Matokeo ya Bunge la Afrika Mashariki: Saba washinda, Mnyaa safi, Wagombea wa CHADEMA waangukia pua

Wabunge wa ccm kwa kauli moja wamewapigia kura za hapana wenje na masha katika uchaguzi wa wabunge wa bunge la afrika mashariki.

Maoni yangu:
Tuwaachie CCM waingie kwenye vikao vya upinzani ili wawachague wenyewe wawakilishi wanaowataka.
 
Wenje ,,,masha ,,ngwaru..makongoro na kimbisa would have made dream team Tanzania
 
Mimi sijui sheria ila nimeangalia mchakato mzimaa niliyoyaona

1.Wawakilishi wetu lugha ya kingereza ina shida kuzungumza

2.Bunge liendelee kuzimwa hivyohivyo manake ni aibu kwa taifa,humu tu JF watu tunakomaaga kupunguza mihemko na kuweke point mezani badala ya matusiii

3.Chadema wanaendekeza ujuaji zaidi badala ya busara kwa baadhi ya mambo.kimenisikisha sanaa yan wanachama wote hawaa waliojitokeza kugombea masha na wenje ndo wanatosha? Wananipa mashaka sanaa hawa watu.

4.CCM inawagombea wanaoridhisha

5.Nampongeza spika wa bunge kumeza vitu nakuweza kuendesha bila mihemko hali inapobadilika

6.Kituko cha mbowe kusimama na mnyika akasimama yani kinadhihirisha maadili ni madogo sanaa kwa mwenyekiti wake tena bungeni

KAMA KWELI UPINZANI WANANIA YA KUONGOZA NCHI HII WAACHE UTOTO NA WAWE NA TASWIRA YA KIDEMOKRASIA
SIO HICHI NILICHOKIONA.
 
Ni uhuni wa hali ya juu unaoendelea nchini mwetu unaofanywa na hawa wahuni. Mtu mwenye kuitakia mema nchi yetu na watu wake KAMWE hawezi kufanya uhuni kama huu wa kupitisha watu ambao walishafukuzwa kwenye chama kwa kupitia taratibu zote za chama husika. Halafu anadai eti anataka kuinyoosha nchi! Utainyoosha nchi kivipi wakati unakumbatia wahuni na kuleta uhuni wa kupindisha sheria na taratibu za vyama vya upinzani nchini ili kuingilia uhuru wa vyama hivyo kufanya maamuzi yao. Nchi yetu ina matatizo makubwa sana ambayo chanzo chake ni wahuni, majangili, mafisadi, watoa na wapokea rushwa waliojivisha ngozi ya uongozi wakati hawana hata sifa moja ya kuiongoza nchi yetu.

Kama chama kimoja kinaweza kuleta majina ya wagombea walioidhinishwa na makundi mawili tofauti ndani ya chama kimoja(factions) na wote wakawa halali na chombo cha kutunga sheria nacho kikaona kila kitu kiko sawa na hivyo ni halali kuendelea na uchaguzi,ni wazi nchi haina haja ya kuwa na katiba wala sheria bali tuongozwe na kauli na mitazamo ya watu wachache waliopewa dhamana.

Hivi kweli katibu wa Bunge anatamka kutambua CUF A na CUF B ndani ya chombo cha kutunga sheria na wabunge wakaridhika kupokea majina wa wagombe kutoka CUF A na CUF B?

CUF A na CUF B vyama hivi vimesajiliwa wapi na lini vilipata usajili wa kudumu?

Ni wazi tumebaki na mhimili mmoja tu unaonekana kuheshimu sheria na katiba ya nchi na hata swala hiki likipelekwa mahakamani ninahaki uchaguzi wote huu unaweza kutangaza kuwa ni null and void bila kujali tatizo ni la wagombe wa chama kimoja tu maana huenda mchakato mzima ukawa umeingia najisi.

Hii ni nchi ya ajabu sana.
 
Wabunge wa ccm kwa kauli moja wamewapigia kura za hapana wenje na masha katika uchaguzi wa wabunge wa bunge la afrika mashariki.

