeni na serikalini!
Kwa kifupi kususia kuna negative impact mbaya sana!

ni sisi tuliowachagua ambao tuanataka wasusie kuapishwa kwa pinda na hotuba ya jk. Hivyo kwa kuwa tumewatuama wanatutendea haki sana tu.
 
nimetumiwa taarifa hii kutoka dodoma ya kuwa pamoja na mheshimiwa pinda kuwatomasa chadema bungeni kuwa mbona wamemnunia na hawampigii makofi lakini hizo gheresha wabunge wa chadema hawashtuki nazo na ya kuwa kuonyesha dhamira yao ya kupinga matokeo ya uraisi ambao wao wanaamini kulingana na takwimu zao waliushinda uraisi huo........hivyo hawatahudhuria hafla hiyo...........

Wabunge wa chadema pia walimkataa mheshimiwa pinda kwa kura zao zote 46 ikithibitisha ya kuwa hawatambui teuzi zozote zile zitakazofanywa na jk hadi pale mgogoro wa kura ya uraisi utakapopatiwa ufumbuzi na tume huru itakayoteuliwa na bunge kuchunguza ni nani haswa alishinda kura hiyo.........wakati ushahidi wa matokeo ya kura hizo yaliyotangazwa na kuthibitishwa kwenye vituo yaonyesha tofauti kubwa na yale ambayo yaliyotangazwa na nec

ni vyema wasusie haotuba hiyo kwa sababu nyingi tuu ikiwemo raisi kuwa muongo. Yake aliyoyaahidi katika hotuba kaka hiyo mwaka 2005 ni magapi alitekeleza? Kwanini wabunge wetu wapoteze muda kumsikiliza mtu kama huyu badala ya kufanya semina ya kanuni za bunge?
 
Wanachofanya CHADEMA ni sahihi kabisa - NI KAMA VILE MATUMIZI YA PESA - PESA HAIWEZI KUWA HARAMU KWA VILE KATIKA MZUNGUKO WAKE - INATUMIWA KUFANYA BIASHARA ZA - ULEVI, MADAWA YA KULEVYA - UKAHABA ETC. PESA INGINE IMEIBIWA NA INAWEKWA BENKI ILA WEWE UNAPOKWENDA BENKI - KUDRAW - UNAKUTANA NAYO

NATAKA KUSEMA KUWA - WABUNGE WA CHADEMA WATAENDELEA KUWAKILISHA WALIOWACHAGUA/ WATANZANIA WATAENDELEA NA SHUGHULI ZAO KAMA KAWAIDA - ILA UKWELI NI KUWA RAIS TULIYE NAYE - HASTAHILI HESHIMA YA URAIS - HATA KAMA ATAPISHWA BARABARANI AKIPITA - ILA AJUE KUWA WATANZANIA WENGINE HAMPIGII TENA MAKOFI, HAWAANGALII NA KUSIKILIZA TENA HOTUBA ZAKE... OTHERWISE WATAISHIA KUMZOMEA........................ KIFUPI HAPENDEKI TENAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Ipo tofauti ya siasa na sheria; ipo tofauti ya katiba na sheria, zipo tofauti za kanuni na taratibu..., kila kitu na mahali pake....lets see.
 
Nimetumiwa Taarifa hii kutoka Dodoma ya kuwa pamoja na Mheshimiwa Pinda kuwatomasa Chadema Bungeni kuwa mbona wamemnunia na hawampigii makofi lakini hizo gheresha wabunge wa Chadema hawashtuki nazo na ya kuwa kuonyesha dhamira yao ya kupinga matokeo ya Uraisi ambao wao wanaamini kulingana na takwimu zao waliushinda Uraisi huo........hivyo hawatahudhuria hafla hiyo...........

Wabunge wa Chadema pia walimkataa Mheshimiwa Pinda kwa kura zao zote 46 ikithibitisha ya kuwa hawatambui teuzi zozote zile zitakazofanywa na JK hadi pale mgogoro wa kura ya Uraisi utakapopatiwa ufumbuzi na Tume huru itakayoteuliwa na Bunge kuchunguza ni nani haswa alishinda kura hiyo.........wakati ushahidi wa matokeo ya kura hizo yaliyotangazwa na kuthibitishwa kwenye vituo yaonyesha tofauti kubwa na yale ambayo yaliyotangazwa na NEC

Very interesting..mimi ninahamu nisikie CHADEMA walishinda kwa kura asilimia ngapi? maana gogoro hapa ni moja tu CCM wanadaiwa kupora ushindi wa kura za Uraisi za CHADEMA...je takwimu walizonazo CHADEMA zinasema wameshinda kwa asilimia ngapi? Ni zile 78% za kura ya maoni za JF! au ile opinion poll ya Halima Mdee au ipi.
Nakumbuka CUF walivyokuwa wanapiga kelele kama wameibiwa kura 1995,2000,2005 walikuwa wana mpaka tarakimu ya kura walizojumlisha wao.
Sheikh Yahya- Magomeni.
 
Sasa hivi Pinda ndiyo hafla ya kumwapisha yaeendelea........................bado sijaona mbunge wa Chadema humo................anayewaona atupashe habari....................
 
Back
Top Bottom