Wasusie tu, mradi tu wasikose kuhudhuria vikao vitatu mfululizo, vinginevyo wataendelea kuwa wabunge
Kususia hata kikao kimoja ni kutotutendea haki sisi tuliowachagua.
Pia kutoitambua serikali ni kukimaliza chama kisiasa. Watakosa mengi Bungeni na Serikalini!
Kwa kifupi kususia kuna negative impact mbaya sana!
Pasco,Rutashubanyuma,
..Chadema wanatakiwa kususia shughuli zote zile zinazoongozwa au zitakazomshirikisha Jakaya Kikwete.
..Hafla ya kuapishwa kwa Waziri Mkuu ni moja ya shughuli hizo.
..pia wanapaswa kususia hotuba ya Kikwete pale bungeni.
..ni vizuri Chadema waka-send a message kwamba kuna matatizo ktk tume yetu ya Uchaguzi na hawakuridhishwa na mwenendo mzima wa uchaguzi mwaka huu.
..siku ambayo Kikwete atakwenda bungeni kuhutubia watakuwepo Mabalozi na wageni mbalimbali muhimu, hivyo ni vizuri Chadema wakatuma ujumbe hapo hapo kwa marafiki zetu kwamba hali si shwari.
..nachukulia kitendo hicho kama juhudi za Chadema kushinikiza mabadiliko ktk sheria zetu za uchaguzi na utendaji wa tume ya uchaguzi kwa faida ya Watanzania wote.
..ni aibu kwa Tume ya Uchaguzi na serikali ya Chama cha Mapinduzi kutufikisha mahali ambapo chama kikuu cha Upinzani kinakataa kumtambua Raisi wa nchi na kususia shughuli anazoziongoza kutokana na mfumo mbovu wa uchaguzi.
NB:
..kitendo cha Chadema hakimaanishi kwamba JK hatafanya shughuli zake kama Raisi. pia haimaanishi kwamba mataifa ya nje yatamsusia, Nigeria walifanya uchaguzi mchafu kuliko wa kwetu and still Ya'Ardu["baba go slow"] alitambuliwa jumuiya ya kimataifa.
..pamoja na hayo nakuhakikishia hakuna njia ya AMANI na KIUNGWANA ya kupinga uchaguzi na kutetea kuwepo kwa Tume huru zaidi ya hiki wanachokifanya Chadema.
Rutashubanyuma, nakubaliana na wewe kuhusu kupingana kwa hoja, na kwenye mjadala, hoja isiyo na mashiko hupanguliwa kwa hoja, sio kwa hisia au dhana, nimekukubalia kuwa kwa Chadema kutomtambua rais, hakumfanyi rais asiwe rais, kwa sheria yetu mbovu ya ajabu na kideteta ya hali ya juu, Tume ikishamtangaza mshindi, biashara ndio imeishia hapo, no more deals, negotioatis or discussions its over no matter what, hii ni sheria ya iitwayo 'the end justify the means', hata kama ulishinda kwa kuiba, hila, udhalimu, ua kwa mbinu zozote, maadam umeshinda wewe, its over. Hiki ndicho kilichotokea Kenya na Zimbabwe, hakiwezi kutokea kwetu kwa sababu Watanzania ni watu wapole, watu wa amani, watu watulivu, wavumilivu, wastahimilivu, hawapendi shari, kila wanachofanyiwa wao ni hewalla mzee, hivi ndivyo tulivyo na ndivyo tunavyoendelea kuwa.
Kishongo said:Marafiki wa Chadema?
Hawa ndio wanaoagiza Chadema ifanye nini?
Yale yale ya Tsivangirai ya kutumiwa na nchi za Magharibi.
Rutashubanyuma, nakubaliana na wewe kuhusu kupingana kwa hoja, na kwenye mjadala, hoja isiyo na mashiko hupanguliwa kwa hoja, sio kwa hisia au dhana, nimekukubalia kuwa kwa Chadema kutomtambua rais, hakumfanyi rais asiwe rais, kwa sheria yetu mbovu ya ajabu na kideteta ya hali ya juu, Tume ikishamtangaza mshindi, biashara ndio imeishia hapo, no more deals, negotioatis or discussions its over no matter what, hii ni sheria ya iitwayo 'the end justify the means', hata kama ulishinda kwa kuiba, hila, udhalimu, ua kwa mbinu zozote, maadam umeshinda wewe, its over. Hiki ndicho kilichotokea Kenya na Zimbabwe, hakiwezi kutokea kwetu kwa sababu Watanzania ni watu wapole, watu wa amani, watu watulivu, wavumilivu, wastahimilivu, hawapendi shari, kila wanachofanyiwa wao ni hewalla mzee, hivi ndivyo tulivyo na ndivyo tunavyoendelea kuwa.