Maoni yangu:
Tuwaachie CCM waingie kwenye vikao vya upinzani ili wawachague wenyewe wawakilishi wanaowataka.
Yaani unategemea uwe mpinzani wa CCM halafu wakupigie kura? Au Upinzani wanaweza kuwapigia kura CCM? Unalowaza haliwezi kutokea isipokuwa tu, siasa za wanaogombea zikiwa ni siasa zisizo na takataka ambazo angalau zina apreciate pale mpinzani anapofanya vyema na kukosoa pale panapostahili... Angalia ACT unaweza kuelewa.... tatizo siasa za Kitanzania ni chafu sana, ukwia upinzani hujengi hoja, umaarufu wako ni kumtukana au kumkashifu mpinzani mwenzako... Mauaji ya Kimbarii na ubaguzi vilianza hivyo hivyo kwa siasa za kijinga na ndio maana hakuna kupigiana kura...
 
Chadema wazinguaji yaani wao wanapenda Ndio na Hapana tu
Mbowe
Lowassa
Wenje
Masha

Wajifunze kuweka wagombea zaidi ya mmoja
 
Dah,
CCM bana,
Yaani wako tayari Nchi kama nchi ipate wawakilishi pungufu kuliko watoke CDM,
Wala hata sio kwamba CDM wakipeleka watu basi nafasi ya CCM itapungua, la hasha, wala CDM sio competitor wa CCM kabisa kule EALA.
Tena kule wakifika, wote wanajulikana kama wawakilishi wa Tanzania, wala sio kwa vyama vyao.
Binadamu hawa waitwao Fisiemu wana Roho Mbaya sana aisee,
Heri kuishi na Mchawi ndani kuliko kuishi na hawa Fisiemu
 
Umeonaeee. Ofcourse sikukubaliana na mfumo CDM walioutumia kupata majina hayo. Na naamini mfumo wao...na huu wa bungeni unahitaji marekebisho. Lakini ilitakiwa CCM waangalie maslahi mapana ya nchi. Sasa kule tunaenda kuzidiwa kura na nchi zingine kwasababu ya upungufu wa busara kwenye chama tawala. Hizi ndio rostam aliita siasa uchwara
 
Nilichomwelewa ndugai alisema masha na wenje watapigiwa kwa ndio au hapana ambayo nahisi ingesaidia wapite kirahisi tofauti na kupiga kura lakini katibu akawauliza wakasema kura zipigwe kwenye karatasi ya kupigia kura nadhani hapo ndo walijiingiza shimoni manake ule wa ndio hapana mzuri manake kila mmoja ana kura zaidi ya 100 imagine sauti za ndio ambavyo zingesikika.
 
Mkuu CCM walikua wamejipanga kuyapinga majina ya chadema leo kwa njia yoyote. Hata kama ingekua kura ya wazi....wangesema sioooooo...na hata kama spika angeamua kuwabeba cdm na kusema kura za ndio zimeshinda, CCM wangesema kura zipigwe (maana kanuni zinaruhusu). Bottom line ni kwamba kwa ccm...falsafa ni chama kwanza taifa baadae.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni kitu cha kushangaza sana duh! Hawa hawa wahuni mwezi October waligawana rushwa ya milioni 10 kila mmoja ili wapitishe muswaada uchwara wa kuminya uhuru wa habari nchini halafu leo hii wanafanya uhuni kama huu! Kweli CCM kuna mafisi!

13912358_1568011230171684_8702212615280387452_n-jpg.491261

Dah,
CCM bana,
Yaani wako tayari Nchi kama nchi ipate wawakilishi pungufu kuliko watoke CDM,
Wala hata sio kwamba CDM wakipeleka watu basi nafasi ya CCM itapungua, la hasha, wala CDM sio competitor wa CCM kabisa kule EALA.
Tena kule wakifika, wote wanajulikana kama wawakilishi wa Tanzania, wala sio kwa vyama vyao.
Binadamu hawa waitwao Fisiemu wana Roho Mbaya sana aisee,
Heri kuishi na Mchawi ndani kuliko kuishi na hawa Fisiemu
 
Attachments

  • 13912358_1568011230171684_8702212615280387452_n.jpg
    13912358_1568011230171684_8702212615280387452_n.jpg
    25.5 KB · Views: 186
Back
Top Bottom