Kususia hata kikao kimoja ni kutotutendea haki sisi tuliowachagua.
Pia kutoitambua serikali ni kukimaliza chama kisiasa. Watakosa mengi Bungeni na Serikalini!
Kwa kifupi kususia kuna negative impact mbaya sana!
Mtambue, msimtambue, Watanzania walio wengi wanamtambua, ndio maana wakamchagua kwa kura nyingi.
Chaguo lao liheshimiwe!!!
Chadema hawana unafiki kama hawakutaki wanakuambia direct NO kuliko kunyamaza eti kutokuandika kitu.Kisiasa hii move ingeweza kufaa ila wamekosea kuianza.
Walichotakiwa kufanya ni kutokuandika kitu kwenye ile karatasi ya kumchagua waziri mkuu na tungeona kura zao 45/46 zimeharibika. Hii ingemaanisha kuwa hawamtambui Rais na hata uteuzi wa waziri mkuu aliyependekezwa ni batili. Kwa kupiga kura ya hapana ujumbe wanaotoa ni kwamba, wanamtambua Rais ila hawaungi mkono uteuzi wa waziri mkuu aliyependekezwa.
Niko curious kuona hizi mbio za kutokumtambua Rais zitaishia wapi!
Kweli Sikonge kuna watu wanajifanya kuionea huruma Chadema kinafiki eti wasipohudhuria bunge wanawanyima haki yao wakati juzi walikuwa watu wa kwanza kuwaponda wabunge wake.Nafikiri wengi wanaojifanya Kupinga Chadema kususia kikao cha Kikwete ni CCM.
Viongozi wa Chadema kama WATATOKA siku hiyo MBELE YA MABALOZI na Wageni Waalikwa, itakuwa ni PIGO kubwa sana kwa CCM kwa ujumla. Sasa hivi wanahaha kushoto na kulia ili kuificha hali hiyo. Hakuna raha kama kuwaona Wabunge wote wa chadema wakiwa wamekaa na mara Kikwete akiingia, wao waendeleee kukaa kama vile hawamuoni.
Atakasimama tu kuanza kuongea "wawe tayari kuondoka", akitoa tu sauti kwa neno la kwanza, hapo ndipo wakurupuke na kuanza kuondoka ili asimamishe hata hotuba yake ili kusubiri Chadema waondoke ukumbini. Hili litauma sana............
Chadema hawana unafiki kama hawakutaki wanakuambia direct NO kuliko kunyamaza eti kutokuandika kitu.
huu ndo mwanzo sasa MKATAE SHETANI NA KAZI ZAKE
Asante Pasco nimekuwekea thanks pale kwenye post yakoRutashubanyuma, nakubaliana na wewe kuhusu kupingana kwa hoja, na kwenye mjadala, hoja isiyo na mashiko hupanguliwa kwa hoja, sio kwa hisia au dhana, nimekukubalia kuwa kwa Chadema kutomtambua rais, hakumfanyi rais asiwe rais, kwa sheria yetu mbovu ya ajabu na kideteta ya hali ya juu, Tume ikishamtangaza mshindi, biashara ndio imeishia hapo, no more deals, negotioatis or discussions its over no matter what, hii ni sheria ya iitwayo 'the end justify the means', hata kama ulishinda kwa kuiba, hila, udhalimu, ua kwa mbinu zozote, maadam umeshinda wewe, its over. Hiki ndicho kilichotokea Kenya na Zimbabwe, hakiwezi kutokea kwetu kwa sababu Watanzania ni watu wapole, watu wa amani, watu watulivu, wavumilivu, wastahimilivu, hawapendi shari, kila wanachofanyiwa wao ni hewalla mzee, hivi ndivyo tulivyo na ndivyo tunavyoendelea kuwa.